Kosea mambo yote lakini sio kuoa

Ngoja tuone VAR inasemaje kama kweli upo makini.

VAR

 
Naona mengi na wananiambia mengi rafiki zangu walio kwenye ndoa na ambao wako kwenye hatua za mwisho za kukamilisha talaka
 
Kwa Sasa %99 Wanawake Wapo kimaslahi believe me or not.
Hali inatisha sahivi ni aidha umshirikishe Mungu au uhonge akikukubali mzalishe upate lineage, ila kuweka pie kwamba una mke/ life partner io inabidi uitoe akilini..

Maana almost all of them are materialistic ukisema usubiri a good woman utafika 50 years huna mtoto bless on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…