Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,249
- 98,243
Hakuna dhambi yeyote ni maamuzi ya watanzania wakiwawepo wana ukawa walioamua kuwa ikulu haiwezi juwa pango l walowezi
Kumbe unataka kutwambia kuwa aliyekuwapo ikulu ni mwizi?
Hakuna dhambi yeyote ni maamuzi ya watanzania wakiwawepo wana ukawa walioamua kuwa ikulu haiwezi juwa pango l walowezi
Watu wawili wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutaka kumuua jaji Damian Lubuva.
Source: Habari Leo.
auwawe tu maana hakuna namna nyingine kwa ujinga wa kukubali kushirikiana na CCM kumuibia kura Lowassa.
Mmawia , vipi aisee! habari za kuadimika! Naona ulijichimbia msimbati kwa bibi baada ya fisadi wako kukatwa tena na watanzania kwa kura! karibu tena mdau.Wewe mwaka huu lazima utawajua watanzania maana wameamua na uswahiba wako na ritz moko tunaujua lazima tu kutembelea
Naujua zaidi ya ukweli msipende pindisha mambo nani amchague Fisadi [pole sana kama ulimchagua Fisadi it is up to you! Sisis wengine hapa ni kazi tu!!!!
Mkuu zingatia ushauri wangu rudi kwenu musoma uanze kuvua samaki mkuu maana huyu magufuri hana mpango na mashosti wa mkwere
Na wewe sijui utaenda wapi! baada ya mamvi kuliwa hela sasa hana dili na sidhani kama atagawa hela tena!Na wewe hata mkorosho mmoja huna! vp ishu ya kugombania maiti inalipa or?
Na wewe sijui utaenda wapi! baada ya mamvi kuliwa hela sasa hana dili na sidhani kama atagawa hela tena!Na wewe hata mkorosho mmoja huna! vp ishu ya kugombania maiti inalipa or?
Hiyo imeisha bado ya kuharibu hilo kaburi la mawazo sijui mlitaka kufukua kaburi mtoe maiti mule nyama?
Aisee! kaburi tena! jamani poleni sana! sasa hii nayo lini linatolewa TAMKO la kaburi?
Mimi nipo hapa igoma Eden nachapa supu na castle lager bariiidiiiiiiii karibu upashe utumbo maana najua lumumba sasa ni njaa kali maana jamaa kaukataa uwenyekiti makusudi
Mkuu naomba kwanza ujibu swali langu then nitajibu la kwako
Niko hapa mitaa ya Mkuyuni nakuja huko nikitoka zangu hapo mitaa ya Igogo kuna mshkaji ana mpunga wangu kdg.
Mkuu naomba kwanza ujibu swali langu then nitajibu la kwako
Wewe mwaka huu lazima utawajua watanzania maana wameamua na uswahiba wako na ritz moko tunaujua lazima tu kutembelea
Basi ukifija mitaa hiyo ni pm maana siasa siyo vita mura
Ame kuiliza utaenda wapi
Hatari aisee mi sioni swali hapa.