Kova: Walioua askari jana ni 'Magaidi'

Kova: Walioua askari jana ni 'Magaidi'

Hivi huyu mtu anajua athari za kauli yake hii???
 
Sijui ka nakifaham Kiswahili vizuri, lakini nadhani Kamanda Kova umetumia hili neno "Gaidi" vibaya. Ningekuwa mini Kova ningesema hivi;
Yawezekana haya ni majambazi kabisa au Majilipiza kisasi. Vijana wa Kova siku hizi mhhh. They are too trigger happy. Haswa wakiwa na bomu la machozi, hawangojei amri ya "Fire". Utastukia yakimiminika ka mvua hizi za mawe za kule Meru juzi.
Hawajali kuna rika gani, jinsia gani wala gani gani iko pale. Wao hawataki kurudi na bomu zima kituoni. Kamanda Kova, endapo utakaa usome uzi huu; Tunakuomba Mkuu, warudishe vyuoni vijana hawa. Wamelipotezea heshima jeshi lako mzee.
Watu wanawaona Polisi ka (chinja chinja.) Samahani lakini kwa neno hili. Huingii polisi ukiwa mzima ukatoka mzima. Labda utoe kitu. Waweza kwenda kusalimia mahabusu, ukabaki huko huko. Tunaenda wapi mzee Kova??
Usimtafute gaidi nje, jichunguzeni vyema tu. Hivi kuna mtu kweli anathubutu kukuletea tena habari siku hizi??? Wanaokuletea si za kweli. Ujambazi tungesha umaliza hapa.
 
huyu aliesema BUNDUKI YA GWAJIMA SI YAKE

ALIPOPONA GWAJIMA AKAONGEA NA WATU AKARUDI BUNDUKI NI YA GWAJIMA LOH{{NTAKE RADHI
 
kova&huyu kijana ni raia wa kenya anaitwa mulundi ndiye aliyempiga daktari
 
huyu aliesema BUNDUKI YA GWAJIMA SI YAKE

ALIPOPONA GWAJIMA AKAONGEA NA WATU AKARUDI BUNDUKI NI YA GWAJIMA LOH{{NTAKE RADHI

tatizo umri nao umemtupa mkono, kumbukumbu zinaanza kupotea
 
Ni majambazi maana siku moja kabla walivamia mwandege mpesa kijana kachelewa kutoa hela wakampiga risasi ya mkono sijui kama polisi walifuatilia.
 
Ni majambazi maana siku moja kabla walivamia mwandege mpesa kijana kachelewa kutoa hela wakampiga risasi ya mkono sijui kama polisi walifuatilia.

intelejensia iko wapi?
 
Kova anawasikia magaidi hajawahi kuwaona uso kwa macho
 
Huwa nahuruma.
ila polis acheni uonevu mfano mapolis Wa tigo huko Mpanda katavi wana onea watu kweri.kazi zao kubwa nikufukuzana na bodaboda nahili swala sjui kwanini serikari hawa jifunzi maana ishu ya polisi kufukuzana na bodaboda zsha UA laia kbao.wao hawana huruma some time wanapo kufukuzia wakikukaribia wanaanza kuku vuta ukiwa kwenye mwendo sjui mkuu Wa polis katavi kama analitambua hili.ukismama wata kukagua mpaka koti Lina kilo ngapi?

Mbona unajua kiswahili lakini wachanganya?
 
uhalifu ukifanywa na muislam ni ugaidi,ila ukifanywa na mtu wa dini nyingine ni ujambazi

Yule binti wa ki-TZ aliyekamatwa Kenya akienda kujiunga na Alshabaab ni wa dini gani vile?
 
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, amesema kuwa wale walioua askari katika tukio la jana kama sio majambazi basi ana uhakika ni magaidi! Hivyo msako mkali unaendelea sasa.

Katika hatua nyingine askari aliyejeruhiwa anaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu katika hospitali ya Temeke.

Source: ITV habari ya saa mbili

Nyie ndio ile sheria mpya inawahusu! Kupost habari tofauti na zilivyoripotiwa. Kova hakusema ana uhakika ni magaidi...
 
Back
Top Bottom