Haa haa hakuna utani hapo mm nina ushahidi wa hili, tena hio ni ndogo kuna wanaochukua zaidi ya hio mkuu....!!kwel usd 20000 huuu utan kama kwel ntaanza na dploma yake unaweza niambia wanalipwa ngap?
Uongo..
kuna mshikaji wangu mmoja Mwarabu ana Mastaers ya petroleum anafanyakazi kampuni moja inaitwa Saudi Aramco ya uchimbaji wa mafuta, analipwa SR 70,000 sasa hii zidisha na pesa yetu ya madafu yaani 70,000x 420 =29,400,000/= kwa mwezikwel usd 20000 huuu utan kama kwel ntaanza na dploma yake unaweza niambia wanalipwa ngap?
funeral and grave management
kuna mshikaji wangu mmoja Mwarabu ana Mastaers ya petroleum anafanyakazi kampuni moja inaitwa Saudi Aramco ya uchimbaji wa mafuta, analipwa SR 70,000 sasa hii zidisha na pesa yetu ya madafu yaani 70,000x 420 =29,400,000/= kwa mwezi
Daaa!! Dogo km comb yako ni PCM kasome Petroleum &Minerals Engineer yaani hii fani inalipa sana sasaivi kuna watu wanalipwa hadi Usd 20,000, changamka ukasome hii fani utakuja ona matunda yake mwenyewe.
Enzi zetu tulikuwa tunasoma ili tutimize ndoto zetu mfano: Lazima nisome sayansi ili niwe Dr pale Muhimbili, au mhandisi wa barabara n.k lakini kizazi cha digital ni the other way round!! Yaani kazi inayolipa kwanza irrespective of masomo aliyosoma, pass marks, kuipenda kazi yenyewe/ was it your dream?? will it make you happy doing it? Majuzi nilikutana na kijana mmoja amemaliza BSc Forestry ananiambia anataka kusoma tena Wildlife Management eti kaambiwa inalipa kuliko Forestry, can you imagine?
Agronomy au Agriculture economics
funeral and grave management
Somea ubongo wa fleva..ukijua tu kusema tu nakupenda basi utapata fursa ya kuwa punda wa madawa then mda mfupi ina pesa kibao.
umefaulu kwa kiwango gani A-level? Ulikua fiti somo lipi kati ya P,C & M?