Uchaguzi 2020 Kosa kubwa walilofanya CCM kwenye kampeni zao ni kupoteza muda kusifia yaliyopita badala ya kueleza watafanya nini

Vyovyote vile na kwa gharama yoyote ile hawezi kuwa Raisi wa Tanzania. Na sababu za msingi kabisa zipo. Nyie endeleeni kukata mauno Ni yeye.
Na wewe endelea kuchambua mchele na wifi yako.
Ukipewa hoja jibu kwa hoja.
Sio kila anayejibu post yako ni mpinzani wako.
 
Utaweza kulinda kura vituo 81,567?, Unajua yawezekana hapo hata 10,000 havi exist kiuhalisia?.. ninapowaambia Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Tanzania ninajua ninachokisema. Nyie endeleeni kushangilia NI YEYE kama mazuzu. Hata ukoo wako wote na mkoa unaokaa wote ukampigie kura Lissu hashindi ng'o.
Kwanini CCM mtegemee vituo hewa?
 
Back
Top Bottom