Kama vile ambavyo kila nilipo unapita.
Ambush haina dhaifu hata komando huuawa ni timing tu mkuu.
Is the use of violence and threats to intimidate or coerce,especially for political purposes.
Kova anawasikia magaidi hajawahi kuwaona uso kwa macho
Fursa hii.
Itumie kama account ya dola.
iweke kiswahili...
uhalifu ukifanywa na muislam ni ugaidi,ila ukifanywa na mtu wa dini nyingine ni ujambazi
naona kakung'ang'ania ka Ruba mh!
We mji.nga kweli,nani matanzania?
....mmmmh!! Uchunguzi makini utafanywa na Polisi!!, tokea lini?Kasema ni majambazi wa kutumia silaha, kama majambazi wengine tu wanaotumia silaha....pia kuna VIASHIRIA/CHEMBECHEMBE za ugaidi.
Hapo hakusema kama kuna uhakika kama ni magaidi, na ndio maana uchunguzi makini unaendelea.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums