ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,378
Wadau niambieni ukweli
Hivi kosa kubwa ni lipi hapa?
Mfano, unataka umjue vizuri bebe wako pindi àkikasirika anareact Veep au ndo mzee wa kupiga mke / mume ndani ya nyumba n.k
Ukimwambia "tuachane".
au
Ufume msg za mapenzi kwenye simu.
Hapo lipi linauma na halisameheki kirahisi?.
Iko hivi wikiend iliyopita mwenzangu kuna kitu alinikeraaaa kwa Mara ya kwanza aliniona action yangu baadae ndo nikaambiwa " nimepata mke si wa mchezomchezo na ni halali mpaka mbinguni" hayo ni Rafiki yake ndo alinitonya akidai huyu mwenzangu alikuwa anapima upepo. Nilimind.
Sasa juzi ni nikamwambia "tuachane"
Weeee!!!!! Alivovimbaaaaaa mdomo kazini nasikia alikuwa anabamizabamiza vitu ovyo, siku hiyo alishinda kazini mpaka usiku nkaambiwa alitamani hadi apige deki ofisini ili mradi tu awe bize.
Sasa hapa nimemwomba msamaha nikamwambia nlikuwa napima upepo amemind kimya hadi sasa.
Ndio maana nkawauliza hivi ukipata jaribu kati ya hayo juu niliyosema ni lipi linauma na halisameheki?.