peace.peace14
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 214
- 36
Hii nchi tulijifanya Kisima cha Amani hii......YESU ingilia Kati
hili neno ugaidi wasilitumie kama mzaha,ugaidi sio mchezo!
Mnao kataa kuwa tzee hakuna harufu ya ugaidi,endeleeni kukataa hvo hvo,ila siku kikinuka msibadili misimamo muendelee kukataa,
Kikinuka watasema ni mmarekani huyo anaiba gesi!