Kosa langu li-wapi?

Kosa langu li-wapi?

Wewe ulipaswa kujua pa kuishia, na hauwezi kumlaumu yule binti. By the way, binti anaweza asiwe na tatizo, mama ndo amatatizika.

Usiongelee mchumba, siku hizi watu wana waume ana wake na still wanaenda kwa small house na kujikawaidisha. Kama haujawahi kualikwa na mwanaume anaekutolea macho kwenda hospitali kumuangalia mkewe akiwa mgonjwa, baso wewe bado ni binti!

..... King'asti, kwa mtazamo wako, unadhani/unahisi yule mama anaweza kuwa na tatizo gani katika kesi hii?

Nime edit post yangu hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
King''asti asante kwa ushauri. Lakini kumbuka yule yule binti ndiye alikuwa karibu sana na mimi kiasi kwamba nilimueleza mahusiano yangu. na nilipopita kwenda Bagamoyo nilikuwa nakwenda likizo na mchumba wangu na wote walilitambua hilo. Je hiyo haikutosha wao kuelewa kuwa hakukuwa na uhusiano kati yangu na yule baba?
Afadhali umefafanua hili.... It makes me a little eaiser....

you being a woman utafahamu kwamba wanawake hawaaminiani, na hasa wamama kwa mabinti

just know your limit
 
@Mbu pamoja na kuzisoma alama za nyakati lakini miye ninaamini bado kuna Binadamu wema wengi tu duniani ambao wanaweza kabisa kutoa msaada kwa kuguswa na historia ya mhusika mwenye jinsia tofauti bila kutaka kunufaika kwa kupewa ngono na nimebahatika kukutana na watu kama hao ndiyo maana sioni ajabu yeyote kwa huyo Baba kutoa msaada kwa nia njema kabisa bila kufikiria maswala ya ngono na huyu dada. Binadamu tumepoteza kabisa imani miongoni mwetu kiasi ambacho story kama hii katika dunia ya leo inaonekana ni kitu ambacho ni cha ajabu sana na hakiwezekani. Alama za nyakati haziko 100% accurate bado kuna wema wengi tu hapa duniani.

.....lol, kaka .....sarcasm zimezidi nawee, kha?

"Grooming"....!!!

Huyo baba anajenga mazingira mazuri si kwa mlengwa pekee, bali hata kwa mpenzi wa mlengwa, na familia yake.
BAK, haya mambo yanatokea na yamezidi sana miaka hii. Wanaume wanahonga nyumba, gari na mengine mengi yenye thamani ya mamilioni ya fedha kupata wanachokikusudia.

Dada'ngu huyu is either too naive, au too smart penye "kula na kipofu." 😀
 
Wanaume mnaaminiana? Ferengeti boi aje akalale kwa mkeo wiki, mkoa mwingine. Afu aje kwako wiki umlee hapo. Na anafadhiliwa na mkeo.kweli? Labda vile mie silali kwa watu, hata kama ni wafadhili.
Afadhali umefafanua hili.... It makes me a little eaiser....

you being a woman utafahamu kwamba wanawake hawaaminiani, na hasa wamama kwa mabinti

just know your limit
 
Ninapomsemea binti asie na tatizo namaanisha daughter wa baba mlezi.
Kwamba daughter kaona yeye kapata big sister na anaenda kuzurura dodoma na mwanae bila gharama. Mama sijamaanisha ana matatizo bali anatatizika (she is bothered?). Ofcoz most of us women will be bothered by this. Nahisi kilichomtatiza mama ni kwa huyu msaidiwa kutokuwa na ukaribu na mama hata baada ya kumjua (kaambiwa msiba na dingi na kakurupuka bila mawasiliano na maza). Lakini pia hicho kitendo cha kulala kwao nahisi mama hakupenda.
..... King'asti, kwa mtazamo wako, unadhani/unahisi yule mama anaweza kuwa na tatizo gani katika kesi hii?

Nime edit post yangu hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ninapomsemea binti asie na tatizo namaanisha daughter wa baba mlezi.
Kwamba daughter kaona yeye kapata big sister na anaenda kuzurura dodoma na mwanae bila gharama. Mama sijamaanisha ana matatizo bali anatatizika (she is bothered?). Ofcoz most of us women will be bothered by this. Nahisi kilichomtatiza mama ni kwa huyu msaidiwa kutokuwa na ukaribu na mama hata baada ya kumjua (kaambiwa msiba na dingi na kakurupuka bila mawasiliano na maza). Lakini pia hicho kitendo cha kulala kwao nahisi mama hakupenda.

King'asti
Kumbe wewe kichwa ee! Una akili.I like women who know better their womanhood and admit their positions
 
Last edited by a moderator:
@Mbu pamoja na kuzisoma alama za nyakati lakini miye ninaamini bado kuna Binadamu wema wengi tu duniani ambao wanaweza kabisa kutoa msaada kwa kuguswa na historia ya mhusika mwenye jinsia tofauti bila kutaka kunufaika kwa kupewa ngono na nimebahatika kukutana na watu kama hao ndiyo maana sioni ajabu yeyote kwa huyo Baba kutoa msaada kwa nia njema kabisa bila kufikiria maswala ya ngono na huyu dada. Binadamu tumepoteza kabisa imani miongoni mwetu kiasi ambacho story kama hii katika dunia ya leo inaonekana ni kitu ambacho ni cha ajabu sana na hakiwezekani. Alama za nyakati haziko 100% accurate bado kuna wema wengi tu hapa duniani.

.....asante kamanda, unayosema sahihi mie nikiwa mmojawapo katika waliopoteza uamini wa " 'friendship' without benefits"...

Kwa experiences zangu (za hivi karibuni) nimeshuhudia mtu na mtalaka wake wamepelekana mahakamani kudaiana haki za msingi, baba wa mume anamgharamikia 100% wakili wa kumtetea mkwewe.

.....hapana shk, dunia imevaa pensi na shati imekunja bro....katika kumi basi wewe tu ndiye uliye salama.
 
Wanaume mnaaminiana? Ferengeti boi aje akalale kwa mkeo wiki, mkoa mwingine. Afu aje kwako wiki umlee hapo. Na anafadhiliwa na mkeo.kweli? Labda vile mie silali kwa watu, hata kama ni wafadhili.

haina tatizo

kama kuliwa ataliwa tu, hata ukae nae 24 years...

Mjomba wangu alinipa kisa muhimu sana siku namwambia nataka kuoa, alinisimulia true story ya pale ilala "kotaz" enzi hizo watumishi wanapewa nyumba pale, miaka ya mwisho ya sitini na early seventies, anakwambia kuna jamaa alikua ana wivu na anachazara mkewe "libolo" kutwa kalini alikua kila akienda kazini kuna muuza "uduvi" mmoja anakuja anasemama kwa nje ya michongoma na binti anainama kama anosha vyombo lakini nyoro yote iko michongomani na wanamaliza kazi

since then, sijiumizi kichwa kuhisi, kuzuia wala nini........... tena bora huyo anayekuja nyumbani na heshima ya kinafiki kuliko kumi walio kitaa wanabutua na kujadili mbunye mkeo kila uchao

sadly, that is how is love my life, less stress as there is no guarantee on any human soul... especially if we can even keep the promises we made to ourselves!!
 
Mkuu ndio dunia yetu ilivyo siku hizi. Ubinadamu wa kusaidiana umepotea kabisa. Huyo Baba baada ya kusikia historia ya maisha ikawa imemgusa na kwa kuona alikuwa ana uwezo wa kukusaidia ili kunyanyua kiwango chako cha maisha basi hakusita kufanya hivyo. Akaamua na kukutambulisha nyumbani kwa mkewe na watoto ili kuhakikisha kwamba hakuna lolote atakalolifanya kwako kwa kifichokificho, lakini kwa kuwa dunia yetu siku hizi ni tambara bovu basi hitimisho la kwanza la Mama mwenye nyumba ni kwamba kulikuwa na mahusiano ya kimapenzi kati yako na yule Baba kitu ambacho hakikuwa na ukweli kama ulivyoelezea.

Mama angeweza kabisa kufanya uchunguzi kufikia hitimisho la kweli na kwa kuwa wakati mwingine ulikuwa ukisafiri na mchumba wako kwenye familia ya huyo Baba hiyo ingesaidia pia kuonyesha hakukuwa na mahusiano ya kimapenzi lakini ndiyo hivyo tena. Si ajabu hata ungekuwa Mwanaume yule mama bado hitimisho lake lingekuwa ni negative kwamba Mumewe amejiingiza katika mahusiano ya jinsia moja vinginevyo haiwezekani kumpa msaada mtu ambaye hauna nasaba naye hata ya kuunga na gundi. Pole sana.

uko sahihi kaka,ht angejua hamna mahusiano kat yao angehc ana undugu na nyumba ndogo yake au mtoto wa hawala wake na pengne mtoto wa nje aliyebambikiwa(bcoz hafanan nae wala hafanan na yeyote ktk uko)
mtu anayewaza mabaya hatakosa lakusemea!
Ndo dunia yetu ya sasa hamna kusaidiana unless kuna benefits in return,watu wanaosaidia bila kutegemea chochote wapo pia na hawa weng wao ni washawah kusaidiwa bila kulipa chochote ivo wanajua kwao ni km kulipa fadhila!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Shukrani sana Mkuu. Duniani bado kuna wema wengi tu ambao mambo wanayoyafanya kwa binadamu wenzao baada ya kuguswa na historia ya maisha yao ni makubwa sana ukibahatika kuyasikia unaweza kuangusha chozi lakini ndiyo hivyo wakati huu tuliokuwa nao watu wengi wameondoa kabisa imani kwamba Mwanaume hawezi kumsaidia mwanamke kwa kiwango cha juu kabisa ambaye hana undugu naye bila ya kumtaka kimapenzi, hali hii inasikitisha sana lakini huwezi kuwabadilisha baadhi ya binadamu na imani zao kwenye maswala kama haya.

uko sahihi kaka,ht angejua hamna mahusiano kat yao angehc ana undugu na nyumba ndogo yake au mtoto wa hawala wake na pengne mtoto wa nje aliyebambikiwa(bcoz hafanan nae wala hafanan na yeyote ktk uko)
mtu anayewaza mabaya hatakosa lakusemea!
Ndo dunia yetu ya sasa hamna kusaidiana unless kuna benefits in return,watu wanaosaidia bila kutegemea chochote wapo pia na hawa weng wao ni washawah kusaidiwa bila kulipa chochote ivo wanajua kwao ni km kulipa fadhila!
 
Wachangiaji wengi wamekuwa na negative perception juu ya mtoa mada..... Wanasahau kwamba hata angemsaidia mtoto wa kiume bado isingelisaidia make kama yule maza hausi kama hamuamini mumewe angeliweza kusema yule mbaba anamgeuza huyo mtoto wa kiume.....
 
haina tatizo

kama kuliwa ataliwa tu, hata ukae nae 24 years...

Mjomba wangu alinipa kisa muhimu sana siku namwambia nataka kuoa, alinisimulia true story ya pale ilala "kotaz" enzi hizo watumishi wanapewa nyumba pale, miaka ya mwisho ya sitini na early seventies, anakwambia kuna jamaa alikua ana wivu na anachazara mkewe "libolo" kutwa kalini alikua kila akienda kazini kuna muuza "uduvi" mmoja anakuja anasemama kwa nje ya michongoma na binti anainama kama anosha vyombo lakini nyoro yote iko michongomani na wanamaliza kazi
since then, sijiumizi kichwa kuhisi, kuzuia wala nini........... tena bora huyo anayekuja nyumbani na heshima ya kinafiki kuliko kumi walio kitaa wanabutua na kujadili mbunye mkeo kila uchao

Hapo sawa kabisa km umekubaliana nasi (hapo kwenye red) ni lazima huyo Mzee atakuja kumcharaza tu ili kulipa Fadhila
Kwa hiyo Mama mwenye Mume ana haki kwa wakati huu wa Uhai wake alinde vyake kwani kuna mchangiaji kamuuliza hivi huyu Mzee akija kumlilia machozi kabisa hatamuonea huruma kutoa Penzi?

Pole sana,
swali hapa ni je kama baba mlezi angeomba?
ungekuwa na ubavu wa kumnyima?
 
sijaona kosa hapo, nadhani yule mama aliwasimulia rafiki zake kuhusu uhusiano wako na familia ile sasa kilichotokea ni aidha rafiki zake walimwambia huyo atakuja kurith na mali au atakuja akuibie mumeo...kuhusu huyo binti nadhani aliona ugomvi kati ya mama na baba,mama akitaka uhusiano na familia ile ufe akati baba lazma alikutetea cz anajua maisha yako!
 
pole, wewe ushapata elimu, kaa mbali na huyo mzee, msaidie tu pale inapobidi
 
Namshanhaa huyu binti, hajui mume mtamu?

Wangeweka uhusiano wao hadharani from day 1 na mke akahusishwa, na labda waka,-adopt akaishi pale pale ili mama aweze kuwa-monitor

Hahaha, typical wife reply!

Kama ni mimi huyo mama, nahisi ningekuwa comfortable zaidi kama toka mwanzo hajaanza kumsaidia angeniambia. Na ningeshirikishwa waziwazi juu ya matumizi yake etc. Na ukiangalia mama aliuliza 'nani kakuambia kuhusu msiba?!'. Binti anaambiwa about msiba na hajampa pole maza house,(im a Leo, sijui ndo maana niko somehow controlling?)
huyo daughter nae (nna wivu na babangu kuliko Paw aisee. Babangu na kaka zangu, hehehe! Ntahamisha mtu mjini!). Ningekuwa mie ndo yeye nahisi ningeweka distance kiduchu pia.

Ila on a serious note, tabia ya kwenda kulala kwa watu siipendi! Uliwezaje.kwenda kukaa kwa huyo mama wiki, angekumwagia maji ya moto ukiwa umelala je?
 
pole dada
unaweza uwe na kosa/usiwe na kosa
nilichokiona hapa kwamba umekuwa karibu sana na baba mlezi
hata ulipopata taarifa ya msiba ulipaswa kutoa pole/mawasiliano na mama mlezi
kwa macho/moyo wa kibinadamu inaleta maswali bila majibu............
ndio kilichopelekea mwanamke hata ningekuwa mie nipate woga wa ndoa yangu
punguza ukaribu na hiyo familia zaidi baba mlezi
 
OMG!!!
'
King'asti ,Ni kweli huyu dada alitakiwa asome alama za nyakati,lakini ni wakati gani alitakiwa kufikiri hivyo?
'
Wakati wa kusoma au kazi?
'
Huyu dada shukrani ya pekee aliyompatia huyu mzee ni kuwa mwanae
'
Ni jambo la kustua sana angemuambia huyo mzee mambo ya ajabu kuwa anasoma alama za nyakati!
'
Tunaojidai tunasaidia haya ndo matunda yetu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom