Korosho: Viongozi vyama vya ushirika wanapigwa ili wataje kangomba

Acha ulofa wewe. Ona kwanza, lijanamke lizima linaongea mambo ya kipuuziii; mxscheew!
 
Astaghafilullah !
 
It's obvious that hawana pesa na hawakujiandaa kuwapora wafanyabiashara deal Hilo la Korosho...wanachokifanya Sasa NI kuwadhulumu tuu wakulima...aliambiwa jiwe lakin na wabunge wa KUSINI akawaletea kiburi...anavuna Sasa jeuri yake
Mkuu umekuwa kimya sana! What happened? Nakumbuka uliwakilisha gesi ya Mtwara humu!😀
 

Hii habari ni uongo na uzushi mkubwa
 

NI dhuluma tuh...miaka yoote kangomba ipo na NI Jambo la kawaida huku KUSINI
Hata iyo mwaka Jana watu walivyonufaika na mauzo hayo kangomba pia ilikuwapo na hatujaskia Wala kuona complains zozote

Kinachoendelea NI siasa za kifala Sana kwenye hili zao la Korosho
Hawana pesa wanaleta visingizio visivyo na msingi wowote
 
Mwamwindi alimpelekea Moto RC Dr Kleruu kwa ujinga ujinga Kama huo

Alipofikishwa Mahakamani Mara zote alikiri Na mpaka anatembelewa Na Mtoto wake hakuonekana kujutia kile Kitendo
Uko wa mwamwindi mpk leo hawataki ujinga ujinga ...
Mkuu kna watu wanaudhi wanaweza kukufanya ukachukua uamuzi mmbaya

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…