Kosa la Tundu Lissu ni nini?

Kosa la Tundu Lissu ni nini?

Risasi 38; zimevunja vunja mifupa tu lakini hazikugusa mshipa mkubwa wowote wa damu ili ivuje kwa kasi na Lissu apoteze maisha instantly hata kabla ya kufika General Hosp.

Risasi 38 zikapenya lakini cha ajabu hakuna hata moja iliyopitia mishipa ya fahamu (nerves) ili hata kama akipona baadhi ya viongo vyake visifanye kazi. ( vipaparize). Moja ikapenya na imetulia kwenye uti wa mgongo... Sasa jiulize uti wa mgongo una nerves ngapi? Lakini risasi imepenya na ipo humo bila madhara.

Hayo yote hayakuwezekana; Tumesoma unabii uliofanyika miaka mingi sana katika vitabu vitakatifu wakati ule mwenyezi Mungu alipokuwa karibu mno na wanadamu - huu pia ni unabii; Mungu alitaka kusema nasi kupitia shambulio hili. Kwa akili ya kawaida kabisa Lissu alikuwa haponi.

Hapo ndipo unafikia hatua ya kusema hapa duniani hatujajileta na hii dunia haijajiumba!!

Mtoa mada wala usiwe na wasiwasi na fedha za matibabu; aliyemponya lazima atamsimamia; na so far anamsimamia kweli.
Exactly,this scenario tells absolutely what a miracle is all about! Yaani tafakuri ya kibinadamu kuhusu Lissu ameponaje inagonga mwamba,ndo maana hata Doctors pale Nairobi hospital walihoji huyu mtu amewezaje kuwa hai hadi ss? Figo zimefail,Ini limefail,such a severe bleeding lakini jamaa bado yupo hai,Its only God can justify himself.
 
Ubinadamu wako ni wakishetani kabisa. Utakuwa umiongoni mwa wapigaji risasi.
Tundu Lisu anaweza kujipigania achana naye na wala hahitaji msaada wako, nina uhakika una ndugu na jamaa wengi ambao hawajiwezi na wangehitaji msaada wako zaidi, unapoteza muda kumpigania mtu anayetibiwa Ulaya tena yuko huko na Familia yake na siajabu hata jina lako halijui?
 
Kosa la Tundu Lissu ni nini?

Nilikuwa miongoni mwa waandishi wa kwanza kabisa kufanya mahojiano na Tundu Lissu(Mbunge),toka nimeanza kazi ya uandishi wa habari nimefanya mahojiano na viongozi wengi wakubwa nchini Tanzania na hata kutoka nje ya mipaka ya Tanzania.

Mahojiano yote niliyafurahia sana kwani ilikuwa ni ndoto yangu kuhakikisha nawafikia viongozi wakuu na kuzungumza nao,lakini mahojiano na Tundu Lissu akiwa Kitandani Katika hospital ya Nairobi Nchini Kenya ndiyo mahojiano magumu niliyowahi yafanya.

Kwa nini basi?

Kwa sababu nilifanya mahojiano na mtu ambaye alikuwa mgonjwa na hajapona majeraha yake,alikuwa amedhoofu na kutia huruma,kuzipata dakika 47 za mahojiano ilikuwa kazi ngumu kwani kuna wakati nilihisi namsababishia maumivu.

Lissu aliumia sana,Lissu ni Mtanzania,Lissu ni kiongozi,tangu nifanye nae mahojiano nikiwa mwandishi wa kwanza kutoka Tanzania kuzungumza nae baada ya majeraha,Lissu amekuwa akilalamika kuwa Serikali ya Tanzania haijawahi msaidia hata senti,inastusha,inashangaza na inatia huruma.

Lissu ni Mtanzania,Raia,ni kosa gani ambalo Lissu kafanya huwa najiuliza mpaka linasababisha Bunge na serikali ya Tanzania ziweke ngumu kumsaidia katika matibabu yake pamoja na kilio cha muda mrefu kutoka kwake na familia yake?

Lissu amefanya kosa gani lisilo sameheka?maana nimemsikia zaidi ya mara mbili Spika Job Ndugai akisema Lissu hakufuata utaratibu ndiyo maana Bunge halikumsaidia,kweli yaweza kuwa sababu ya kumuacha Lissu bila msaada?

Najiuliza ni Kosa gani alilofanya Lissu mpaka linasababisha anakosa msaada wa matibabu kama anavyolia mwenyewe?

Hili kosa la Lissu lisilohitaji msamaha na kuambiwa hatasaidiwa matibabu mpaka afuate utaratibu ni lipi?ni kweli kosa la Lissu ni kutofuata utaratibu wa matibabu?

Je huo utaatibu ni msahafu usiyohitaji kuongezewa wala kupunguziwa kitu?katika hali kama ile aliyokuwa nayo Lissu kweli tubaki na msimamo ule ule kuwa Lissu hakufuata utaratibu?

Tumtazame Lissu kwa jicho la binadamu na Raia wa Tanzania anayehitahi msaada,tusimtazame Lissu kwa jicho la Mbunge anayetakiwa kufuata utaratibu kama Spika Job Ndugai alivyosema.

Serikali imsaidie Lissu kwa upendo ule ule ambao tumekuwa tunaona serikali ikiuonesha kwa watanzania ambao wanauhitaji wa msaada wa ghamara za matibabu.

Tuliuona Upendo wa serikali yetu kuhakikisha Raia wake wanapata matibabu kwa Raia wengi,tunakumbuka upendo wa hali ya juu kwa Marehemu King Majuto,Marehemu Sajuki,na jana tumesikia na kuona upendo wa hali ya juu wa serikali yetu kusaidia matibabu ya Kaka Ruge Mutahaba.

Binafsi najiuliza kwa nini Bunge na Serikali kwa Lissu upendo huu wa Serikali kwa watu wake unaondoka?Tundu,mwana wa Mugwai kafanya dhambi ipi inayomfanya asipate msaada wa Bunge na serikali?

Lissu anateseka,Lissu anaumia,Mke wake anateseka,familia na ndugu wanalia,Bunge na serikali zirejeshe moyo nyuma zimsaidie Lissu katika matibabu yake.

Mwenyezi Mungu alituwekea amri nyingi sana,lakini Amri kuu ni Upendo na Upendo huanza kwa kuwa na moyo wa kusamehe na kusahau kama unaamini au ni kweli umekosea.

Kama Kosa alilofanya Lissu lilikuwa ni kutokufuata utaratibu,siamini kama kosa hili adhabu yake ni kutokusamehewa.

Mwenyezi Mungu alituumba kwa sura na mfano wake,mfano wa mkuu ambao ni ishara ya kuwa tumeumbwa na Mungu ni kuwa na moyo wa Upendo.

Bunge na serikali kosa la Lissu la kutokufuata utaratibu wa matitabu kweli halisameheki?Bunge na Serikali,sikieni kilio cha Lissu,sikieni Kilio cha familia yake.

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.

Anaandika

Dotto Bullendu....
Inatia hasira Na huzuni Sana Lissu ni mzalendo kushinda wote wanaojiita wazalendo uchwara
 
Una matatizo wewe siyo bure, unapoteza muda wako kumpigania snitch ambaye kila Mwisho wa mwezi zaidi ya milioni 10 inaingia kwenye akaunti yake, hapo hapo 2020 atalipwa zaidi milioni 200 za kumalizia Ubunge, achilia mbali mshahara wa chadema kama mwajiriwa wa Chama na marupurupu mengine ktk law firms za kifisadi na tena amelazwa Hospitalini Ulaya, hata Mungu hawezi kuwasamehe na laana nyingine ni za kujitakia, embu funga safari nenda Mwananyamala hosp. uone mateso wagonjwa wanayopata halafu ujitafakari mara mbili, kati ya Tundu Lisu na hao wagonjwa yupi anahitaji msaada?

Nina uhakika una ndugu zako wengi ambao hata wangehitaji msaada wa Serikali klk Tundu Lisu, acha ujinga!
Pumbavu
 
Hii mada inahusu suala la mbunge wa singida mashariki mh Tundu Lissu, kama una hoja tofauti na hii fungua uzi tutakuja huko kujadili hilo suala, punguza kuchanganya madesa na jifunze kusoma instructions kabla ya kujibu swali au kuchangia hoja iliyo mezani.
 
Unajua kuna wengine uwa hawaoni mbali. Hivi miaka 10 ijayo Lisu kawa rais hawa wanaomkatalia kumpa pesa za matibabu watakuwa wapi?? Unajua mungu huwa anayo maksudi yake, Miaka 50 mbele mtoto wa Lisu kawa rais unategemea familia ya Magufuli au Ndugai watakuwa wapi?? Halafu ukute wanaroho ya kulipiza visasi kama roho ya Magufuli. Leo Magufuli anatoa pesa kwa Ruge mara kwa mcheza filamu wakati Lisu yupo Kitandani mwaka na. Na alietaka kumuua ni Magufuli. Ni mtanzania mbumbu tu ambaye aamini kuwa alietaka kumuua LISU NI MAGUFULI. MAGUFULI NI MUUAJI NA YEYE MWISHO WAKE ATAUWAWA KWA RISASI HAKUNA ALIEKUWA NA ULINZI KAMA SADDAM NA GADAFFI LKN WALIUWAWA. MAGUFULI HATA AKILINDWA NA JESHI ZIMA ILA SIKU YAKE IPO INAKUJA
Angalia hizi kauli zako, ivi leo ukiitwa uthibishe haya utaleta ushahidi? Na kama ni kweli Jpm ndiye na serikali yake ndiyo walio mshambulia Lisu kwann leo watu mnataka jpm agalamie matibabu yake? Wakati shutuma mnaziweka wazi hivyo!
 
Kosa la Tundu Lissu ni nini?

Nilikuwa miongoni mwa waandishi wa kwanza kabisa kufanya mahojiano na Tundu Lissu(Mbunge),toka nimeanza kazi ya uandishi wa habari nimefanya mahojiano na viongozi wengi wakubwa nchini Tanzania na hata kutoka nje ya mipaka ya Tanzania.

Mahojiano yote niliyafurahia sana kwani ilikuwa ni ndoto yangu kuhakikisha nawafikia viongozi wakuu na kuzungumza nao,lakini mahojiano na Tundu Lissu akiwa Kitandani Katika hospital ya Nairobi Nchini Kenya ndiyo mahojiano magumu niliyowahi yafanya.

Kwa nini basi?

Kwa sababu nilifanya mahojiano na mtu ambaye alikuwa mgonjwa na hajapona majeraha yake,alikuwa amedhoofu na kutia huruma,kuzipata dakika 47 za mahojiano ilikuwa kazi ngumu kwani kuna wakati nilihisi namsababishia maumivu.

Lissu aliumia sana,Lissu ni Mtanzania,Lissu ni kiongozi,tangu nifanye nae mahojiano nikiwa mwandishi wa kwanza kutoka Tanzania kuzungumza nae baada ya majeraha,Lissu amekuwa akilalamika kuwa Serikali ya Tanzania haijawahi msaidia hata senti,inastusha,inashangaza na inatia huruma.

Lissu ni Mtanzania,Raia,ni kosa gani ambalo Lissu kafanya huwa najiuliza mpaka linasababisha Bunge na serikali ya Tanzania ziweke ngumu kumsaidia katika matibabu yake pamoja na kilio cha muda mrefu kutoka kwake na familia yake?

Lissu amefanya kosa gani lisilo sameheka?maana nimemsikia zaidi ya mara mbili Spika Job Ndugai akisema Lissu hakufuata utaratibu ndiyo maana Bunge halikumsaidia,kweli yaweza kuwa sababu ya kumuacha Lissu bila msaada?

Najiuliza ni Kosa gani alilofanya Lissu mpaka linasababisha anakosa msaada wa matibabu kama anavyolia mwenyewe?

Hili kosa la Lissu lisilohitaji msamaha na kuambiwa hatasaidiwa matibabu mpaka afuate utaratibu ni lipi?ni kweli kosa la Lissu ni kutofuata utaratibu wa matibabu?

Je huo utaatibu ni msahafu usiyohitaji kuongezewa wala kupunguziwa kitu?katika hali kama ile aliyokuwa nayo Lissu kweli tubaki na msimamo ule ule kuwa Lissu hakufuata utaratibu?

Tumtazame Lissu kwa jicho la binadamu na Raia wa Tanzania anayehitahi msaada,tusimtazame Lissu kwa jicho la Mbunge anayetakiwa kufuata utaratibu kama Spika Job Ndugai alivyosema.

Serikali imsaidie Lissu kwa upendo ule ule ambao tumekuwa tunaona serikali ikiuonesha kwa watanzania ambao wanauhitaji wa msaada wa ghamara za matibabu.

Tuliuona Upendo wa serikali yetu kuhakikisha Raia wake wanapata matibabu kwa Raia wengi,tunakumbuka upendo wa hali ya juu kwa Marehemu King Majuto,Marehemu Sajuki,na jana tumesikia na kuona upendo wa hali ya juu wa serikali yetu kusaidia matibabu ya Kaka Ruge Mutahaba.

Binafsi najiuliza kwa nini Bunge na Serikali kwa Lissu upendo huu wa Serikali kwa watu wake unaondoka?Tundu,mwana wa Mugwai kafanya dhambi ipi inayomfanya asipate msaada wa Bunge na serikali?

Lissu anateseka,Lissu anaumia,Mke wake anateseka,familia na ndugu wanalia,Bunge na serikali zirejeshe moyo nyuma zimsaidie Lissu katika matibabu yake.

Mwenyezi Mungu alituwekea amri nyingi sana,lakini Amri kuu ni Upendo na Upendo huanza kwa kuwa na moyo wa kusamehe na kusahau kama unaamini au ni kweli umekosea.

Kama Kosa alilofanya Lissu lilikuwa ni kutokufuata utaratibu,siamini kama kosa hili adhabu yake ni kutokusamehewa.

Mwenyezi Mungu alituumba kwa sura na mfano wake,mfano wa mkuu ambao ni ishara ya kuwa tumeumbwa na Mungu ni kuwa na moyo wa Upendo.

Bunge na serikali kosa la Lissu la kutokufuata utaratibu wa matitabu kweli halisameheki?Bunge na Serikali,sikieni kilio cha Lissu,sikieni Kilio cha familia yake.

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.

Anaandika

Dotto Bullendu....
Tatizo la Lissu yuko Chadema ndiyo sababu inayofanya hata wahusika wasipelelezwe.
Lissu hakufuata taratibu! Risasi 38! Mwilini unatakiwa utumie akili zako za uanzie hospitali ipi! Akuchukiaye ........ Lakini pia taratibu hizo zinakataza hata kumjulia hali? Au kuhalalisha kumurubu atakayemjulia hali?
Baada ya Mungu kuona hukumu aliyopewa duniani yeye binafsi akachukua jukumu la kumponya ili iwe fundisho; Pamoja na yote hayo Lissu bado ni mtu mwenye tabasamu muda wote
 
Risasi 38; zimevunja vunja mifupa tu lakini hazikugusa mshipa mkubwa wowote wa damu ili ivuje kwa kasi na Lissu apoteze maisha instantly hata kabla ya kufika General Hosp.

Risasi 38 zikapenya lakini cha ajabu hakuna hata moja iliyopitia mishipa ya fahamu (nerves) ili hata kama akipona baadhi ya viongo vyake visifanye kazi. ( vipaparize). Moja ikapenya na imetulia kwenye uti wa mgongo... Sasa jiulize uti wa mgongo una nerves ngapi? Lakini risasi imepenya na ipo humo bila madhara.

Hayo yote hayakuwezekana; Tumesoma unabii uliofanyika miaka mingi sana katika vitabu vitakatifu wakati ule mwenyezi Mungu alipokuwa karibu mno na wanadamu - huu pia ni unabii; Mungu alitaka kusema nasi kupitia shambulio hili. Kwa akili ya kawaida kabisa Lissu alikuwa haponi.

Hapo ndipo unafikia hatua ya kusema hapa duniani hatujajileta na hii dunia haijajiumba!!

Mtoa mada wala usiwe na wasiwasi na fedha za matibabu; aliyemponya lazima atamsimamia; na so far anamsimamia kweli.
Kwa biolojia yagu ya form six enzi hizo nikiwa mkali wa bios kule Tabora boys miaka ya tisini, nilijifunza kiwa uti wa mgongo( ungwe mgongo) una matawi mengi sana ya nerves na trunks amabazo ndio hupeleka na kuridisha taarifa kutoka kwenye ungwe mgongo na zigine kwenye ubongo.

Ikiwa mtu akoumwa Tb ya mifupa tu ambayo hushambulia sana uti wa mgongo basi mtu huyu huparalyse mara moja. Najiuliza miujijza kwa Lissu risasi(foreignbody) ikae humo na myu anatembea.

Na hili ndilo kosa la Lissu. Wauwaji walishaandaa kamati ya mazishi. Wangeumia roho muda mfupi tu na wangesahau. Lakini sasa hailuwa hivyo. Uhai wa Lissu unaendelea kuwa mwiba kwa wahusika. Ona walivyopaniki, they are psychologically disturbed. Huu mkuruuko wa kazi zao unatokana na kwa sehemu kubwa na mtu ambaye hajakaa sawa kiakili na kinafsi.
 
who is Lisssu by the way?
1. Mlijinasibu kuwa kwa gharama yoyote mtasimamia matibabu.

2. Sheria sio kitu, Bali taratibu zinazosimamiwa na sheria ndio zinazoipa sheria maana. Kuna wakati MTU unapoteza haki zako za msingi unaposhindwa kufuata taratibu. Hili litabaki kuwa hivi tu, haliitaji mjadala.

3. ungeonekana great thinker kama ungekuja na hoja ya nini kifanyike. Ukizingatia huyu MTU amesha poteza haki kwa kushindwa kufuata taratibu.
 
Watu wanapaza sauti kwa kuwa ana haki ya kugharamikiwa matibabu kwa mujibu wa sheria. Huyo jpm sio kwamba atatoa hela zake mfukoni ila kwa mamlaka aliyo nayo inahisiwa anahusika kukwamisha hizo stahiki.
Angalia hizi kauli zako, ivi leo ukiitwa uthibishe haya utaleta ushahidi? Na kama ni kweli Jpm ndiye na serikali yake ndiyo walio mshambulia Lisu kwann leo watu mnataka jpm agalamie matibabu yake? Wakati shutuma mnaziweka wazi hivyo!
 
Tatizo la Lissu yuko Chadema ndiyo sababu inayofanya hata wahusika wasipelelezwe.
Lissu hakufuata taratibu! Risasi 38! Mwilini unatakiwa utumie akili zako za uanzie hospitali ipi! Akuchukiaye ........ Lakini pia taratibu hizo zinakataza hata kumjulia hali? Au kuhalalisha kumurubu atakayemjulia hali?
Baada ya Mungu kuona hukumu aliyopewa duniani yeye binafsi akachukua jukumu la kumponya ili iwe fundisho; Pamoja na yote hayo Lissu bado ni mtu mwenye tabasamu muda wote
Mungu aliwakatalia kuchukua uhai wa kipenzi chao, kipenzi cha taifa, mzalendo wa kweli Rais ajaye.
 
Doto Bulendu bro. huwa pale ninapopata muda nafuatilia na napenda sana unapoongoza vipindi au mijadala pale Startv! Hongera sana. Umeongea kwa uchungu sana kama mtanzania mwingine mwenye mapenzi na Lissu..

Ninachojua mimi kama mtanzania, ilikuwani mihemko ya kisiasa ndiyo imezaa haya leo hii na kuanza kuonekana kwamba Tundu ametelekezwa na bunge ama serikali. Watanzania tumekengeuka, hatuelimishani mambo mema siku hizi.

Kuna ngazi za matibabu na utaratibu wake, kwa.mfano ukitibiwa ngazi ya zahanati na tatizo likawa chini ya uwezo wa kituo, basi mgonjwa anapewa refferal leter kwenda ngazi ya juu kama Hospital level. Pia na ngazi hiyo ikishindwa kutoa huduma kwa manufaa ya mgonjwa pia hupelekwa ngazi ya juu yake mpaka inafika ngazi ya hospitali ya taifa. Na kama hapo itaonekana kama tatizo bado lipo nje yao ndipo hao hutoa kibali cha kwenda kutibiwa nje ya nchi.

Ombi langu na mimi pia labda tuungane watanzani wot kumwomba mh. Rais maana ndiye yeye mwenye mamlaka zaidi, afanye msaada kama anavyofanya kwa watanzania wengine.
Mwenye mamlaka ni spika wabunge lakni kwa kiwa woyte yeye na Rais ni suspect namba moja hawawezi.
 
Kama Lissu yupo hai mpaka leo,harafu anatokea kiumbe anasema haamini uwepo wa Mungu yaani unakaa unafikiria nini kinamfanya huyu mtu awaze hivi.
 
Hii mada inahusu suala la mbunge wa singida mashariki mh Tundu Lissu, kama una hoja tofauti na hii fungua uzi tutakuja huko kujadili hilo suala, punguza kuchanganya madesa na jifunze kusoma instructions kabla ya kujibu swali au kuchangia hoja iliyo mezani.

Hata mimi nimejibu kuhusu snitch Tundu Lisu labda haujaelewa tu!
 
Kosa la Tundu Lissu ni nini?

Nilikuwa miongoni mwa waandishi wa kwanza kabisa kufanya mahojiano na Tundu Lissu(Mbunge),toka nimeanza kazi ya uandishi wa habari nimefanya mahojiano na viongozi wengi wakubwa nchini Tanzania na hata kutoka nje ya mipaka ya Tanzania.

Mahojiano yote niliyafurahia sana kwani ilikuwa ni ndoto yangu kuhakikisha nawafikia viongozi wakuu na kuzungumza nao,lakini mahojiano na Tundu Lissu akiwa Kitandani Katika hospital ya Nairobi Nchini Kenya ndiyo mahojiano magumu niliyowahi yafanya.

Kwa nini basi?

Kwa sababu nilifanya mahojiano na mtu ambaye alikuwa mgonjwa na hajapona majeraha yake,alikuwa amedhoofu na kutia huruma,kuzipata dakika 47 za mahojiano ilikuwa kazi ngumu kwani kuna wakati nilihisi namsababishia maumivu.

Lissu aliumia sana,Lissu ni Mtanzania,Lissu ni kiongozi,tangu nifanye nae mahojiano nikiwa mwandishi wa kwanza kutoka Tanzania kuzungumza nae baada ya majeraha,Lissu amekuwa akilalamika kuwa Serikali ya Tanzania haijawahi msaidia hata senti,inastusha,inashangaza na inatia huruma.

Lissu ni Mtanzania,Raia,ni kosa gani ambalo Lissu kafanya huwa najiuliza mpaka linasababisha Bunge na serikali ya Tanzania ziweke ngumu kumsaidia katika matibabu yake pamoja na kilio cha muda mrefu kutoka kwake na familia yake?

Lissu amefanya kosa gani lisilo sameheka?maana nimemsikia zaidi ya mara mbili Spika Job Ndugai akisema Lissu hakufuata utaratibu ndiyo maana Bunge halikumsaidia,kweli yaweza kuwa sababu ya kumuacha Lissu bila msaada?

Najiuliza ni Kosa gani alilofanya Lissu mpaka linasababisha anakosa msaada wa matibabu kama anavyolia mwenyewe?

Hili kosa la Lissu lisilohitaji msamaha na kuambiwa hatasaidiwa matibabu mpaka afuate utaratibu ni lipi?ni kweli kosa la Lissu ni kutofuata utaratibu wa matibabu?

Je huo utaatibu ni msahafu usiyohitaji kuongezewa wala kupunguziwa kitu?katika hali kama ile aliyokuwa nayo Lissu kweli tubaki na msimamo ule ule kuwa Lissu hakufuata utaratibu?

Tumtazame Lissu kwa jicho la binadamu na Raia wa Tanzania anayehitahi msaada,tusimtazame Lissu kwa jicho la Mbunge anayetakiwa kufuata utaratibu kama Spika Job Ndugai alivyosema.

Serikali imsaidie Lissu kwa upendo ule ule ambao tumekuwa tunaona serikali ikiuonesha kwa watanzania ambao wanauhitaji wa msaada wa ghamara za matibabu.

Tuliuona Upendo wa serikali yetu kuhakikisha Raia wake wanapata matibabu kwa Raia wengi,tunakumbuka upendo wa hali ya juu kwa Marehemu King Majuto,Marehemu Sajuki,na jana tumesikia na kuona upendo wa hali ya juu wa serikali yetu kusaidia matibabu ya Kaka Ruge Mutahaba.

Binafsi najiuliza kwa nini Bunge na Serikali kwa Lissu upendo huu wa Serikali kwa watu wake unaondoka?Tundu,mwana wa Mugwai kafanya dhambi ipi inayomfanya asipate msaada wa Bunge na serikali?

Lissu anateseka,Lissu anaumia,Mke wake anateseka,familia na ndugu wanalia,Bunge na serikali zirejeshe moyo nyuma zimsaidie Lissu katika matibabu yake.

Mwenyezi Mungu alituwekea amri nyingi sana,lakini Amri kuu ni Upendo na Upendo huanza kwa kuwa na moyo wa kusamehe na kusahau kama unaamini au ni kweli umekosea.

Kama Kosa alilofanya Lissu lilikuwa ni kutokufuata utaratibu,siamini kama kosa hili adhabu yake ni kutokusamehewa.

Mwenyezi Mungu alituumba kwa sura na mfano wake,mfano wa mkuu ambao ni ishara ya kuwa tumeumbwa na Mungu ni kuwa na moyo wa Upendo.

Bunge na serikali kosa la Lissu la kutokufuata utaratibu wa matitabu kweli halisameheki?Bunge na Serikali,sikieni kilio cha Lissu,sikieni Kilio cha familia yake.

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.

Anaandika

Dotto Bullendu....
Pole. Ni dhambi kuwa na upendo na kuwa kiongozi Tanzania. Huwezi kuwa na upendo ukawaumiza watu kwa kiasi hiki tunachokiona sasa, angalia sasa kiwango cha vifo vya watanzania kwa sababu mbalimbali binafsi naona vimeongezeka kutokana na umaskini wa kipato., Mungu tusaidie hili janga nalo lipite, utuvushe salama
 
Angalia hizi kauli zako, ivi leo ukiitwa uthibishe haya utaleta ushahidi? Na kama ni kweli Jpm ndiye na serikali yake ndiyo walio mshambulia Lisu kwann leo watu mnataka jpm agalamie matibabu yake? Wakati shutuma mnaziweka wazi hivyo!
Tunataka serikali ligaramie kwasababu ni haki yake. Pesa siyo za Magufuli, pesa ni za watanzania. Magufuli pesa zake kaficha Rwanda.
 
Kosa LA Lissu ni kwamba amekosa upendo Wa nchi yake Tanzania na watu wake! He is a sellout, a coconut, cockroach! Kwanini upendo utoke sehemu moja tu (Taifa), pia upendo utoke Kwa Lissu! He is no even remorseful - acha ashugulikiwe na mabwana zake. Atapona!
 
Back
Top Bottom