Kosa kubwa ni lipi hapa?

Kosa kubwa ni lipi hapa?

Ulijaribu kupima upepo na ukakuta umejaa..😂😂 wanaume wengine hawapimwi.
Omba msamaha na usithubutu kurudia hiyo kauli kama Kweli unampenda mchizi wako.

Meseji za mapenzi.
Nshaomba msamaha sijui anasamehe taratibu
 
Nyie wote mnastahiri mboko haswaa.. ukimwi mpime,gono mpimwe,malaria mpimwe,kisonono mpimwe na kwenye mapenzi mpimane..😅

Mnazingua
Aiseee sasa mda wote hamkwaruzani si unajaribu kumcheki yupoje, na atareact Veep.
 
Nshaomba msamaha sijui anasamehe taratibu

Aiseee sasa mda wote hamkwaruzani si unajaribu kumcheki yupoje, na atareact Veep.
Akili zenu hazipishani sana na huyu.
 
Ulijaribu kupima upepo na ukakuta umejaa..😂😂 wanaume wengine hawapimwi.
Omba msamaha na usithubutu kurudia hiyo kauli kama Kweli unampenda mchizi wako.

Meseji za mapenzi.
Hata huo upepo ulikuwa haujajaa maana angekuwa umejaa angekuja kuomba ushauri mwingine na machozi juu.Huwezi kuijaribu sumu kwa kuionja!
 
Utoto wa kijinga Tena kwenu wote wawili
 
Kabla ya uzi wangu nililetaga humu nilikua km huyo

Ila sahivi naona umetoa chance ya kuangalia wengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom