uharibifu wa mali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania KOSA LA UHARIBIFU WA MALI

    kifungu cha 326 (1) cha Kanuni ya Adhabu [Sura ya 16 R.E 2023]. Chini ya kifungu hiki upande wa Mashtaka au tuseme mlalamikaji anatakiwa kuthibitisha yafuatayo; i. Kwamba mtuhumiwa alikuwa ameharibu au kuharibu mali. ii. Mali hiyo iliyoharibiwa au kuharibiwa ni mali ya mtu mwingine. iii...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wote wanaolalamikia serikali kuhusu Oktoba 29 hao wakamatwe. Ndio waliowatuma vijana kufanya uasi na uharibifu wa mali za umma

    Rais Samia umekosea sana kutoa msamaha kwa wahalifu wa October 29. Unadhani utapendwa na watu wote? Unadhani wapinzani watabadili mtizamo wao juu yako? Wewe ndiye uliwapa kupumua wapinzani baada ya kibano kitakatifu cha miaka 6 mfululizo bila kupumua. Ulipoingia ndipo ukawapa uhuru, hata...
  3. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu propaganda zako tumezikataa, watanzania wa leo si wajinga kama unavyofikiria

    Cheki hii orodha iliyotolewa na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu idadi ya vitu vilivyochomwa moto wakati wa Maandamano ya Oktoba 29, 2025. 1. Ofisi za Serikali 756 2. Vituo vya mwendokasi 26 3. Vituo vya Polisi 159 4. Vituo vya mafuta 672 5. Magari Binafsi 1642 6. Pikipiki binafsi 2268 7...
Back
Top Bottom