Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,643
Mkuu kwani kikundi cha hamas kina kambi??Kwahiyo hapo ndio palikuwa na kambi za wanamganbo wa Hamas?
Mkuu kwani kikundi cha hamas kina kambi??Kwahiyo hapo ndio palikuwa na kambi za wanamganbo wa Hamas?
Mkuu acha propaganda ebu tuleetee na idadi ya askari wa hamas waliokufa.Kamba naweza weka video za live zaidi ya 30 walikufa, yani Magari na ma vifaru yanavyolipuliwa kila masaa kadhaa eti 30 hawajafa, kweli we Mahaba Niue.
IDF wenyewe wanasema 333 wameshakufa so Far ila wewe Chawa unahisi hata 30 hawajafika, Endelea kudanganya.
Chambua vita achana na kejeli za kidini ,maana hakuna asiye jua hizo kejeli.View attachment 2802272
Mkuu wa anti tank operations kashaondoka kuwahi bikra 72. Na maofisa wengine wa HamasView attachment 2802274
Kuna vifaru na magari yanayobeba askari, mfano video hii Inaonesha Magari yanayobeba askari moja likitunguliwa. Hilo ni panther linabeba Askari 14,Ni kifaru gani kinabeba watu 15? Hilo limekuwa Fuso sasa.
Namer IFV ndio ilibeba wanajeshi 11 na sio 15, na nimeitaja. Ni hiyo tu sijaona IFV nyingine wala tank.
Alafu Gaza itazingirwa nzima kasoro Rafar closing, pale Rafar silaha haziwezi pita Misri haiwezi ruhusu maana zikipita Israel itashambulia na kuzuia misaada kabisa. Gaza city imezingirwa jana huo msaada wa silaha unaosubiriwa unaweza kosa pa kupita. Na Hamas silaha wakikuwa nazo nyingi sana haiwezekani wameanza vita mwezi haujaisha tiyari wanasubiri msaada na wakati maroketi yenyewe waliyofyatua ni around 8,000.
Subiri uone kama hawafii kwenye hayo maandaki.
Mpaka jana Hezbollah imetangaza kupoteza wapiganaji 50. Tusubiri Nasrallah anasemaje leo
Israeli Army:Kamba naweza weka video za live zaidi ya 30 walikufa, yani Magari na ma vifaru yanavyolipuliwa kila masaa kadhaa eti 30 hawajafa, kweli we Mahaba Niue.
IDF wenyewe wanasema 333 wameshakufa so Far ila wewe Chawa unahisi hata 30 hawajafika, Endelea kudanganya.
Weka report ya IDF inayosema kwenye ground operation imepoteza wanajeshi 333.Kamba naweza weka video za live zaidi ya 30 walikufa, yani Magari na ma vifaru yanavyolipuliwa kila masaa kadhaa eti 30 hawajafa, kweli we Mahaba Niue.
IDF wenyewe wanasema 333 wameshakufa so Far ila wewe Chawa unahisi hata 30 hawajafika, Endelea kudanganya.
Nimesha kwambia ya kuwa hamas anakwepa kupigana uso kwa uso na wanajeshi wa Israel kwa sababu hana silaha wala wapiganaji wa kutosha kipigana ana kwa ana na vikosi vya Israel vyenye kila aina ya mashine za kivita na ndio maana vifo ni vichache kwa pande zote.Kwa sasa ni vigumu kuleta silaha Hamas. Kama hizo walizonazo matumizi yenyewe ndio ya hivi basi tusahau kuhusu resistance yao, haina ukubwa kivile.
Wakusubiriwa ni Hezbollah ambao vita hawajatangaza rasmi ila Israel imeua wapiganaji wake 53 mpaka leo hii. Na wengine kina Islamic Jihad na makundi mengine, pale Syria kuna maelfu ya wapiganaji wanajikusanya.
Gaza city pekee ndio imezingirwa na ndio ina miundombinu nyingi za Hamas. Bado vipande vingine vinne hivi vya Gaza strip. Kwenye operation hii Israel imepoteza wanajeshi 23 mpaka leo
Sasa mtu anatoaje report alafu anachanganya main battle tank, infantry fighting vehicle na armoured personnel carrier.Kuna vifaru na magari yanayobeba askari, mfano video hii Inaonesha Magari yanayobeba askari moja likitunguliwa. Hilo ni panther linabeba Askari 14,
View attachment 2802349
Nadhani yy ameshindwa kutofautisha vifo vilivyo tokea tangu kuanza kwa vita na vifo vilivyo tokea tangu Israel aingie gaza.Weka report ya IDF inayosema kwenye ground operation imepoteza wanajeshi 333.
Mpaka kuamkia leo IDF ilikuwa imetangaza vifo 27.
Au ukute nabishana na mtu asiyejua maana ya ground operation ya Gaza. Na hajui imeanza lini.
Nimekuekea Video moja Panther ililiwa Atleast 14, kuna video zinaonesha si Chini ya vifaru 10 vikilipuliwa, kuna video zinaonesha drone zikidondosha mabomu kwenye umati wa askari wa Israel wengine wanakimbia wengine wanadondoka, kuna video inaonesha rocket inapiga kikosi kizima (ambao idf wenyewe wamekiri wakufa kwenye mapigano makali) lakini Hamas wakarelease video ni askari watatu tu waliangamiza hicho kikosi. Ushahidi Wa video live kila mtu Anaona baadhi hizi.Weka report ya IDF inayosema kwenye ground operation imepoteza wanajeshi 333.
Mpaka kuamkia leo IDF ilikuwa imetangaza vifo 27.
Au ukute nabishana na mtu asiyejua maana ya ground operation ya Gaza. Na hajui imeanza lini.
Mwisho mtasema IDF walipeleka Robot hajakufa Hata mmoja. Hicho kiberenge kimepigwa mwanzo kabisa wakati wa ajaribu Ground invasion then wakaretreat. Israel noma anapeleka kwanza maji vyakula na Dawa kisha wanapeleka wanajeshiSasa mtu anatoaje report alafu anachanganya main battle tank, infantry fighting vehicle na armoured personnel carrier.
Hiyo Panther ni APC yenye nafasi ya kutosha ndani, inaweza beba hadi wanajeshi 14 au ikabeba supplies. Wanajeshi kule Gaza wanahitaji vyakula na maji, madawa, ammunition na mengine.
We ukiona mlipuko tiyari unatafuta hicho kifaa kinaweza beba watu wangapi tiyari unajumlisha idadi hiyo kama vifo. Basi likidondoka badala uhesabu waliofariki unatafuta idadi unayoweza kubebwa na basi tiyari unatangaza watu 65 wamekufa, kumbe basi lilibeba dereva na konda na wamejeruhiwa.Nimekuekea Video moja Panther ililiwa Atleast 14, kuna video zinaonesha si Chini ya vifaru 10 vikilipuliwa, kuna video zinaonesha drone zikidondosha mabomu kwenye umati wa askari wa Israel wengine wanakimbia wengine wanadondoka, kuna video inaonesha rocket inapiga kikosi kizima (ambao idf wenyewe wamekiri wakufa kwenye mapigano makali) lakini Hamas wakarelease video ni askari watatu tu waliangamiza hicho kikosi. Ushahidi Wa video live kila mtu Anaona baadhi hizi.
View attachment 2802361
Hapo kifaru kimetegewa bomu la Ardhini.
Nakuekea nyengine Ya drone MDa si mrefu
Mipaka yote imefungwa mkuu. Au huelewi kinachoendeleaSasa umeuliza swari gani hilo kwa hiyo hizo wanazo zitumia sasa hivi wamezipitisha wapi?
Weka report ya IDF inayosema kwenye ground operation imepoteza wanajeshi 333.
Mpaka kuamkia leo IDF ilikuwa imetangaza vifo 27.
Au ukute nabishana na mtu asiyejua maana ya ground operation ya Gaza. Na hajui imeanza lini.
Lete proof video niliyo weka ni hiko kifaa unachosema,We ukiona mlipuko tiyari unatafuta hicho kifaa kinaweza beba watu wangapi tiyari unajumlisha idadi hiyo kama vifo. Basi likidondoka badala uhesabu waliofariki unatafuta idadi unayoweza kubebwa na basi tiyari unatangaza watu 65 wamekufa, kumbe basi lilibeba dereva na konda na wamejeruhiwa.
Hiyo video sio kifaru, ni armoured bulldozer ambalo linafanya clearance ya njia kuondoa landmines, vizuri na vifusi vya majengo yaliyoporomoka. Kulipukiwa na landmines ni kazi yake. Ndio maana wameyatanguliza, na sio kila armour ikiwa immobilized na landmine unamaanisha watu wamekufa. Ni kutoa wheels au kufanya repair kazi inaendelea, au ikiharibika sana inakuwa written off.
Nimekosa video ya angle nyingine nikiipata naileta.
Video hii hapa, armoured bulldozer imekanyaga landmine na hakuna kilichotokea
Gaza city imezingirwa we unasema Israel wameretreat. Au siku hizi watu huwa wanaretreat kwa kwenda mbele.Mwisho mtasema IDF walipeleka Robot hajakufa Hata mmoja. Hicho kiberenge kimepigwa mwanzo kabisa wakati wa ajaribu Ground invasion then wakaretreat. Israel noma anapeleka kwanza maji vyakula na Dawa kisha wanapeleka wanajeshi
Nishaiona hii. Hii ndio report ya IDF inayosema wamepoteza wanajeshi 333 kama ulivyodai?