mkuu ww ni bawacha??? by the way ur comment is already here. touch ur ass
Busara ya Gwajima na wale waliomtetea humu na kote kwingineko imeishia hapo. Sasa mtamtambua Seleman, hanaga utani kwenye haya makitu.
Kwa hilo hakuna sababu ya kulaumu polisi. Ifike mahala watu waache kutumia ujinga na umaskini wa Watanzania. Gwajima asimame yeye kama yeye na siyo kuanza kukaa na mwavuli wa waumini. Mtu unatuhumiwa halafu bado unataka huruma ya watu, kama kweli anaamini hana kosa sasa huruma ya waumini ya nini. Hii nchi yetu tunaipeleka wapi? kila mtu yupo juu ya sheria. Kuhijiwa nako unataka waumini washinikize ili usihojiwe na madhambi yako yajulikane. Tafadhali, sheria ichukuwe nafasi yake. Na polisi ni vyema wakahoji vyema alikopata mali hizo wakati waumini bado wanakufa njaa yeye anameeka kwa kuwatapeli.
Mimi ni mumeo
Piga sana wazinzi hao
Usitishe watu ukame weww
Tumezaliwa jangwani
Matusi aporomoshe yeye halafu aombwe kusindikizwa na waumini kwani waumini ndio walimtuma aporomoshe hayo matusi? Anawaonea hata kama ni misukule,misukule nayo inabidi ihurumiwe.Yaani Gwajima hana huruma hata kwa misukule?Huyo Gwajima naye anawatumia waumini vibaya leo ni siku ya kazi watu wanatakiwa waende kazini au
Kwenye biashara zao wajenge uchumi wa Tanzania na sio mambo ya kusindikizana mbona anataka kuaibisha ukristo.