Kova: Ole wenu wafuasi wa Gwajima

Kova: Ole wenu wafuasi wa Gwajima

Acheni kuleta habari za Pengo hapa ili wasiendelee kumdharirisha !
Mfano:Naamini askofu Pengo akifa ni motoni
{MT 25:41}
 
Very interesting, umeshawahi kufuatilia mahojiano ya CRIME INVESTIGATION, for example. Jaribu kufuatilia you will probably pick a couple of tricks. Hawa jamaa zako toka wameanza kumhoji wanauliza maswali trivials, eti una watoto wangapi...huku wanakuangalia kama dawa inakuingia sawa sawa.

Tofautisha movie na mahojiano halisi.Ya Gwajima sio Criminal investigation movie ni mahojiano halisi
 
Gwajima is the one who has demons that teach him to insult other people.GO AND TELL HIM STRAIGHT THAT HE IS FULL OF INSULTING DEMONS.HE NEEDS EXORCIST, JAIL SENTENCE OR BOTH TO REMOVE THOSE DEMONS FROM HIS MOUTH.

Surely, you are possessed by the spirit of EAGLE, do you know what it is?
 
Tofautisha movie na mahojiano halisi.Ya Gwajima sio Criminal investigation movie ni mahojiano halisi

Totally confused, unajua, au umewahi kuhojiwa na vyombo vya usalama in the first world? What you see in the CRIME INVESTIGATION is the typical approach in investigation, you follow particular leads. Hii ya hapa sio investigation ni intimidation.
 
kamanda Kova amewaonya vikali wafuasi wa Gwajima kuandamana Leo kuelekea makao makuu ya polisi ambapo mch. Gwajima Leo atahojiwa.

Onyo hilo linakuja baada ya mchungaji Gwajima kuwaambia wafuasi wake wakati wa ibada ya pasaka kumsindikiza makao makuu atakapoenda kuhojiwa.

My take;
Gwajima bora uwazuie wafuasi wako kwani watakula kichapo kikali Kova huwa hatanii waulize wanabawacha waliojaa HP jf watakujuza.

Chanzo: Magazeti RFA

Mbona hamtupi mrejesho wa huko polisi?
 
Kwenye makubaliano YA KURA YA wengi ni swala la wengi wape hata kama ni wajinga.Ukitoka ni ruksa kujipambanua kuwa sikuwemo kwenye kundi la wajinga bali werevu wachache ambao tulizidiwa kura na wajinga wengi.Na kueleza msimamo binafsi.

Ninachoweza sema historia itawahukumu hao maaskofu na tamko lao la hovyo.Hicho walichotamka na alichotamka pengo kitakuwa kwenye rekodi za kudumu za vizazi vya sasa na vijavyo ndani ya historia za makanisa na nje ya kanisa.Na wengi watasoma na kuona viongozi waliopita waliamua nini katika mafunzo yao iwe madarasani au seminari.

Ninachoweza kusema kwa Uhakika TAMKO LA PENGO litaweza kudumu kama tamko lisiloweza rushiwa mawe au kukosolewa na vizazi vingi vijavyo.Hilo la maaskofu litazomewa na vizazi vijavyo kuwa halikuwa la kidemokrasia na liko hovyo.Tamko la viongozi wa dini ni la vizazi vyote vilivyopo na vijavyo vijifunze kwa hilo.Nasikitika tamko la maaskofu ni aibu hata kuliweka kwenye maktaba za kanisa au seminari kuna maaskofu watakuja omba msamaha kwa vizazi vijavyo kwa tamko hilo bovu.

Nashangaa maaskofu waliotoa hilo tamko hawajaomba msamaha kwa waumini hadi sasa kuwa walikosea ilibidi wawaambie wawe huru kupiga kura watakavyo.Sijaona maaskofu wakaidi na wenye kiburi kama hawa waliotoa tamko.

NARUDIA TENA TAMKO WALILOTOA MAASKOFU LIKO HOVYO KWA KIZAZI KILICHOPO NA VIJAVYO LA PENGO LIKO VIZURI

Wewe jamaa kwa kuongea Pumba Jf unaongoza!!

Hakuna mahali duniani historia ikawakumbuka wanafiki na wasaliti.

Alichofanya Pengo ni heri angekaa kimya. Na taarifa zilizowazi ni kuwa Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki limuonya Pengo juu ya kwenda kinyume(USALITI) na kupewa maelekezo kuwa atangaze hadharani amemsamehe Gwajima.

Kwa kiwango cha unafiki wake maneno aliyoambiwa asingeweza kumsamehe lakini shinikizo toka kwa maaskofu wenzake wa kikatoliki ndio lilimfanya atoe msamaha.

Acha kutetea ukatoliki(chumba) ndani ya nyumba ya Ukristo ila kijana tetea Ukristo(nyumba) ili ukatoliki wako upate nafasi ndani ya nyumba ya Ukristo.

Kwa akili zako ndogo unaweza usielewe kabisa...
 
Mrejesho ni kwamba KOVA anakurupuka na waumini wa Askofu Gwajima kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri na sheria ndogo za nchi wamehudhuria katika Ofisi za Kituo cha Polisi yalipofanyika mahojiano.

Watu wengi sana nimewaona pale Stesheni.

KOVA asicheze na imani za watu hata kidogo, jambo hili litamtokea puani
 
Totally confused, unajua, au umewahi kuhojiwa na vyombo vya usalama in the first world? What you see in the CRIME INVESTIGATION is the typical approach in investigation, you follow particular leads. Hii ya hapa sio investigation ni intimidation.

Acha kutuzingua tunakujua nje vizuri sana.Kule kuna Anti hate laws matusi aliyoporomosha Gwajima kule angekuwa matatani kuliko hapa kwetu.Kule ukimwita mtu shoga au mshenzi umeumia tena sana tu.Sheria za ANTI HATE LAWS kali kuliko za kwetu na mahojiano yake ni ya kufa mtu.
 
Unazifahamu sheria hizi vizuri au unazifahamu kwa majina tu?

Unajua mahali zinapotumika? Kwa Sakata la Askofu Gwajima na Pengo utakua umejitoa ufahamu kuingiza sheria hizi mahali hapa.

Sababu za msingi ni kuwa Mhusika bwana Pengo ameenda kinyume na makubaliano aliyoyafanya yeye mwenyewe kupitia uwakilishi wa kanisa lake.

Humu hakuna nafasi ya kudanganya au kupindisha ukweli. TOA HOJA ukikosa sio lazima kuchangia unaweza ukasoma tu za wengine ukajifunza zaidi.
 
Ungeuliza wapi? Yeye ni kiongozi mkuu wa wakatoliki jimbo la Dar es salaam lenye mamilioni ya waumini mamilioni.Watu wa nje tunamtambua kama kiongozi mkuu kwa maneno na maamuzi yaliyoenda shule kuliko maaskofu wengine ambao sina uhakika kama hata demokrasia wanaelewa maana yake nini.

HEBU TUCHAMBUE MATAMKO MAWILI YALIYOTOLEWA

La kwanza ambalo ni la maaskofu likaungwa mkono na GWAJIMA linasema hivi SOMENI KATIBA WANANCHI HALAFU PIGENI KURA YA HAPANA

La pili la Pengo LINASEMA hivi SOMENI KATIBA WANANCHI HALAFU PIGENI KURA KIDEMOKRASIA KWA KADRI YA DHAMIRI ZENU.

Ukiangalia hayo matamko mawili utaelewa kuwa kiongozi mkuu mwenye mawazo makubwa ya kidemokrasia na yanayoruhusu demokrasia ni Pengo.Pengo anajua kuwa kanisa lina wapiga kura ya ndiyo au hapana ndani ya kanisa na lazima wawe huru kufanya kile wanachokiamini wakati wa kupiga kura.Hilko la maaskofu ni tamko la hovyo na niseme nilishtuka kusoma kuwa maaskofu wasomi waweza toa tamko la hovyo kama lile.Lingekuwa limetamkwa na watu wasioenda shule waporomosha matusi kama akina GWAJIMA ningeelewa.

Kwa kuangalia tamko walilotoa maaskofu nasema bila kumeza maneno Tanzania haina maaskofu ina Askofu mmoja tu mwenye akili ambaye ni Pengo.Wengine ni aibu tupu wanawezaje kaa kweli wakatoa tamko la kiwango cha chini kama lile.

Mimi namchukulia Pengo ndie kiongozi mkuu wa kikatoliki kwa hoja zake zinazoweza pimwa zikashinda kwenye uzani wa ukweli.Uongozi mkuu si jina au ukubwa wa kofia au joho ni pamoja na uwezo wa hoja.Maaskofu wa Tanzania mmetuangusha wengine tuliokuwa tunadhani mna uwezo mkubwa wa kufikiri na kujenga hoja na kutoa matamko.

Na wewe ungesema ni kiongozi wa wakatoloki sehemu gani basi!

Hata kama wewe ni wa nje ya wakatoliki, ni vyema ungeuliza kuliko kuaminisha jamii kuwa Pengo ni kiongozi mkuu wa wakatoliki wote!

Tamko la Maaskofu ambalo baadaye liliungwa mkono na Gwajima, kimisingi linatokana na matamko ya Rais na viongozi wakuu wa serikali wanaopigia chapuo katiba pendekezwa kwa kuwashawishi wananchi wapige kura ya NDIYO! Hivyo basi, endapo Rais na wakuu wengine wangetangulia kwa kuwaasa kama alivyoshauri PENGO kuwa wananchi waisome katiba na kisha wapige kulingana na dhamira zao, hakika kusingalikuwako tamko la Maaskofu wala la GWajima na hata la huyo Pengo!

Maaskofu wana mabaraza yao, ambapo humo ndani wanapokaa vikao vyao nao pia hutofautiana kimawazo katika mada, lakini mwishowe maamuzi ya wengi miongoni mwao ndio linakuwa tamko la baraza la maaskofu tanzania, ambapo Pengo ni mjumbe halali!

Kimsingi, maamuzi yatakayo amuliwa na baraza, kumbe basi naye Pengo ni mshiriki hata kama hakuwapo kwenye vikao!

Tuseme, Pengo ni nani kuliko Rais na viongozi wakuu wa BARAZA la maaskofu Katoliki, hata kauli yake itofautiane na wenzie wote nje ya mfumo rasmi waliojiwekea? Na kama alihitaji kutofautiana, anapajua BARAZANI kwa kwenda kutofautiana na wenzie na siyo kwenye hadhara! Na hicho ndio alichokisema Gwajima kuwa, amewaabisha maaskofu wenzie! Pengine (Gwajima) yupo sahihi kuwa kuna maharage aliolishwa hadi ikafikia kwa yeye kutoona au kuheshimu kauli za wenzie wakiwapo wakuu wake?

Labda niulize, kauli itokayo kwa Mwenyekiti wa CCM Prf Jakaya, inaweezekana ikapigwa na Nape Nnauye nje ya vikao vya chama? Au kauli ya Rais ikapingwa na Waziri nje ya baraza la mawazir? Kama hili linawezekana, natamani marehemu H.Kolimba angekuwa hai leo, anisaidie kulifafanua hili kwa ufasaha!

Mamlaka walionayo viongozi wa chama na serikali ya kuwaambia wananchi wapige kura ya NDIYO kwa katiba pendekzwa, na ndiyo mamlaka walionayo viongozi wa dini ya kuwaambia waumini wao wapige kura ya HAPANA kwa katiba hiyohiyo! Ni kama mguu wa kulia na wakushoto wa same person ndiyo inaposhabihiana ndivyo ilivyo kwa NDIYO na HAPANA, viwili hivi vinaenda kwa pamoja! Sasa basi, kwanini anayetofautina na wewe ndiyo awe hana akili?

Kama Katiba pendekezwa haina kasoro au mapungufu, kuna haja gani ya kuipigia kampeni? Kwanini zitumike nguvu nyingi kulazimisha ipite na, ni kwa manufaa ya nani hasa?
 
Asante sana, umeeleweka vizuri.
 
Mrejesho ni kwamba KOVA anakurupuka na waumini wa Askofu Gwajima kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri na sheria ndogo za nchi wamehudhuria katika Ofisi za Kituo cha Polisi yalipofanyika mahojiano.

Watu wengi sana nimewaona pale Stesheni.

KOVA asicheze na imani za watu hata kidogo, jambo hili litamtokea puani

Mahojiano bado yanaendelea, hakuna imani inayochezewa na mara baada ya ukweli kubainika kila mtu atalipwa sawasawa na matendo yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom