Magufuli mwenyewe anajua alipachikwa ndio maana kaingia na maigizo kibaoAmen amne. mbona wapinzani wengi tu walikiri kumpa kura Magufuli hilo halina mjadala na Magufuli ameshinda kihalali kwa kujipambanua na udhalimu!
Kibabu na wote walioshiirikiana kupoka haki ya wananchi watakufa vifo vya aibu kibabu kitasingizia kila aina ya visingizio lakini laana ya dhuluma itamwandamakuna watu wanalala wanaamka wanatafuta pa kutupia lawama! nyinyi mlitakiwa mpate mwenyekiti wa tume mwenye akili kama za mkapa! huyu babu mnamuonea sana lubuva mnambebesha lawama mno hivi mtu unaibiwaje kura ambazo zimebandikwa nje ya kila kituo! makengeza ya akili ni kilema cha kudumu nilitegemea ukawa mngepita kila kituo tena nchi nzima kukariri zile kura ili mfunge midomo ila kwakuwa mnakurupuka mnatafta wa kumpa mizigo yenu hadi leo hamtaji jimbo mliloibiwa mnaropoka tu. nilikuwa siamini kama kuna dumb mob psychology no offense but u guys need to grow up and build tanzania
huyo mlanguzi aliyetangulizwa hapo ikulu atafanya nini cha zaidi zaidi ya kuwa kwenye mfumo ule ule w ujambawazi embu kwanza arudishe ten percent alizokuwa anapata kwa wakandarasiHakuna dhambi yeyote ni maamuzi ya watanzania wakiwawepo wana ukawa walioamua kuwa ikulu haiwezi juwa pango l walowezi
Magufuli mwenyewe anajua alipachikwa ndio maana kaingia na maigizo kibao
Tatizo ulilokuwa nalo ni kuishi kwa akili za kushikiwa. Uicho tuletea hapa ni jinsi gazeti la habari leo lilivyoripoti kutoka mahakamani, zaidi ya hapo, sijaona ulichotaka kutuambia juu ya tuhuma hizo, kwamba ama wamesingiziwa au kuna element za ukweli katika tuhuma hizo. Zaidi nilichokionana, ni kutumia habari ya habari leo kama mahali pa kuanzia ili uanze kutuaminisha unachotaka wewe.
Wenye ukawa wameishakaa, wenye viherehere ndio waliobaki hasa huku kwenye mitandao. Nina imani hata hao akina mbowe, lowassa na mbatia walikuwa wameisoma namba zamani sana na ndio maana huwasikii wakiongelea hekaya zenu. Muda wa kuwarudisha watz kwenye jambo la matokeo umeisha. JPM kasema hivi, kila mmoja kwa nafasi yake afanye kazi, enzi za blabla zimekwisha. FANYA KAZI
kwi kwi munacheza makirikili munaita kazi tu slogan imekufa kabla haijaafanya kazi mwezi unaisha hata ajira moja hamjaongeza mmbo ya kupachikwa munashindwa muanzie wapiNinyi ndio tutwaacha nyuma baadae mje kulialia sis mwendo mdundo kwani sasa ni KAZI TUUU!