CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
FACTS:
1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.
MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.
jamaa ni mdini
anawapa pesa watu wa dini moja tuu
inamaana hana hata shamba boi wa dini yetu?
"Kwa upande wake, Ofisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Philip Saliboko, alimwambia mwandishi wetu; Nilisikia kuna waliotaka kununua IPTL miezi minne iliyopita, lakini baada ya hapo sikusikia chochote. Sina hizo taarifa.
Lakini kama kuna mchakato wa kuuzwa IPTL ni jambo la furaha, kwa sababu suluhisho la suala hilo lipo katika maeneo mawili. Kwanza ni njia ya Mahakama, pili ni kuuzwa kwa IPTL. Kwa hiyo kama kuna mchakato wa kuuza ni jambo zuri."
- See more at: Raia Mwema - Camel Oil wakwama kuinunua IPTL-
sidhani kama kampuni kuwa under receivership kunazuia wanahisa wasiuze hisa zao, ninachojua kuna restrictions katika assets zake sio hisa.
Kumbuka kila mtu ana haki ya kutetewa!James sio mwizi,maharamia ni viongozi wenu mliowachagua.Kumbuka kujiandikisha daftari la wakaazi vingenevyo next zinapgwa toka kapu la hazina kuu ya serikali tena safari n zle za kwenu haswa.
Mkuu jMali,FACTS:
1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.
MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.
FACTS:
1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.
MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.
tena james ameuza hisa zake 30% tu lakini anafuatiliwa kweli kweli, hatusikii chochote juu ya aliyeuza zile 70%!!!
kuhamishwa kwa fedha toka escrow kwenda PAP hakukuwa siri, TANZANIA NZIMA ILIJUA kuwa fedha zimehamishwa. BOT wenyewe si ndio waliosaini? sasa hapo utalazimishaje kuwa fedha za PAP ziwe za wizi?
Hakuna asiye jua kuwa majizi kama JR hujipanga kabla ya kuiba na ndio maana unaona alijitahidi kuhakkisha kuwa ushiriki wake hauwi wa moja kwa moja. Hata kama alitumiwa na wakubwa katika taasisi zetu kama third party lazima atashughuikiwa.
Mbona hamuwataji Mkuya na Ndulu wangali wao ndo walikuwa na fungua za stoo yenye hzo hela?AMA MNA CHUKI BINAFSI NA RUGE?

yeye hakupokea fedha kutoka kwenye mfuko wa pap bali amepokea fedha zilizoibiwa bot huku yeye mwenyewe akijua kuwa zinaibiwa
Mngeitisha press ingesaidia pia!!!
hahaha. we lazima utakuwa FDLR, interahamwe, ideology......
ni njama ya wizi mkubwa kati ya maofisa wakuu serikalini wawekezaji wanasiasa na wanasheria. makosa ya ruge yanahitaji kubainishwa wazi ili ashtakiwe. upo ushahidi tele wa kutoa rushwa na taarifa za uongo.Wizi wa Rugemalila ni kupewa pesa kutoka ESCROW TEGETA account ya uma badala ya kulipwa kutoka kwa singasinga upo hapo???