Korea Kaskazini yasema inajiandaa kushambulia Japan

Korea Kaskazini yasema inajiandaa kushambulia Japan

Wacha waonyeshane
ila vita haina mbabe ni hatari sana
 
Sahihi kabisa inawezakana North Korea ni base ndogo ya Russia na China kwenye korea peninsula na ndio maana ni nchi ndogo Sana inayoinyima usingizi USA na washirika wake
 
Sijui nini kinataka kutokea ila kwa uelewa wangu North Korea akianzisha vita hata Kama atapigwa na kushindwa madhara na uharibifu na idadi ya vifo kwa askari na raia wa Japan na South Korea hayatasahaulika katika historia Ya hii dunia, lakini kitendo cha USA kushusha THAAD jana usiku South Korea labda kinaweza kubadilisha hali ya mambo japo China imekasishwa Sana na jambo hilo
The same way kwa North Korea maana kumbuka US ana submarine zenye makombora ya nuclear pale rasi ya Korea.Hvyo ikitokea mshirika mmoja kashambuliwa unadhani na yeye ataacha kurusha nuclear zake kujibu mashambulizi?! Tena uzuri US alishasema waz ikitokea imeshambulia Japan au South korea watajibu kwa kishindo kizito.Ila kusema ukweli ile sehemu kwa sasa kunawaka moto maana China washaanza kususia bidhaa za South Korea kutokana na ujio wa THAAD.
 
Inabd ipigwe vita ya tatu ya dunia ili kuneutralize huu mvutano na kila mtu kujiona bingwa zaidi ya mwenzake. Baada ya hiyo vita watu wataheshimiana
 
Inabd ipigwe vita ya tatu ya dunia ili kuneutralize huu mvutano na kila mtu kujiona bingwa zaidi ya mwenzake. Baada ya hiyo vita watu wataheshimiana
Unadhan WWlll ikitokea Leo hii wataokaumia ni hao wapiganaji tu, hata sisi tutaumia embu fikiria tu uchumi wa marekan ukitetereka tu huku kwetu balaa sembuse Leo WWlll.Mungu aepushe tu kwa kweli.
 
Unadhan WWlll ikitokea Leo hii wataokaumia ni hao wapiganaji tu, hata sisi tutaumia embu fikiria tu uchumi wa marekan ukitetereka tu huku kwetu balaa sembuse Leo WWlll.Mungu aepushe tu kwa kweli.
Ofcoz tutaumia sanà aisee sema kwa hizi tensions zilizopo opo siku kitanuka
 
Korea kaskazini ina uwezo gani kivita?
Ogopa nchi ambayo ina vikwazo vingi haina interaction na nchi nyingine lakini unaona anavyofanya mambo.
Yani ana science ya kujitegemea kaweza rusha makombora.
Sasa lazima kuiogopa maana kuna mengi juu yake hajulikani maana habari nyingi za korea kaskazini hutolewa na korea kusini ambazo nyingine uwa siyo kweli..
 
Marekan mjanja sana hapo anaua ndege wawili kwa jiwe moja. Kwanza uwepo wa THAAD utazuia makombora ya North Korea pia radar za THAAD kama wataalam wanavyosema pia itacover part kubwa tu ndani ya China hivyo kuchunguza nyendo za China kijeshi hasa mahali yalipo maeneo ya kurushia makombora (silos).Wewe hujiuliz kwann China anambana South korea kila pembe aghaili mpango wa kuleta THAAD lkn wapi tena US ndo kaamua kuiharakisha maana ilitakiwa iletwe kat kat ya mwaka na ianze kufanya kaz mwishon mwa mwaka huu lkn kwa sasa itaanza kaz mapema kabla ya hapo.
THAAD ni kwa ajili ya china sanasana,kwa korea kaskazin sidhani kama itaapply juu ya ukaribu uliopo kati yake na korea kusini,
 
Ogopa nchi ambayo ina vikwazo vingi haina interaction na nchi nyingine lakini unaona anavyofanya mambo.
Yani ana science ya kujitegemea kaweza rusha makombora.
Sasa lazima kuiogopa maana kuna mengi juu yake hajulikani maana habari nyingi za korea kaskazini hutolewa na korea kusini ambazo nyingine uwa siyo kweli..
Anafanya majaribio tu, kikinuka hivyo vikombora vyake ni sawa na scud tu.
Watatafutana. Pengine ndio utakuwa ukombozi wa wakorea dhidi ya dictator uchwara UN
 
THAAD ni kwa ajili ya china sanasana,kwa korea kaskazin sidhani kama itaapply juu ya ukaribu uliopo kati yake na korea kusini,
Yah mkuu THAAD pale US anacheza mchezo ila ile sanasana anamtarget China, ila kwa North Korea itaapply coz THAAD imekua designed kudefeat makombora mda mchache baada ya kurushwa kabla warheads hazijaingia kwenye atmosphere hvyo km Pyongyang wakirusha kombora haraka sana litakuaTracked na THAAD radar na kutunguliwa, km Radar ya THAAD inafika had ndani ya China bila Shaka pia inaCover na eneo kubwa tu ndan ya Pyongyang sema US&S.Korea hawaelezei hii kitu.
 
The same way kwa North Korea maana kumbuka US ana submarine zenye makombora ya nuclear pale rasi ya Korea.Hvyo ikitokea mshirika mmoja kashambuliwa unadhani na yeye ataacha kurusha nuclear zake kujibu mashambulizi?! Tena uzuri US alishasema waz ikitokea imeshambulia Japan au South korea watajibu kwa kishindo kizito.Ila kusema ukweli ile sehemu kwa sasa kunawaka moto maana China washaanza kususia bidhaa za South Korea kutokana na ujio wa THAAD.
Kihalisia THAAD ni kwa ajili ya China na si North Korea ila USA katake advantage
 
Mmmmmmh nimesoma kuhusu China kumsusia SKorea
 
Korea ya kasikazini ni strategic planning on coming WW3
 
Saddam na Gaddaf mliwapamba hivi hivi ila mwisho wa siku tuliona maiti na mizoga zao
Huyu nae akipigwa mtasema ameonewa?
Bashite katoa vyeti mkuu?
Ha ha ha Korea namba nyingine mpaka leo hawajamfanya lolote kwani kaanza leo kurusha makombora?
Daudi kafata cheti bondeni nimeskia .
 
Inabd ipigwe vita ya tatu ya dunia ili kuneutralize huu mvutano na kila mtu kujiona bingwa zaidi ya mwenzake. Baada ya hiyo vita watu wataheshimiana
Kaangalie Escape from Sobibor halafu tema mate chini kufuta hiyo kauli yako kuna watoto walitambaa miaka minne bila kuweza kutembea kwa njaa
 
Huyu dogo mimi namkubali sana. Yeye hana simile. Akisema anakutandika na anakutandika kweli.
 
Back
Top Bottom