ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Kama hii taarifa ipo sahihi basi kamanda usikurupuke hawa watu hawaandamani bali wanaongozana kwenda kituoni.
Piga sana wazinzi hao
Nimeamua kuwa JF passive member kutokana na uharo kama huu kuachwa hapa JF.
Hadhi ya Jukwaa inazidi kuporomoka.
Nilidhani kazi ya Police ni kuchukua maelezo ya pengo au mlalamikaji, pia na maelezo ya gwajima na kupeleka faili lake mahakamani! Sasa huko wanacho muhoji kila siku ni nini kama Police nayo sio chama cha siasa?
Kwanini Police mnatengeneza chuki zisizo za lazima kati yenu, na chama chenu kutoka kwa wananchi, tena kipindi kifupi kabla ya uchaguzi?!
Nilidhani kazi ya Police ni kuchukua maelezo ya pengo au mlalamikaji, pia na maelezo ya gwajima na kupeleka faili lake mahakamani! Sasa huko wanacho muhoji kila siku ni nini kama Police nayo sio chama cha siasa?
Kwanini Police mnatengeneza chuki zisizo za lazima kati yenu, na chama chenu kutoka kwa wananchi, tena kipindi kifupi kabla ya uchaguzi?!
Kumbe hujui! Police nao wameshaichoka hii serikali inayowafanyisha kazi katika mazingira magumu kwa manufaa ya wanasiasa wachache. Hivyo wanafanya makusudi mambo yatakayo ichukiza jamii ili waipige chini serikali na nyingine kuchukua madaraka.
Nakumbuka hata mwaka 2010 katika uchaguzi mkuu wakati ule Masha akiwa waziri wa mambo ya ndani na akigombea kwa mara ya pili Ubunge wa Nyamagana, katika kituo cha kupigia kura kambi kuu ya Polisi Mabatini Mwanza aliambulia kura zisizofikia 10% hivyo kudhihirisha kuwa Polisi wenyewe hawaipendi system iliyopo madarakani.
Hao waumini wake hawana kazi za kufanya? Au ndio usukule wenyewe huo?!!
unapenda matusi inadhihirisha uwezo wako finyu wa hoja. umpt kujibiwa ila mtu mpumbavu akijibiwa hupt ; kichwa.
Matusi aliyotoa ni hatari kwa usalama wa nchi.Aliyemtukana si mtu binafsi kama wewe na mimi NI TAASISI.katukana kiongozi mkuu wa wakatoliki mamilioni.Gwajima anasingizia ana wafuasi elfu 60 pale kawe na uwongo wake!!! Ule uwanja unachukua maximum watu elfu nne tu ukichukua square meter za pale wakiwa tena wamesimama sio wamekaa.Elfu sabini anaosema anao pale ni bla bla na uwongo wake.
Pengo akiamua wakatoliki wote wa Dar wakutane pale Kawe ule uwanja hautatosha hata uwanja wa Taifa hawawezi tosha.Wakiamua ku-react kwa kiongozi wao kutukanwa waweza anzisha vita kwenye kanisa la Gwajima hata kulitia moto na kuleta public unrest.Jamhuri ndio maana imemdaka kwa kutoa matamshi yanayoweza letelea uvunjifu wa amani katika jamii.Pengo wala hana cha kushtaki,Na uzuri Gwajima mwenyewe kakiri kuwa alitamka hayo matusi Pengo AKATAFUTE NINI kwanza hakuwepo hilo eneo wakati Gwajima anavurumisha hiyo mitusi.
Mtu yeyote ambaye hapendi matusi aweza mfungulia kesi Gwajima awe mkristo au sio mkristo aweza mshtaki kwa kuharibu jamii wakiwemo watoto ambao hawajui matusi ni nini kuharibika kwa kuanza kuita watu washenzi,wajinga,wala maharage,wavaa pampers elimu waliyoipata kwa mporomosha mitusi Gwajima kupitia maspika yake
Hawana kazi ndio maana wengi wao maskini tajiri pekee aliyepo pale ni Gwajima wengi wao malofa wasio na kazi(misukule)
Busara ya Gwajima na wale waliomtetea humu na kote kwingineko imeishia hapo. Sasa mtamtambua Seleman, hanaga utani kwenye haya makitu.
Wafuasi wa Gwajima ndio hao hao wafuasi wa CHADEMA wana asili ya kutopenda Amani.
Wakileta za kuleta watandikwe tu maana hakuna namna nyingine.
kova naomba uwapige sana hao watu
hivi mtu unakuwa vipi brain washed hivi????
hapo hata ukiambiwa vaa mabomu si utavaa??