Kortini kwa kutaka kumuua Lubuva

Kortini kwa kutaka kumuua Lubuva

pole mzee lubuv.er. tafuta nchi ukaish mzee. kama wameanza kukuwinda sasa hamna namna nyngne. kama ulitenda wema na haki utapendwa na kila mtu. kama mzee wangu hukutenda haki uliwanufaisha wachache basi nikupe pole maana hamna namna nyingne upinder tu.
 
Kumbuka paspot yake haijazuiliwa Na yuko guru enda pipote
Je unajua kuwa dogo kaambiwa hakuna safari za nje ?? Tuhuma hata ww wamekutuhum an sema tumenyamaza walisema unaliwa na mkeo nae anatoka na rfk yako je tuamini kama unavyotaka tuamini ufisadi wa El????????

haiisee jombaa unapoteza muda wako kuandika huu ujumbe kwa nn sasa????....uchaguzi ushakwisha sasa tuweke bifu pembeni tumpe nguvu magufuri wetu....KAULI MBIU YA LOWASA ILIKUWA NI elimu...elimu...elimu.jipime mkuu
 
9k=
damian-Lubuva31.jpg

WATU wawili wakiwemo Mwanasheria na Mwalimu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama za kumuua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva na familia yake.

Washitakiwa hao, Mwalimu Samwel Gikaro (30) na Mwanasheria Angela Mbonde (32) walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Thomas Simba.

Wakili wa Serikali, Hellen Moshi alidai kati ya Oktoba 23 na Novemba 16, mwaka huu katika maeneo tofauti Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, washitakiwa na wengine ambao hawajafika mahakamani, walikula njama za kumuua Jaji Lubuva na familia yake.

Washitakiwa walikana mashitaka na upande wa Jamhuri ulidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo unaendelea na kuomba tarehe nyingine ya kutajwa. Wakili wa upande wa utetezi, Moses Kaluwa ambaye alifika mahakamani hapo kwa niaba ya Wakili Peter Kibatala, aliiomba mahakama itoe dhamana kwa washitakiwa kwa kuwa mashitaka yanayowakabili yana dhamana.

Wakili Moshi alidai Jamhuri inatambua mashitaka hayo yana dhamana kisheria, lakini inaomba dhamana izuiliwe kwa muda hadi watakapoona inafaa kwa sababu ya asili ya kosa, washitakiwa hawawezi kuwa nje wakati upelelezi unaendelea.

Hata hivyo, Wakili Kaluwa alidai sababu zilizotolewa na upande wa jamhuri hazina msingi kisheria, suala la msingi ni mashitaka yanayowakabili kuwa na dhamana na washitakiwa wapo tayari kutimiza masharti yatakayotolewa na mahakama.

Hakimu Simba alisema pamoja na mashitaka hayo kuwa na dhamana kisheria, kutokana na kosa pamoja na hatua ya upelelezi, mahakama imekubali hoja za upande wa jamhuri hivyo washitakiwa watakuwa rumande. Kesi itatajwa tena Desemba 15, mwaka huu.

CHANZO :Gazeti la Habari leo ,03 DEC,2015.
 
Usicheze na kitu kinaitwa nafsi. Iko siku atakuja hadharani aseme ukweli na hapo ndio siku yake ya mwisho.Wala hamna atakayemgusa mzee yule. Muuaji wake ni yeye mwenyewe
 
Yasije yakawa yaleyale ya kina Ponda mtu ameumia kwa kukaa gerezani muda mrefu mwisho wake ana kuja kuachiwa huru kwa kuwa alikuwa hana hatia.
 
9k=
damian-Lubuva31.jpg

WATU wawili wakiwemo Mwanasheria na Mwalimu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama za kumuua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva na familia yake.

Washitakiwa hao, Mwalimu Samwel Gikaro (30) na Mwanasheria Angela Mbonde (32) walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Thomas Simba.

Wakili wa Serikali, Hellen Moshi alidai kati ya Oktoba 23 na Novemba 16, mwaka huu katika maeneo tofauti Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, washitakiwa na wengine ambao hawajafika mahakamani, walikula njama za kumuua Jaji Lubuva na familia yake.

Washitakiwa walikana mashitaka na upande wa Jamhuri ulidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo unaendelea na kuomba tarehe nyingine ya kutajwa. Wakili wa upande wa utetezi, Moses Kaluwa ambaye alifika mahakamani hapo kwa niaba ya Wakili Peter Kibatala, aliiomba mahakama itoe dhamana kwa washitakiwa kwa kuwa mashitaka yanayowakabili yana dhamana.

Wakili Moshi alidai Jamhuri inatambua mashitaka hayo yana dhamana kisheria, lakini inaomba dhamana izuiliwe kwa muda hadi watakapoona inafaa kwa sababu ya asili ya kosa, washitakiwa hawawezi kuwa nje wakati upelelezi unaendelea.

Hata hivyo, Wakili Kaluwa alidai sababu zilizotolewa na upande wa jamhuri hazina msingi kisheria, suala la msingi ni mashitaka yanayowakabili kuwa na dhamana na washitakiwa wapo tayari kutimiza masharti yatakayotolewa na mahakama.

Hakimu Simba alisema pamoja na mashitaka hayo kuwa na dhamana kisheria, kutokana na kosa pamoja na hatua ya upelelezi, mahakama imekubali hoja za upande wa jamhuri hivyo washitakiwa watakuwa rumande. Kesi itatajwa tena Desemba 15, mwaka huu.

CHANZO :Gazeti la Habari leo ,03 DEC,2015.

Lubuva: "mweshimiwa Edward Lowassa Ngoyae, amepata kura 4 sawa na asilimia 0.01" nilikuwa napenda sana sauti yake wakati wa matokeo.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Watu wana hasira na matokeo yaliyokua yanasomwa coz mengi hayakuwa ni yale HALISIA kutoka vituoni. Yeye alikua anadai anasoma matokeo HALISI toka vituoni na ambayo yamesainiwa na MAWAKALA wa vyama vya siasa wakati kiuhalisia ilikua DANGANYATOTO!

Anyway watanzania tuwe na uvumilivu tu coz km ndo rais tayari MAGUFULI alishaapishwa na mambo yanaenda tu vizuri kwa speed aliyonayo
 
WATU wawili wakiwemo Mwanasheria na Mwalimu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama za kumuua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva na familia yake.

Washitakiwa hao, Mwalimu Samwel Gikaro (30) na Mwanasheria Angela Mbonde (32) walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Thomas Simba.

Wakili wa Serikali, Hellen Moshi alidai kati ya Oktoba 23 na Novemba 16, mwaka huu katika maeneo tofauti Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, washitakiwa na wengine ambao hawajafika mahakamani, walikula njama za kumuua Jaji Lubuva na familia yake.

Washitakiwa walikana mashitaka na upande wa Jamhuri ulidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo unaendelea na kuomba tarehe nyingine ya kutajwa. Wakili wa upande wa utetezi, Moses Kaluwa ambaye alifika mahakamani hapo kwa niaba ya Wakili Peter Kibatala, aliiomba mahakama itoe dhamana kwa washitakiwa kwa kuwa mashitaka yanayowakabili yana dhamana.

Wakili Moshi alidai Jamhuri inatambua mashitaka hayo yana dhamana kisheria, lakini inaomba dhamana izuiliwe kwa muda hadi watakapoona inafaa kwa sababu ya asili ya kosa, washitakiwa hawawezi kuwa nje wakati upelelezi unaendelea.

Hata hivyo, Wakili Kaluwa alidai sababu zilizotolewa na upande wa jamhuri hazina msingi kisheria, suala la msingi ni mashitaka yanayowakabili kuwa na dhamana na washitakiwa wapo tayari kutimiza masharti yatakayotolewa na mahakama.

Hakimu Simba alisema pamoja na mashitaka hayo kuwa na dhamana kisheria, kutokana na kosa pamoja na hatua ya upelelezi, mahakama imekubali hoja za upande wa jamhuri hivyo washitakiwa watakuwa rumande. Kesi itatajwa tena Desemba 15, mwaka huu.

Chanzo: Habari Leo.

Why Wakili wa Chadema ndo wakili wao? Dots need be connected.
 
Watu wana hasira na matokeo yaliyokua yanasomwa coz mengi hayakuwa ni yale HALISIA kutoka vituoni. Yeye alikua anadai anasoma matokeo HALISI toka vituoni na ambayo yamesainiwa na MAWAKALA wa vyama vya siasa wakati kiuhalisia ilikua DANGANYATOTO!

Anyway watanzania tuwe na uvumilivu tu coz km ndo rais tayari MAGUFULI alishaapishwa na mambo yanaenda tu vizuri kwa speed aliyonayo

Mzee Lubuva ajifunze kwa Kivuitu alipora kura kumsaidia Kibaki lakini alikuja kufa kama mbwa bila hata msaada wa Kibaki mwenyewe. Haya maisha tenda haki huwezi kuhitaji hata ulinzi.
 
Lubuva yuko around 80 yrs old... sasa si ATAKUFA muda wowote, ya nn kumuua...? 😨
 
umhhh lazima watakuwa na uhusiana na ukawa
 
Back
Top Bottom