Kosa ni la msaliti?

Mpe basi dear hajapata 🀣🀣
Sina namba yake πŸ˜…πŸ˜…

Kuna swali umemuuliza Robert nimecheka sana, unajua kwanini nimecheka? Sababu kwenye story niliyokuhadithia nilimuuliza muhusika same question, (Nikamuliza kwahiyo ikitokea mtu akakupenda will you take advantage of her?)na nimesema kuanzia siku hiyo nikawa namuangalia Boss wangu kwa macho tofauti sana, why? Nilifikiri hadi amekuwa mtu mzima almost miaka 50 itakuwa anaishije na mkewe? nikaover think ni namna gani anamuweka chini mkewe (sio kwa maana mbaya) au ni kwa namna gani ana kaa kimkakati kwa mkewe.

Maana yangu ni kuwa mi pamoja na kujudge matendo najudge maneno yako pia, naamini kabisa kitu /ushauri au mshangao aliotoa ndio kanuni zake za maisha. Ndio maana i never looked him the same, utasemaje mtu aliyekuwa anampenda mkewe hana akili?

Ulivyosema we are the same, ofcoz tunavitu vingi tunafikiria alike, Mi nilivyo anza kazi yangu ya kwanza, kuna dada anaitwa Abe** now anafanya kazi WB, aliponichunguza siku mbili tatu akaniita akanimbia nimekusoma sana nimegundua you are the β€œyounger” version of me, Unavyofanya kazi, unavyo-interact na watu na the way you are carrying yourself, akasema hadi ukiwaga unaongea na simu break time huwa nakusikiliza, najisemea damn this girl is so me! Nikagundua anapenda wasichana pia, just like i, ni yule mdada mkubwa kazini halafu wala hana wivu na vidada sisi vi-junior, ana wa mentor vizuri, yaani she’s 10
i was so happy kuwa mtu niliyemuona nikamuadmire kumbe ananiona alike, so nilifurahi hadi pale nilipokuja kujua side yake ya mahusiano, πŸ™ŒπŸ»πŸ€£ She sooooo weak (baadae tulikuja kufahamiana zaidi hasa alipoacha kazi pale) nilikuja kufahamu husiano lake moja hivi…alimpenda kaka mmoja huyo kaka alimuumizaaa, yaani alimvunja vunja πŸ˜… Sicheki kama mazuri nacheka kwasababu kama ana tabia zangu (yeye amekiri) maana hata kwenye kupenda tunafafana sasa itakuwaje? i was 23 of age I mirrored her halafu nikatengeneza mkakati wa kuishi…….I guess i’m good.

Nimekuhadithia haya yote kwa lengo gani? Chunguza kanuni za ulimwengu ishi nazo, na kanuni hizo umeshazisoma kupitia comment section ya hili bandiko lako. 😘
 
mapenzi ni kamari ya kihisia. huwez kucontrol kilichopo akilini kwa mwenza wako, but you can control how much power their choices have over your life.

Don't gamble what you can't afford to lose
We huwaga miyeyusho ila una madini kinoma!
 
Sina namba yake πŸ˜…πŸ˜…
Atakupatia dear 🀣
Huyo kwa hilo jibu alilokupati lazima tu anaishi na mke wake kama opponent
It’s incredible kwa mwanaume
Wa umri kama wake na nafasi aliyonayo kusema hivyo ndiyo maana hata wewe ulishangazwa
Maana yangu ni kuwa mi pamoja na kujudge matendo najudge maneno yako pia, naamini kabisa kitu /ushauri au mshangao aliotoa ndio kanuni zake za maisha. Ndio maana i never looked him the same, utasemaje mtu aliyekuwa anampenda mkewe hana akili?
Just imagine baby girl
Mtu kajitoa kwa mke wake anaonekana wa jabu
Wow nimevutiwa hapa my love
Ni kweli, sometimes you can look at someone and be like ooh huyu ni mimi
πŸ˜… Pole yake huyo shost kwa hilo husiano lilomgalagazaπŸ’”πŸ€£

Nimekuhadithia haya yote kwa lengo gani? Chunguza kanuni za ulimwengu ishi nazo, na kanuni hizo umeshazisoma kupitia comment section ya hili bandiko lako. 😘
Thank you sweetheart πŸ’“
Nimeichukua kama ilivyo
Love u ❀️
 
Hebu tag hiyo mada ya mtoa hoja tuone na tushauri ShesRise_1
 
Hakuna mwenye X-ray machine ya kuumulika au kuuchunguza moyo(Nia) ya mtu. Kuna mambo tukubali tu kwamba yapo juu ya Uwezo wetu wa kibinadamu. Ndio maana tunashauri kufanya hivi πŸ‘‡

MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.

Kujimwambafy kwenye mambo yaliyo juu ya Uwezo kutazidi kuwakaanga wengi
 
Hakika hakika hakika umenena πŸ‘πŸ‘
Lakini pia watu tujiepushe na kua sababu ya maumivu kwa wengine
Hata kama tumependwa sana na waliutupenda wakajiachia kwetu tusiwaumize

Watu hatujafanana maarifa !
Kuna tofauti kati ya Mke/Mume wa kupewa na Mungu na Mke/Mume wa kujitafutia mwenyewe

MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…