Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,811
- 90,184
Hii scenario unayoelezea hapa inatokea kwa jinsia zote. Sio mwanamke tu. Hata wanaume wanasemwa hivyohivyo, kwa sababu ya kuzama kwenye mapenzi na matapeli.
"Falling in love is dangerous, danger, HATARI"
Hapo kwenye kuamini alooo
Lakini wanawake kawaida wanaangukia kwenye mikono ya matapeli eti wanatafuta bad boys.Twin kuna watu ni matapeli wa kutupwa anaweza kuigiza hata kwa kipindi kirefu sema tu ukiwa makini unaweza kuona red flags ndogo ndogo
Hapa atalaumiwa huyu dada kama unavyosema lakini huyu tapeli nae asiacwe hii ni tabiya mbaya sana kujinufaisha kwa namna hii
Sawa sawa shukrani twini 😊
Ninachoweza kushauriKosa la Mwanamke Anapopenda Ni Nini?
Kuna mtoa mada juzi kasema kwamba dada yake alikuwa in love na mshikaji fulani na mwisho wa siku yule jamaa akamtapeli ikiwemo kadi yake ya bank, na kumuacha akiwa mjamzito
Nikaona baadhi ya comments wakisema kwamba wanawake huwa tunapenda sana bila kuchunguza au kutumia akili
Sasa najiuliza, kosa la huyo dada ni nini hasa?
Kumpenda huyo mwanaume na kumwamini hilo ndiyo kosa?
Kwa nini tusimlaumu kwanza mwanaume kwa kuwa msaliti na tapeli wa mapenzi?
In short ameaminiwa ila amefanya hiyana wakulaumiwa hapa ni huyu binadamu aliekosa utu na kuongozwa na tamaa
Ajabu ni kwamba mwanamke akipenda sana utasikia:
Utasikia 👇
Wanawake wakipenda wanapenda vibaya, hawatumii akili
ooh 👇
Mwanamke akitiwa vizuri hasikii wala haoni
Hapo mwanamke kaonekana amependa vibaya sio kupongezwa kwa kua na upendo usiopimika
Sasa ikitokea mwanamke kaamua kua bandidu
unasikia👇
Wanawake ni majambazi, tusiwaamini, ni watu wabaya, hawana mapenzi..🙄
Na bla bla kibao
Hata hapa jamvini tunaona hizi shutuma
Sasa mimi nashangazwa...
Mwanamke akipenda kwa moyo, akaamini na kujitoa kwa mtu, mwisho wa siku akapigwa matukio na kudhalilishwa, tunaishia kusema:
Alitumia hisia badala ya akili
Na kuacha kulaumu mharibifu
Akiamua kuwa bandidu, kujilinda na kutoweka moyo wake kirahisi, unaambiwa:👇
Huyu sio wife material
Sasa mwanamke afanye nini? 😅
Tukipenda sana, tunatumia akili vibaya
Tukijilinda, hatuna upendo
Tukiamini, tumejitoa bila kuchunguza
Tukikataa kuamini kirahisi, tunaambiwa tuna attitude
Basi kosa la mwanamke linakuwa nini hasa?
Nyinyi wanaume, nawaambieni kitu...
Mwanamke anapojitolea kukupenda kwa moyo bila kuwa na kasumba nyingi, wewe ambaye unapendwa appreciate hiyo nafasi
Usigeuze upendo wa mwenzako kuwa fimbo ya kumchapia
Usitumie udhaifu wa mtu anayekupenda kama silaha dhidi yake
Na kama unaona kwamba upendo unaopewa unakuzidi, au unaona huwezi kuurudisha kwa kiwango anachokupa, ni bora kuwa muwazi kwenye mapenzi kuliko kuendelea kumshikilia mtu huku ukijua humthamini na wala huna haja nae
Mwambie ukweli
Mwambie unachoweza na usichoweza kumpa ajue kabisa ananyoa au anasuka
Na hii hata kwa mwanamke pia ni vivyo hivyo ukiona hujamuelewa mshikaji be open mapema MUDA NI MALI!
Maana wakati mwingine kinachomuumiza mtu si kwamba hapendwi, bali ni kupewa matumaini na mtu ambaye tayari anajua hawezi kumpenda
Na mwisho wa siku, moyo wenye upendo si ule unaopenda tu
Moyo wenye upendo ni ule ambao haumuumizi mwingine kwa makusudi(labda bahati mbaya)
Swali la mjadala 👇
Kosa ni la anaependa sana na kujitolea?
Au kosa ni la anaeumiza mwingine
Kwa kumjeruhi kihisia au hata kiuchumi?
ShesRise_1 ✋️
Lakini wanawake kawaida wanaangukia kwenye mikono ya matapeli eti wanatafuta bad boys.
Mwanamke ni kawaida kumkataa mwanaume sahihi, akaenda kumchagua mwanaume tapeli, katili.
Ni same tu kwa kijana wa kiume anaweza kumwacha Binti anayejielewa, akaenda kuwachagua sijui wanawahita bad girls.
MAPENZI UPOFU
Unatema fact tupu leo mwehu ndama safiii 🔥🔥mapenzi ni kamari ya kihisia. huwez kucontrol kilichopo akilini kwa mwenza wako, but you can control how much power their choices have over your life.
Don't gamble what you can't afford to lose
Unatema fact tupu leo mwehu ndama safiii 🔥🔥
Huwezi kucontrol kilichopo akilini kwa mwenza wako :hii ni kweli
Sawa nimeelewa kakaMimi sizungumzii Mwanamke. Nazungumzia makosa.
Nakubali ndiyoMwanamke ni kama mwanaume.
Kumpenda mtu ni kosa kama utampenda mtu asiye sahihi. Elewa hilo.
Sawa mkuuKumkatili mtu ni jambo jema kama utamkatili mtu sahihi.
Kupenda kicwa kicwa inaweza kua mbaya lakini wewe uliependwa kicwa kicwa na kuaminiwaSo hilo wanalosema wanawake wanapenda kichwakichwa au wale wanaume wanaopigwa za uso kwangu naona wanastahili kwa sababu wangekuwa makini yasingewapata.
Hakika matapeli ya mapenzi hayana alama ni kukaa chonjoHii scenario unayoelezea hapa inatokea kwa jinsia zote. Sio mwanamke tu. Hata wanaume wanasemwa hivyohivyo, kwa sababu ya kuzama kwenye mapenzi na matapeli.
Exactly 👏"Falling in love is dangerous, danger, HATARI"
Unatafuta amani kwenye kambi ya magaidi 😂Sawa nimeelewa kaka
Nakubali ndiyo
Sawa mkuu
Kupenda kicwa kicwa inaweza kua mbaya lakini wewe uliependwa kicwa kicwa na kuaminiwa
Kwanini umtendee maovu huyo mwenza wako kosa lake nini kubwa hata asitahili kutendewa au kulipwa maumivu?
Hakika hakika hakika umenena 👏👏Ninachoweza kushauri
Penda kwa moyo.
Chunguza kwa akili.
Jenga kwa muda.
Weka mipaka.
Na usimlazimishe mtu kukupenda.
Kwa sababu moyo wenye upendo sio ule unaopenda tu.
Moyo wenye upendo ni ule unaojua kupenda bila kumuumiza mwingine na pia bila kujiumiza wenyewe kwa makusudi
Sawa nimeelewa kaka
Nakubali ndiyo
Sawa mkuu
Kupenda kicwa kicwa inaweza kua mbaya lakini wewe uliependwa kicwa kicwa na kuaminiwa
Kwanini umtendee maovu huyo mwenza wako kosa lake nini kubwa hata asitahili kutendewa au kulipwa maumivu?
Wallah sijui mi nipo je 😅😅Unatafuta amani kwenye kambi ya magaidi 😂
Haha pole sana.Wallah sijui mi nipo je 😅😅
Hakuna namna nitaeleweka naona kwa sababu nadhani tumetofautia mioyoMimi sijakutendea uovu.
Mimi sio mwaminifu ila uliamua kunipenda hivyohivyo.
Alikuchagua au mlichaguanaKwa nini hukuchagua waaminifu ili ulipwe uaminifu. Badala yake ukanichagua mimi mhuni.
Ulitegemea ule Ndizi alafu upate ladha ya nanasi Mdogo wangu?
Sawa sawaHii Dunia lazima ujue wapo wema na wabaya. Ukishalijua hilo kazi inabaki kwako. Unaamua unachagua yupi.
Unaongea like wewe hujawahi kufanya mistakeKitendo cha kusema hujui mwema ni yupi na mbaya ni yupi ni kiashiria hujitambui, hujui unataka nini,
Ndio maana kuna muda unatakiwa uchunguze.
Kosa ni lake na kosa ni lako piaUmeingia kwenye biashara ya madini.
Lazima ujue kuna chupa na vioo au mawe yanayofanana na madini lakini sio madini.
So ukiuziwa chupa na mtu akakuambia ni Madini kosa ni lako wewe sio lake. Kwa sababu wewe ulinunua ile chupa kama madini, wakati sio madini
Kasheshe aisee lakini kwa nini huyo tapeli anaonekana kana kwamba yupo sahihiHaha pole sana.
Mtu akizama kwenye penzi aambiwi chochote kuhusu mpenzi wake. Hata kama mtaa mzima unamjua ye ni tapeli, ye atajifariji nimempenda nitaendana nae hivyohivyo.
Kabisa kabisa Na hapo ndipo tunapogusa jambo muhimu sana: kila mtu ana matarajio yake kwenye mahusiano, na watu hatujafanana maarifa, malezi, uzoefu wala namna ya kutafsiri upendo.Hakika hakika hakika umenena 👏👏
Lakini pia watu tujiepushe na kua sababu ya maumivu kwa wengine
Hata kama tumependwa sana na waliutupenda wakajiachia kwetu tusiwaumize
Watu hatujafanana maarifa !