Sadly hyo Seoul ukilinganisha na Pyongyang, Pyngyang inakua kama chalinze na Seoul kama dar.Pyongyang IPO north Korea wewe.... Acha ubepari .... Ungejua wakati wanavunja Korea na kuwa north na south ..... Kulikua na msukumo gani .... Upande UPI ulikuwa na maendeleo..... Seol ( Korea kusini) yalikuwa ni mashamba tu ...viwanda na maendeleo vilikuwa ( pyongyang) (north).....
Huyu msela hapa atakusaidia sanaaaaAlafu nasikia videmu vya kikorea vina "K" mnato jee ni kweli? .... 🙂🙂
Dunia Ina mambooo pita kwenye mitaa . . . . . .Hapa nitamfungueni macho kidooogo Korea ....
USA Mwaiona daileeee hivyo utalinganisha kwa kutumia
nafsi, roho, akili na fahamu za kipimo chako.
![]()
Kuingia jiji la
Pyongyang,
![]()
Alama ya chama chao cha wafanyakazi,kam ilivyokuwa NUTA,JUWATA,OTTU na blah blah
![]()
Hilo jengolenye kama pembe tatu ndilo jengo refu zaidi duniani lakini hutalisikia kisa haelewani na mashoga (USA)
![]()
Hii ni Juche tower kando ya Mto Taedong
![]()
Hapa ni Manyongdae kituo cha watoto
Na hapa ni mitaa ya uswahilini,umeme umekatika lakini picha ya baba wa Taifa lao umeme unawaka tehteh
![]()
Je umeona crane hapo? naam hakuna hii nikwa sababu watu wapate vibarua na rizki
![]()
Kambi ya vijijini wakichota maji mtoni
![]()
Hapa ni kama pale mtaa wa samora tulipoweka sanamu ya yule ashari wa kikenya kwa niaba ya walopigana vita kuu ya 2 ya wazungu.
![]()
![]()
Hapa ni mtaa maalum kwa waenda kwa miguu
![]()
uwanja wao wa Taifa
![]()
kukaa mtu 150,000
![]()
hapa kama water world
![]()
hapa ni kama sie tunapocheza ngoma zetu za jadi
![]()
Kituo kimojawapo cha mambo ya sayansi na teke linalokujia
![]()
eba na ee kama kamtambo ka NASA
![]()
Huu ni mji unaohusiana na mambo ya sayansi tu
![]()
Makazi ya uswazi
Kama magorofani
![]()
Dhifa za kitwaifer
Toa maoni yako .....................
Pale kwa Obama, nje ya white house kuna wahuni wengi wanapiga gitaa ili watu wawape chochote. Pia njia ya kutoka wizara ya fedha kuja Ikulu kuna mchizi mmoja teja kaweka bango lake la wino anaomba msaada eti aliathirika na vita vya Iraq. Mimi wamarekani siwaelewi na utajiri wao.mkuu cjawahi kufika lakini naona hlo haliwezekani washngtoni kuwe na ombaomba km kariakoo au moroko mataa! sasa yale mabilioni wanayotusaidia si wangesaidia watu wao?
Pale kwa Obama, nje ya white house kuna wahuni wengi wanapiga gitaa ili watu wawape chochote. Pia njia ya kutoka wizara ya fedha kuja Ikulu kuna mchizi mmoja teja kaweka bango lake la wino anaomba msaada eti aliathirika na vita vya Iraq. Mimi wamarekani siwaelewi na utajiri wao.
Kuna kitu kinapungua katika ufikiriaji wako!. Language is the main determinant in communication!, mleta mada kagusia kuwa Kuna mambo mema/makubwa hatuyajui kuhusu N/Korea kwa sababu hawaelewani Na marekani, ndipo nilipompinga kwa kigezo cha lugha, kwa kuzingatia kuwa lugha yetu kuu ya mawasiliano kimataifa Ni kiingereza, nchi yoyote ambayo haijitangazi/haitumii lugha ya kiingereza Ni vigumu kwetu sisi kuwajua Na kufuatilia masuala yao, hata kiongozi wa N/Korea alipomuua Mjomba wake tv zinazotumia kiingereza ndio zilitujuza kwa kina Na sio tv ya taifa ya N/Korea, hata wanapofanya tishio la kushambulia S/Korea /America tunajua kupitia lugha ya kiingereza, japokuwa tv yao ya taifa inaonesha mambo yao mengi lakini bila kutumia kiingereza kwetu inakuwa sio habari, mpaka ubahatishe documentary ya English version ndio unaelewa somo Na kunogewa nao. Kama bado hujaelewa basi sina msaada zaidi ya hapo kwani ualimu niliukwepa Kila nilipopata post yake!.Sasa lugha ya Kiingereza inaingiaje hapa? Kuna uhusiano gani kati ya Mada husika na lugha ya Kiingereza?