Korea Kaskazini yasema inajiandaa kushambulia Japan

Hahahaha huijui korea ya kaskazini vizuri mapato yake hayafiki hata nusu ya k.kusini
Nakubariana na wewe kuwa Korea Kusini ina mapato makubwa kuliko kaskazini, lakini hilo haliifanyi Kaskazini isiwe tishio.
Mfano pakstan na India.
India yuko mbali kiuchumi kuliko Pakstan, lakini Pakstan anamuhenyesha Mhindi linapokuja suala la welfare na intelligence.
Korea Kaskazini yeye kawekeza kwenye jeshi kuliko kitu kingine wakati kusini yeye kawekeza kwenye technology na technology yake siyo ya kijeshi mostly ni ship building, cars, construction, telecommunication and electronics.
Ndiyo maana hujawahi kusikia K.Kusini katest balstic missiles.
K.Kusini na Japan wana mkataba na Marekani wa Kuwalinda wanalipia refer to trump siku chache zilizopita alisema inabidi waongeze malipo kwa kupewa ulinzi na Marekani..
 
Kaangalie Escape from Sobibor halafu tema mate chini kufuta hiyo kauli yako kuna watoto walitambaa miaka minne bila kuweza kutembea kwa njaa
Nikiangalia kila movie inatisha.
Sishabikii vita mkuu hayo ni maneno tu.
Ila kwa mwendo huu na imbalance inayoongezeka ipo siku hawa watu watatwangana aisee.
 
Nakubariana na wewe kuwa Korea Kusini ina mapato makubwa kuliko kaskazini, lakini hilo haliifanyi Kaskazini isiwe tishio.
Mfano pakstan na India.
India yuko mbali kiuchumi kuliko Pakstan, lakini Pakstan anamuhenyesha Mhindi linapokuja suala la welfare na intelligence.
Korea Kaskazini yeye kawekeza kwenye jeshi kuliko kitu kingine wakati kusini yeye kawekeza kwenye technology na technology yake siyo ya kijeshi mostly ni ship building, cars, construction, telecommunication and electronics.
Ndiyo maana hujawahi kusikia K.Kusini katest balstic missiles.
K.Kusini na Japan wana mkataba na Marekani wa Kuwalinda wanalipia refer to trump siku chache zilizopita alisema inabidi waongeze malipo kwa kupewa ulinzi na Marekani..
Mkuu kuhusu Japan wapo vizuri na less than minutes Korea kaskazini wanapotezwa na Japan

Na Japan alikuwa na mpango wakutungua vinu vya nyuklia vya Korea kaskazini bila ya kuonekana kwenye radar na wameshaanza kutengeneza teknolojia hiyo

Korea kaskazini ana low technolgy kuliko Japan

Ila Japan akiamua aingilie sakata hili Korea kaskazini wanapotea
 
Huyu dogo kichaa sana anafurahia kuwachokoza ili wapige kelele na anawapiga mkwala tu hawezi kuwashambulia
Sasa yeye anapata faida gani ili hali awezi kupambana na hayo mataifa makubwa?
 
Sijui nini kinataka kutokea ila kwa uelewa wangu North Korea akianzisha vita hata Kama atapigwa na kushindwa madhara na uharibifu na idadi ya vifo kwa askari na raia wa Japan na South Korea hayatasahaulika katika historia Ya hii dunia, lakini kitendo cha USA kushusha THAAD jana usiku South Korea labda kinaweza kubadilisha hali ya mambo japo China imekasishwa Sana na jambo hilo
THAAD ndio chombo gani?
 
Huyu dogo kichaa sana anafurahia kuwachokoza ili wapige kelele na anawapiga mkwala tu hawezi kuwashambulia
Kuna sehemu nimeshtushwa na taarifa kuwa dogo yuko kwenye pay list ya US....anafanya vurugu zote hizi ili US ipate sababu ya msingi kuweka makombora na rad zake kali karibu na China na Urusi. Inasemekana kakaake aliyeuawa juzi kati ndiye alikuwa anaandaliwa na China kuchukua nchi ya North Korea...sasa US wakitumia covert missions tulizoelezwa na The Bold wakamuwahi...huku wakimsingizia dogo. Hizi bado ni tetesi...hivyo nafukunyua zaidi kujua ukweli!
 
Dogo yuko kama mbwa koko, kila siku anataka kushambulia yeye tu kisha anaishia kubweka tu kajibwa
 
Saddam na Gaddaf mliwapamba hivi hivi ila mwisho wa siku tuliona maiti na mizoga zao
Huyu nae akipigwa mtasema ameonewa?
Bashite katoa vyeti mkuu?
Siku zote mtu mwoga huwa kazi yake ni kupiga kelele tu, na akiminywa kidogo tu ataanza kuomba huruma kwa jamii
 
Kuna sehemu nimeshtushwa na taarifa kuwa dogo yuko kwenye pay list ya US....anafanya vurugu zote hizi ili US ipate sababu ya msingi kuweka makombora na rad zake kali karibu na China na Urusi. Inasemekana kakaake aliyeuawa juzi kati ndiye alikuwa anaandaliwa na China kuchukua nchi ya North Korea...sasa US wakitumia covert missions tulizoelezwa na The Bold wakamuwahi...huku wakimsingizia dogo. Hizi bado ni tetesi...hivyo nafukunyua zaidi kujua ukweli!
Mkuu naomba unitag kwenye huo uzi wa The Bold
 
Back
Top Bottom