Ashamtandika nani huyo dogo ?Huyu dogo mimi namkubali sana. Yeye hana simile. Akisema anakutandika na anakutandika kweli.
Mbna hajawatandika sasa kila siku kaz kulaumu, kwan Na yeye haogopi kufa.Huyu dogo mimi namkubali sana. Yeye hana simile. Akisema anakutandika na anakutandika kweli.
Ha ha ha Korea namba nyingine mpaka leo hawajamfanya lolote kwani kaanza leo kurusha makombora?
Daudi kafata cheti bondeni nimeskia .
Alizamisha baharini manoari za kivita za Korea ya Kusini.
George Bush aliwahi kutaka kuivamia Korea ya Kaskazini. Alipigwa mkwara mzito akafunga brake.
Dogo mikwara mingi.. hawez toboa.. hata yeye anajua hiloNgoja dogo awaumize vichwa kwanza wamezoea kuonea wengine wakakaa kimya
Hii nchi haina kitu mbele ya japan na china pia alimpa onyo cox anajua USA ikitia miguu yeye hatoingia vitaniDogo anajua mchina yupo nyuma. MCHINA ANAMTUMIA TU DOGO KUTIKISA HAWA ALLIES WA USA JAPAN N SKOREA kama ambavyo USA amewaweka wale imposters pale Israel ili wawazingue waarabu kila siku ndio mchina na North Korea. So hata USA n JAPAN hawawezi kumgusa maana ni kama umemgusa mchina
Hahahajaha kwa taarifa yako japan iliitandika mpaka china na asia yote ilikuwa chini yake america yenyewe ilishinda kwa mbindeJapan haina weapons kali inategemea ilindwe na USA kama korea kusini
Urusi achana nao kabisa ni wazungu wale wanaangaliana atakuea mkali tu pale anakouza silaha yena wanamkutano na NATO. Urusi wako kisilaha zaidi hawa interest na kitu kingine huyu dogo akikurupuka tu atashangaaa atakalisha ndani ya siku japan tu anamtoshaMkuu huenda n/Korea Ana back up ya urusi
Hahahaha huijui korea ya kaskazini vizuri mapato yake hayafiki hata nusu ya k.kusiniOgopa nchi ambayo ina vikwazo vingi haina interaction na nchi nyingine lakini unaona anavyofanya mambo.
Yani ana science ya kujitegemea kaweza rusha makombora.
Sasa lazima kuiogopa maana kuna mengi juu yake hajulikani maana habari nyingi za korea kaskazini hutolewa na korea kusini ambazo nyingine uwa siyo kweli..
Nchi maskini kama hiyo haiwezi kinukisha nchi kama Iran hapo sawaKorea ya kasikazini ni strategic planning on coming WW3
Jipu limeiva lazima lipasuke...it will be the beginning of the endKorea Kaskazini imesema kuwa ulipuaji wa makombora manne hiyo jana ulikuwa mafunzo ya kujiandaa kushambulia vituo vya kijeshi vilivyoko nchini Japan na kwamba shughuli hiyo ilisimamiwa na kiongozi wa Taifa hilo katili Kim Jong-un.
Rais Trump alifanya mashauriano kwa njia ya simu na Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe, na Rais wa muda wa Korea Kusini kujadili jinsi ya kujibu kitendo hicho.
''Korea kaskazini imefyatua makombora yake manne leo na kuangukia karibu na eneo letu la maji lenye manufaa kwetu kiuchumi.
Yule alikuwa sadamu lkn kwa huyu haiwezekaniSaddam na Gaddaf mliwapamba hivi hivi ila mwisho wa siku tuliona maiti na mizoga zao
Huyu nae akipigwa mtasema ameonewa?
Bashite katoa vyeti mkuu?
X watakifa sasa hao mkuuKaangalie Escape from Sobibor halafu tema mate chini kufuta hiyo kauli yako kuna watoto walitambaa miaka minne bila kuweza kutembea kwa njaa
That was then and this is now.Hahahajaha kwa taarifa yako japan iliitandika mpaka china na asia yote ilikuwa chini yake america yenyewe ilishinda kwa mbinde