Wood Stone
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 647
- 1,015
Hiyo ilikuwa zamani ila kwasasa km mkeo analiwa bora umsamehe mrudiane au muachane na ukumbuke hakuna adhabu au mashitaka ya mgoni (mtu uliyemfumania). Haya mambo humalizika kwa ngazi za chini kwa balozi na mwenyekiti au baraza la wazee. Ukimla tigo mgoni wako na kukushitaki utahukumiwa miaka 30 au kifungo cha maisha kwa kesi ya ulawiti.Endelea IPO siku utaliuwa tigo
Uaminifu wa mwanaume upimwa akiwa na pesa na uaminifu wa mwanamke upimwa mwanaume akiwa hana pesa. Huyo jamaa alifanya makosa sana ni halali mwanamke kumkataa. Mwanamke hana kosa km jamaa anapesa alimuacha mkewe ni sahihi 100% mwanamke kumuacha jamaa. Huyo jamaa apambane na hali yake tu.
mpe pole sana. Malipo ni hapa hapa duniani