nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,726
- 12,006
Hapa nitamfungueni macho kidooogo Korea ....
USA Mwaiona daileeee hivyo utalinganisha kwa kutumia
nafsi, roho, akili na fahamu za kipimo chako.
Kuingia jiji la
Pyongyang,
Alama ya chama chao cha wafanyakazi,kam ilivyokuwa NUTA,JUWATA,OTTU na blah blah
Hilo jengolenye kama pembe tatu ndilo jengo refu zaidi duniani lakini hutalisikia kisa haelewani na mashoga (USA)
Hii ni Juche tower kando ya Mto Taedong
Hapa ni Manyongdae kituo cha watoto
Na hapa ni mitaa ya uswahilini,umeme umekatika lakini picha ya baba wa Taifa lao umeme unawaka tehteh
Je umeona crane hapo? naam hakuna hii nikwa sababu watu wapate vibarua na rizki
Kambi ya vijijini wakichota maji mtoni
Hapa ni kama pale mtaa wa samora tulipoweka sanamu ya yule ashari wa kikenya kwa niaba ya walopigana vita kuu ya 2 ya wazungu.
Hapa ni mtaa maalum kwa waenda kwa miguu
uwanja wao wa Taifa
kukaa mtu 150,000
hapa kama water world
hapa ni kama sie tunapocheza ngoma zetu za jadi
Kituo kimojawapo cha mambo ya sayansi na teke linalokujia
eba na ee kama kamtambo ka NASA
Huu ni mji unaohusiana na mambo ya sayansi tu
Makazi ya uswazi
Kama magorofani
Dhifa za kitwaifer
Toa maoni yako .....................