makenze
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 356
- 217
Je ukikuta na mama yako anapigwa utashangilia hivi?Think outside the box.
unazani hiii nchi inaendeshwa kienyeji namna hiyo?????
what if akihojiwa Mbowe aite wanachadema wote wamfate hiyo itakua kituo cha polisi au gulio la katereo????
kama mtu hatii mamlaka zilizopo APIGWE TU MAANA HAMNA NAMNA even the bible say heshimu mamlaka zilizopo
kuna taratibu na sheria zinazoongoza nchi bibie lazima zifuatwe.