Kosa la Tundu Lissu ni nini?

Kosa la Tundu Lissu ni nini?

Risasi 38; zimevunja vunja mifupa tu lakini hazikugusa mshipa mkubwa wowote wa damu ili ivuje kwa kasi na Lissu apoteze maisha instantly hata kabla ya kufika General Hosp.

Risasi 38 zikapenya lakini cha ajabu hakuna hata moja iliyopitia mishipa ya fahamu (nerves) ili hata kama akipona baadhi ya viongo vyake visifanye kazi. ( vipaparize). Moja ikapenya na imetulia kwenye uti wa mgongo... Sasa jiulize uti wa mgongo una nerves ngapi? Lakini risasi imepenya na ipo humo bila madhara.

Hayo yote hayakuwezekana; Tumesoma unabii uliofanyika miaka mingi sana katika vitabu vitakatifu wakati ule mwenyezi Mungu alipokuwa karibu mno na wanadamu - huu pia ni unabii; Mungu alitaka kusema nasi kupitia shambulio hili. Kwa akili ya kawaida kabisa Lissu alikuwa haponi.

Hapo ndipo unafikia hatua ya kusema hapa duniani hatujajileta na hii dunia haijajiumba!!

Mtoa mada wala usiwe na wasiwasi na fedha za matibabu; aliyemponya lazima atamsimamia; na so far anamsimamia kweli.
Naam, mkuu, Hili ndio jibu sahihi kwa hoja nzito ya Dotto Bulendu. Mungu mwenyewe aliingilia kati na kuamua kwamba Tundu Lissu awe kama alivyo. Inafikia hatua watu wanajiuliza hivi hawa watu walikuwa professional killers kweli? Lakini hiyo ni kwa sababu Mungu ameingilia kati, ndio maana Tundu Lissu yuko hai leo hii na yuko hivyo alivyo. Mungu mwenyewe anamsimamia, pamoja na roho mbaya ya serikali yetu kukataza watu kuchangia damu, kukataza hata kumwombea! Lakini MUNGU AMEJIBU ILE NIA YA WATANZANIA, HIVYO HATA NJAMA ZA POLISI KUWAZUIA WATU WASIMWOMBEE LISSU HAZINA MAANA.

Lakini Pamoja na hisia kali za Dotto Bulendu, Pamoja na nia yake nzuri sana, lakini amekosea kidoooogoooo....Yaani Tundu Lissu si kwamba analilia saaaana msaada wa serikali ya Tanzania. ni kweli mateso yapo, lakini anachodai Tundu Lissu siyo MSAADA WA SERIKALI bali anadai HAKI YAKE. Tundu Lissu ni shujaa muda wote, mpaka hivi sasa, na kwa jinsi Serikali ya JPM imeshughulikia suala la Lissu, Lissu ni mshindi tayari. Hoja aliyoijenga imeeleweka, na serikali inazidi kujikaanga, vyovyote itakavyofanya kwa sasa.
 
Bunge halina tatizo kabisa, kama unakumbuka Ndugai baada ya kuona lawama zote anapewa yeye aliomba familia ya Lisu iandike barua kweli ikafanya ivo na Ndugai alisema "tulimaliza taratibu zote za kibumbe kisha tukampelekea Raisi maana kisheria yeye ndiye muidhinishaji wa mwisho kua pesa itoke au isitoke, Raisi hakusaini kwa hiyo pesa haikutoka" Ndugai alinawa mikono ko mbaya ni huyu jiwe shetani mtu anayetaka Mh Lisu afe.
Lakini Mungu Mkubwa na ni mwema siku zote.
 
Hakuna jambo linalotokea kw bahati mbaya.kila jambo huwa ma sbbu zake.lissu anayo majibu ya kila kitu.mchawi wa lissu no lissu mwenyewe.
 
Kama unamwombea msamaha basi ni dhahiri amewakosea watanzania, and si ajabu kosa unalijua
 
Doto Bulendu bro. huwa pale ninapopata muda nafuatilia na napenda sana unapoongoza vipindi au mijadala pale Startv! Hongera sana. Umeongea kwa uchungu sana kama mtanzania mwingine mwenye mapenzi na Lissu..

Ninachojua mimi kama mtanzania, ilikuwani mihemko ya kisiasa ndiyo imezaa haya leo hii na kuanza kuonekana kwamba Tundu ametelekezwa na bunge ama serikali. Watanzania tumekengeuka, hatuelimishani mambo mema siku hizi.

Kuna ngazi za matibabu na utaratibu wake, kwa.mfano ukitibiwa ngazi ya zahanati na tatizo likawa chini ya uwezo wa kituo, basi mgonjwa anapewa refferal leter kwenda ngazi ya juu kama Hospital level. Pia na ngazi hiyo ikishindwa kutoa huduma kwa manufaa ya mgonjwa pia hupelekwa ngazi ya juu yake mpaka inafika ngazi ya hospitali ya taifa. Na kama hapo itaonekana kama tatizo bado lipo nje yao ndipo hao hutoa kibali cha kwenda kutibiwa nje ya nchi.

Ombi langu na mimi pia labda tuungane watanzani wot kumwomba mh. Rais maana ndiye yeye mwenye mamlaka zaidi, afanye msaada kama anavyofanya kwa watanzania wengine.
Kusema utaratibu haukufuatwa ilikuwa ni chenga kupindisha ukweli, jaribu kuwa mwelewa kwenye mwongozo wao wa bunge kuhusu mbunge kutibiwa hakuna sehemu iliyoandikwa hizo hatua.
 
Risasi 38; zimevunja vunja mifupa tu lakini hazikugusa mshipa mkubwa wowote wa damu ili ivuje kwa kasi na Lissu apoteze maisha instantly hata kabla ya kufika General Hosp.

Risasi 38 zikapenya lakini cha ajabu hakuna hata moja iliyopitia mishipa ya fahamu (nerves) ili hata kama akipona baadhi ya viongo vyake visifanye kazi. ( vipaparize). Moja ikapenya na imetulia kwenye uti wa mgongo... Sasa jiulize uti wa mgongo una nerves ngapi? Lakini risasi imepenya na ipo humo bila madhara.

Hayo yote hayakuwezekana; Tumesoma unabii uliofanyika miaka mingi sana katika vitabu vitakatifu wakati ule mwenyezi Mungu alipokuwa karibu mno na wanadamu - huu pia ni unabii; Mungu alitaka kusema nasi kupitia shambulio hili. Kwa akili ya kawaida kabisa Lissu alikuwa haponi.

Hapo ndipo unafikia hatua ya kusema hapa duniani hatujajileta na hii dunia haijajiumba!!

Mtoa mada wala usiwe na wasiwasi na fedha za matibabu; aliyemponya lazima atamsimamia; na so far anamsimamia kweli.
Kwani lissu alipigwa risasi?! Inabidi uwe mjinga tena wa kiwango cha rami kuamini hayo.kw watu wanaoijua smg na nguvu yake.tena mkanda mzima uishie kwenye hiyo gari ya madebe!! Halafu gari isiungue moto.na lissu aumie kushoto badala ya kulia.MAZINGAOMBWE HAYO.
 
Una matatizo wewe siyo bure, unapoteza muda wako kumpigania snitch ambaye kila Mwisho wa mwezi zaidi ya milioni 10 inaingia kwenye akaunti yake, hapo hapo 2020 atalipwa zaidi milioni 200 za kumalizia Ubunge, achilia mbali mshahara wa chadema kama mwajiriwa wa Chama na marupurupu mengine ktk law firms za kifisadi na tena amelazwa Hospitalini Ulaya, hata Mungu hawezi kuwasamehe na laana nyingine ni za kujitakia, embu funga safari nenda Mwananyamala hosp. uone mateso wagonjwa wanayopata halafu ujitafakari mara mbili, kati ya Tundu Lisu na hao wagonjwa yupi anahitaji msaada?

Nina uhakika una ndugu zako wengi ambao hata wangehitaji msaada wa Serikali klk Tundu Lisu, acha ujinga!
nimechukua screenshot ya post yako na kuifadhi image sehemu kwa matumizi ya baadaye....maana siku hizi mmekuwa wajanja sana, hamkawii kufuta comments.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_2018-11-21-18-16-16-347_com.quoord.jamiiforums.activity.jpeg
 
Kiburi cha kutokufuata utaratibu. Maana amekuwa kinara wa kusisitiza utaratibu ufuatwe. Sasa anapaswa kishi kile anachohubiri. "AFUATE UTARATIBU"
Naomba radi ifumbe domo lako daima dumu. Mgonjwa mahtuti aliyepoteza fahamu unamnanga hivyo? Shetani akushughulikie utakapoweka ubavu usiku wa leo, usiamke hapo tena mwenyewe. Ubebwe kama maiti, usife. Ishi kama mfu. Upate wa kuleta maandiko ya jf uyasome kama huijui shule. Wewe asiye na huruma Mungu akukazie uso wake asikurehemu. Ubaki maiti juu ya ardhi.
Una matatizo wewe siyo bure, unapoteza muda wako kumpigania snitch ambaye kila Mwisho wa mwezi zaidi ya milioni 10 inaingia kwenye akaunti yake, hapo hapo 2020 atalipwa zaidi milioni 200 za kumalizia Ubunge, achilia mbali mshahara wa chadema kama mwajiriwa wa Chama na marupurupu mengine ktk law firms za kifisadi na tena amelazwa Hospitalini Ulaya, hata Mungu hawezi kuwasamehe na laana nyingine ni za kujitakia, embu funga safari nenda Mwananyamala hosp. uone mateso wagonjwa wanayopata halafu ujitafakari mara mbili, kati ya Tundu Lisu na hao wagonjwa yupi anahitaji msaada?

Nina uhakika una ndugu zako wengi ambao hata wangehitaji msaada wa Serikali klk Tundu Lisu, acha ujinga!
Wangehitaji msaada wa serekali zaidi ya TL lakini hawaupati si kwa sababu kasaidiwa Lissu. Hajasaidiwa hata senti tano. TL hajasaidiwa nao pia hawajaambulia senti tano nyekundu. Serekali ya nani na ni ya nini? Haimfai Lissu wala haiwajali raia wake wengine. Mleta uzi unamtaka ache ujinga kwa kuikumbusha serekali wajibu wake kwa raia wake? Utakuwa, utakuwa Shetani tu! Basi.
 
Kusema utaratibu haukufuatwa ilikuwa ni chenga kupindisha ukweli, jaribu kuwa mwelewa kwenye mwongozo wao wa bunge kuhusu mbunge kutibiwa hakuna sehemu iliyoandikwa hizo hatua.

..uko sahihi 100%.

..serekali ilisahau jambo moja.

..ruhusa ya kutibiwa nje hutolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya kwa mapendekezo ya Daktari Bingwa wa serekali.

..sasa Katibu Mkuu Wizara ya Afya ndiye aliyeongoza jopo la Madaktari waliom stabilize Mh.Lissu mpaka akaweza kusafirishwa.

..Kwa maana hiyo basi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ndiye aliyeruhusu Mh.Lissu atolewe Dodoma kwenda Nairobi.

..Zaidi, Mh.Lissu alisindikizwa na Madaktari wa serekali ambao walimkabidhi hospitalini Nairobi.

..Kama serekali ilikuwa na pingamizi tena la kitaalamu wasingeruhusu Mh.Lissu kutolewa Dodoma au kutolewa na kusafirishwa nje ya nchi.

..Na uwanja wa Ndege alipoondokea Mh.Lissu akisindikizwa na Madaktari wa serekali alikuwepo Waziri wa Afya, na Waziri wa Mambo ya Ndani. Kama safari ya Mh.Lissu ilikuwa ni kinyume na taratibu za serekali viongozi hao waliwajibika kuisitisha.
 
Doto Bulendu bro. huwa pale ninapopata muda nafuatilia na napenda sana unapoongoza vipindi au mijadala pale Startv! Hongera sana. Umeongea kwa uchungu sana kama mtanzania mwingine mwenye mapenzi na Lissu..

Ninachojua mimi kama mtanzania, ilikuwani mihemko ya kisiasa ndiyo imezaa haya leo hii na kuanza kuonekana kwamba Tundu ametelekezwa na bunge ama serikali. Watanzania tumekengeuka, hatuelimishani mambo mema siku hizi.

Kuna ngazi za matibabu na utaratibu wake, kwa.mfano ukitibiwa ngazi ya zahanati na tatizo likawa chini ya uwezo wa kituo, basi mgonjwa anapewa refferal leter kwenda ngazi ya juu kama Hospital level. Pia na ngazi hiyo ikishindwa kutoa huduma kwa manufaa ya mgonjwa pia hupelekwa ngazi ya juu yake mpaka inafika ngazi ya hospitali ya taifa. Na kama hapo itaonekana kama tatizo bado lipo nje yao ndipo hao hutoa kibali cha kwenda kutibiwa nje ya nchi.

Ombi langu na mimi pia labda tuungane watanzani wot kumwomba mh. Rais maana ndiye yeye mwenye mamlaka zaidi, afanye msaada kama anavyofanya kwa watanzania wengine.
Nani alimkosoa kikwete kama kubenea lakini kikwete alimmwagia tindikali afe hakufa mh.kikwete alitoa fedha ya matibabu lakini kwa huyu anaroho mbaya kuliko hata korosho
 
Una matatizo wewe siyo bure, unapoteza muda wako kumpigania snitch ambaye kila Mwisho wa mwezi zaidi ya milioni 10 inaingia kwenye akaunti yake, hapo hapo 2020 atalipwa zaidi milioni 200 za kumalizia Ubunge, achilia mbali mshahara wa chadema kama mwajiriwa wa Chama na marupurupu mengine ktk law firms za kifisadi na tena amelazwa Hospitalini Ulaya, hata Mungu hawezi kuwasamehe na laana nyingine ni za kujitakia, embu funga safari nenda Mwananyamala hosp. uone mateso wagonjwa wanayopata halafu ujitafakari mara mbili, kati ya Tundu Lisu na hao wagonjwa yupi anahitaji msaada?

Nina uhakika una ndugu zako wengi ambao hata wangehitaji msaada wa Serikali klk Tundu Lisu, acha ujinga!
Mbona mutahaba anepewa ndugu barbarosa kuwa na imani ila kama niwe uliyetoa ushauri,asilipwe kama banyikwa sio sawa kwa maisha yako na kizazi chako.Mungu akulipe sawa na maombi yako,sema AMINA
 
Tundu Lisu anaweza kujipigania achana naye na wala hahitaji msaada wako, nina uhakika una ndugu na jamaa wengi ambao hawajiwezi na wangehitaji msaada wako zaidi, unapoteza muda kumpigania mtu anayetibiwa Ulaya tena yuko huko na Familia yake na siajabu hata jina lako halijui?
Mungu akuone nawe ujipiganie kwa upole nakuombea akuone
 
Kosa LA Lissu ni kwamba amekosa upendo Wa nchi yake Tanzania na watu wake! He is a sellout, a coconut, cockroach! Kwanini upendo utoke sehemu moja tu (Taifa), pia upendo utoke Kwa Lissu! He is no even remorseful - acha ashugulikiwe na mabwana zake. Atapona!
Alipona kifo. Amepona majeraha. Hakuna awezaye kulaani aliyebarikiwa na Mungu! Pasipo kutaka unamtakia kupona. Atapona. Hakufa bali anaishi. Wengine tunamtukuza Mungu kwa kicho. Fungu lako hutalikosa. Moto wa milele na milele ndilo fungu lako.
Teketea.
 
Back
Top Bottom