Kosa langu mimi liko wapi?

Kosa langu mimi liko wapi?

mkuu msemakweli2 labda ulikuwa hujui mkuu naomba hapa nikujulishe, unatembea na mke wa mtu mkuu, jiandae na wewe wako atachukuliwa tu. Jiandae kisaikolojia kumegewa.
 
Kwanini umeshauriana na huyo mwanamke mpumbavu ili amfilisi mume wake...hiki ndio kitu unachokificha kukisema
 
Back
Top Bottom