Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Wewe ulipaswa kujua pa kuishia, na hauwezi kumlaumu yule binti. By the way, binti anaweza asiwe na tatizo, mama ndo amatatizika.
Usiongelee mchumba, siku hizi watu wana waume ana wake na still wanaenda kwa small house na kujikawaidisha. Kama haujawahi kualikwa na mwanaume anaekutolea macho kwenda hospitali kumuangalia mkewe akiwa mgonjwa, baso wewe bado ni binti!
..... King'asti, kwa mtazamo wako, unadhani/unahisi yule mama anaweza kuwa na tatizo gani katika kesi hii?
Nime edit post yangu hapo juu.
Last edited by a moderator: