Kosa ni la mwanaume au mwanamke?

Kosa ni la mwanaume au mwanamke?

Wote wana makosa kwa maana hii,

Mwanaume: Inakuaje umekaa mwaka mzima au zaid then unakutana na msichana wako wa zaman unapita hvi hv au ndio mapenz upofu, Hiii nmesema tu ila ki uhalisia ni ngumu

Mwanamke: Mwanamke unakaaje kizembe zembe usjue siku zako in average una siku chache tu za kujua danger zone au loose ball na Kama unajua hujui siku zako why unapigwa free rain?

Conclusion: Jamaa alee mimba hata kama kachomekewa huko mbele ya safar watajua nn cha kufanya na Kwa wengine usiachane na mpenz wako kama unajua kuna siku atakuja kukupiga mbichi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwangu pia ninja haiwezekani ke kaona mwanya akatega dogo akaingia.
Kama vipi muite dem aje ghetto umfanyie vipimo vikuu vya kikemia kwenye papuchi yake ili ugundue
 
Muda mwingine huwa wanafahamu ila wanatufanyia makusudi kabisa!
 
Je me akitelekeza mimba au may be akahisi kashikishwa mimba na sex aliyopewa ilikuwa danganya toto utamlaumu wewe kama mwanamke?
Unatelekezaje bao lako, unalinywa tu ukishalikoroga!!

Shemeji mbona nahisi kama hili ni lako hili[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Unatelekezaje bao lako, unalinywa tu ukishalikoroga!!

Shemeji mbona nahisi kama hili ni lako hili[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Shemeji bao langu si uhalali wake unaishi pale linapochomoka
 
Hivi mkuu wanahesabu mzunguko kwasababu ya sex tu?

Ila hadi mtu anakubali kuminyana anakuwa anawaza nin? Serious! !
Sasa kama hausex unauhesabu wa nini?
 
Marafiki kaka wadogo zangu majirani...nimesimuliwa
Teh teh teeeeeh!! Shem naomba tu ulikubali hili as long as unajua ni kweli ulishiriki na ulimwaga pia.

Ngoja nami niitwepo aunty kwakweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom