Kosa langu mimi liko wapi?

msemakweli2

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
1,627
1,880
Nilibahatika kuwa karibu na binti mmoja hivi ambaye aliniomba ushauri alikuwa anataka kuachana na mumewe na alitaka kutoroka amuachie watoto,nikamketisha chini nikampa ushauri nikamwambia amekosana na mume iweje awaache watoto wadogo wateseke.

Nikamsihi ndoa ni uvumilivu msamehe mumeo muendelee na maisha,kisa cha kukosana ni kwamba mumewe ni mfanyabiashara alikuwa na mkwanja mnene akawa hamjali demu,jamaa akachukua chombo kingine akakijengea akawa hana muda na mkewe,sasa amefilisika anarudi nyumbani anajidai anampenda tena mkewe.

Mkewe kwa sasa ana hela ya maana kwakuwa baada ya kumshauri na akanielewa akakubali kubaki nikampa kimtaji akakitumia vizuri sasa hivi ana maduka manne.

Jamaa anaanza kujisogeza mwanamke hataki anasema alishaumia sana, mpaka vyumba wametengana sasa mwanamke nimejaribu kumuweka chini kumwambia asahau yaliyopita arudiane na jamaa yake hataki kunielewa nikianza hizo stori za bwanake ananuna kabisa na maongezi yanakatika.

Mimi nikaona sio mbaya ngoja niendelee ninavyokwambia ni mwaka wa pili sasa nakula vitu,haambiwi wala hasikii anasema alishamtoa jamaa kwenye moyo wake.

NAULIZA WADAU KOSA LANGU MIMI NI LIPI HAPO?
 
Kama rahisi muambie aombe talaka umuoe, jinga kabisa wewe eti amemfuta mumewe hivi unatujua wanawake tukifuta mwanaume kimapenzi?hao wasingeiishi nyumba moja.

Kwa ufupi anampikia mumewe, anamfulia, na kitandani kama kawa subiri uambie ana mimba ulee kumbe ya mwanaume mwenzio
 
jamaa halitaki kutoa talaka,amenidhibitishia mdogo wake na yeye mwenyewe kwamba wanalala vyumba tofauti,jamaa ashaenda hadi ukweni kuomba suluhu dem kakataa, kumbuka saivi demu ana pesa chafu na jamaa ni kapuku anajifungia ndani tu
 
kama unamlia vitu huu mwaka wa pili lazima kashtuka
km sio watu wasiojulikana kukuvamia
basi mchezo wa kupigwa kideo unakaribia hii picha tunaisubiria
wewe watoto amepata naye wewe umempa maduka manne
sijui jipimie
 
nilibahatika kuwa karibu na binti mmoja hivi ambaye aliniomba ushauri alikuwa anataka kuachana na mumewe na alitaka kutoroka amuachie watoto,nikamketisha chini nikampa ushauri nikamwambia amekosana na mume iweje awaache watoto wadogo wateseke,nikamsihi ndoa ni uvumilivu msamehe mumeo muendelee na maisha,kisa cha kukosana ni kwamba mumewe ni mfanya biashara alikuwa na mkwanja mnene akawa hamjali demu,jamaa akachukua chombo kingine akakijengea akawa hana muda na mkewe,sasa amefilisika anarudi nyumbani anajidai anampenda tena mkewe, mkewe kwa sasa anahela ya maana kwakuwa baada ya kumshauri na akanielewa akakubali kubaki nikampa kimtaji akakitumia vizuri saivi ana maduka manne,jamaa anaanza kujisogeza mwanamke hataki anasema alishaumia sana, mpaka vyumba wametengana sasa mwanamke nimejaribu kumuweka chini kumwambia asahau yaliyopita arudiane na jamaa yake hataki kunielewa nikianza hizo stori za bwanake ananuna kabisa na maongezi yanakatika,mimi nikaona sio mbaya ngoja niendelee ninavyokwambia ni mwaka wa pili sasa nakula vitu,haambiwi wala hasikii anasema alishamtoa jamaa kwenye moyo wake.NAULIZA WADAU KOSA LANGU MIMI NI LIPI HAPO?
kosa lako ni kutembea na mke wa mtu .....acha mkuu nina kisa cha kweli kabisa kinachofanana kabisa na hiki mwisho wake hauwi mzuri kwenu wote watatu niishie hapa
 
nilibahatika kuwa karibu na binti mmoja hivi ambaye aliniomba ushauri alikuwa anataka kuachana na mumewe na alitaka kutoroka amuachie watoto,nikamketisha chini nikampa ushauri nikamwambia amekosana na mume iweje awaache watoto wadogo wateseke,nikamsihi ndoa ni uvumilivu msamehe mumeo muendelee na maisha,kisa cha kukosana ni kwamba mumewe ni mfanya biashara alikuwa na mkwanja mnene akawa hamjali demu,jamaa akachukua chombo kingine akakijengea akawa hana muda na mkewe,sasa amefilisika anarudi nyumbani anajidai anampenda tena mkewe, mkewe kwa sasa anahela ya maana kwakuwa baada ya kumshauri na akanielewa akakubali kubaki nikampa kimtaji akakitumia vizuri saivi ana maduka manne,jamaa anaanza kujisogeza mwanamke hataki anasema alishaumia sana, mpaka vyumba wametengana sasa mwanamke nimejaribu kumuweka chini kumwambia asahau yaliyopita arudiane na jamaa yake hataki kunielewa nikianza hizo stori za bwanake ananuna kabisa na maongezi yanakatika,mimi nikaona sio mbaya ngoja niendelee ninavyokwambia ni mwaka wa pili sasa nakula vitu,haambiwi wala hasikii anasema alishamtoa jamaa kwenye moyo wake.NAULIZA WADAU KOSA LANGU MIMI NI LIPI HAPO?
Endelea IPO siku utaliuwa tigo
 
Back
Top Bottom