Kova: Walioua askari jana ni 'Magaidi'

Kova: Walioua askari jana ni 'Magaidi'

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,451
Reaction score
9,967
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, amesema kuwa wale walioua askari katika tukio la jana kama sio majambazi basi ana uhakika ni magaidi! Hivyo msako mkali unaendelea sasa.

Katika hatua nyingine askari aliyejeruhiwa anaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu katika hospitali ya Temeke.

Source: ITV habari ya saa mbili
 
ndio tumuulize kamanda wetu

Kasema ni majambazi wa kutumia silaha, kama majambazi wengine tu wanaotumia silaha....pia kuna VIASHIRIA/CHEMBECHEMBE za ugaidi.

Hapo hakusema kama kuna uhakika kama ni magaidi, na ndio maana uchunguzi makini unaendelea.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ndio polisi wetu hawa loh!!! wanapenda kuropoka badala ya kufanya kwa weredi then watoe taarifa iliyo sahihi. hizi gues work ndizo zinafanya tuwadharau.
 
Huwa nahuruma.
ila polis acheni uonevu mfano mapolis Wa tigo huko Mpanda katavi wana onea watu kweri.kazi zao kubwa nikufukuzana na bodaboda nahili swala sjui kwanini serikari hawa jifunzi maana ishu ya polisi kufukuzana na bodaboda zsha UA laia kbao.wao hawana huruma some time wanapo kufukuzia wakikukaribia wanaanza kuku vuta ukiwa kwenye mwendo sjui mkuu Wa polis katavi kama analitambua hili.ukismama wata kukagua mpaka koti Lina kilo ngapi?
 
Ndio polisi wetu hawa loh!!! wanapenda kuropoka badala ya kufanya kwa weredi then watoe taarifa iliyo sahihi. hizi gues work ndizo zinafanya tuwadharau.

We endelea kuwadharau, iko siku utaitamani namba yao ya simu na hutaijua wala kuipata.
 
Asanteni Wanigeria,yamebaki matanzania na sinema za akina kova.
Sema hapana kwa ccm hapo october.

tatizo sio hapana ccm tatizo ni nan wa kumkabidhi nchi yetu,chagadema no no no,cuf no,tlp sjui nccr no
 
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, amesema kuwa wale walioua askari katika tukio la jana kama sio majambazi basi ana uhakika ni magaidi! Hivyo msako mkali unaendelea sasa.

Katika hatua nyingine askari aliyejeruhiwa anaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu katika hospitali ya Temeke.

Source: ITV habari ya saa mbili
Hizi siasa katika mambo ya kitaalam zitatufanya kupoteza kabisa tafsiri na definition ya baadhi ya terminology.Sasa tofauti kati ya UGAIDI na UHALIFU hautakuwepo....kama ndivyo now-days hakuna uhalifu bali ni UGAIDI kote duniani.Kuna watu wachache sana hapa bongo watatufanya watanzania wote tuonekane hamnazo kabisa
 
Back
Top Bottom