Kosa ni la msaliti?

Kwa hiyo hujawahi sikia tunavyo mlaumu mwanaume mwenzetu asisomeshe mchumba(mwanamke)?

Matokeo hasi ya kusomesha yanaletwa na mchumba(mwanamke) na si yule anaelipa ada (mwanaume), lakini sisi hatuwezi kuacha kumlaumu mwanaume kwa kutotumia akili yake vizuri na hivyo kumsomesha mchumba aliemletea matokeo hasi.

Haimaanishi wanawake wote wanaosomeshwa wanaleta matokeo hasi ila mwanaume atumie akili yake vizuri ndio maana tunamwambia asisomeshe mchumba/mwanamke.

Kwa hiyo hata nyinyi mnakumbushwa kutumia akili vizuri maana sio wanaume wote wapo kwa ajili ya kuanzisha familia kwa dhati. Kutumia akili vizuri haimaanishi uwe jeuri, katili.
 

Ninachosema wote wanamakosa. Na wote watawajibika kwa makosa yao.

Ni kama ile kesi pale Bustani ya Eden

Wewe kumuamini na kumpenda mtu asiye sahihi hilo ni kosa na lazima uwajibike 8
 
Makosa yapo of course. Na hakuna mtu ambaye anaweza kusema hajawai kufanya makosa. Mistakes are there to teach us.

Kama ukikosea unapaswa kujifunza na kuwajibika kwa makosa yako, ili husirudie tena. Husipokubali kujifunza au kuwajibika lazima utarudia makosa yaleyale mpaka utakapojikuta umezama mazima.
 
Upo sahihi kabisa makosa ni ya wote hakuna namna ya msafisha mmoja
 
Dah kasheshe bad boys&bad girls
 
πŸ’―πŸ‘πŸ‘
 
Just imagine darling yaan kwa scenario kama hiyo et bado mtu ana mlaumu victim badala kushangazwa na huyo tapeli mwanamke

Mi hua najiuliza watu wana waza vipi jamaniπŸ™Œ

Wewe ni twin mama kuna vingi tunafanana binti kiziwi
 
Mkuu mimi nakubali sawa
Issue ni kwamba kwanini alaumiwe zaidi mwanaume aliesomesha huyu tapeli aliesomeshwa anaacwa kana kwamba alikua sahihi kumtenda huyo jamaa

Sijui unielewa point yangu?
 
Hao ndo wamefanya nyuzi za kataa ndoa hazikomi kila kukicha. Mpaka vijana wa kiume wanaanzisha nyuzi za kuhasiwa USHENZI MTUPU
Inashangaza sana aisee
Jamii yetu ina watu wenye roho mbaya sijui wanawezaje
 
Shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…