ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,493
- 20,304
Sasa umeuliza swari gani hilo kwa hiyo hizo wanazo zitumia sasa hivi wamezipitisha wapi?Hizo silaha watapitisha wapi Hadi ziwafikie Hamas
Sasa umeuliza swari gani hilo kwa hiyo hizo wanazo zitumia sasa hivi wamezipitisha wapi?Hizo silaha watapitisha wapi Hadi ziwafikie Hamas
Nasikia makamanda wenu wapo wanauawa kifala huko gaza.Mkuu dua la kuku halimpati mwewe.
USA ndio top wa wote
Au kichapo cha gaza kinakuchanganya mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji6]View attachment 2801738View attachment 2801738
Usiwapangie namna ya kupigana,wao ndo wanajua mikakati yao jinsi walivyo ipanga mm na ww tutakuwa watazamaji tu.Kuna makamanda waandamizi wengi wa Hamas wameuwawa. Akiwemo kamanda aliyeendesha mashambulizi ya tarehe 7 na kamanda wa kikosi cha anti tank missiles.
Gaza city imezingirwa leo. Sikutarajia upinzani mwepesi hivi hadi sasa Israel haijapoteza hata wanajeshi 30 kwenye hii ground offensive. Wamepoteza Namer heavy IFV moja ila sijaona wanapoteza kifaru chochote pamoja na anti tank missiles zote walizonazo Hamas.
Huu ni upinzani mdogo sana wale wapiganaji 25,000 tulioambiwa wa Hamas mbona hatuwaoni. Na maelfu ya maroketi wanayorusha yanapenya machache sana. Hamas walijichanganya ngoja tusubiri Hezbollah na makundi mengine
Kichapo kipo pale pale sema TakbirrrrUnashabikia ushindi Kwa mtu mwenye bunduki anayepigana na mtu mwenye manati
Ni kifaru gani kinabeba watu 15? Hilo limekuwa Fuso sasa.Usiwapangie namna ya kupigana,wao ndo wanajua mikakati yao jinsi walivyo ipanga mm na ww tutakuwa watazamaji tu.
Hamas haina silaha wala wapiganaji wa kutosha wa kupigana uso kwa uso na Mashine kubwa na wanajeshi wengi kiasi hicho wa Israel wangethubutu kutumia njia hiyo walikuwa wanashindwa mapema sana, bali hamas kwa sasa ana jidiffense tu na namna nzuri ya kujidifense dhidi ya mwenye nguvu kukuzidi huna budi bali ni kukaribisha vita mjini.
Hii mbinu ilitumiwa na Ukraine kwenye battel ya Kiev na wakafanikiwa maana licha ya kuwa walikuwa na silaha chache walifanikiwa kuvizuia vikosi vya Urusi mpaka pale silaha zaidi kutoka kwa wafadhili wake Nato walipo leta silaha ndani ya siku mbili, labda kitakacho wagharimu hamasi ni je wana usambazaji wa uhakika wa silaha kama ilivyo kwa Ukraine tatizo linaanzia hapo.
Alafu sio kweli kuwa hakuna kifaru kilicho haribiwa tangu vita ianze,ni jana tu Israel ilipoteza zaidi ya wanajeshi 15 kwa mpigo baada ya msafara wa vifaru kupigwa ambush na vifaru vilivyo haribiwa si chini ya vifaru vinne.
Ndio maana nime sema usambazaji wa silaha wa uhakika unaweza kuiangusha Hamas.Ni kifaru gani kinabeba watu 15? Hilo limekuwa Fuso sasa.
Namer IFV ndio ilibeba wanajeshi 11 na sio 15, na nimeitaja. Ni hiyo tu sijaona IFV nyingine wala tank.
Alafu Gaza itazingirwa nzima kasoro Rafar closing, pale Rafar silaha haziwezi pita Misri haiwezi ruhusu maana zikipita Israel itashambulia na kuzuia misaada kabisa. Gaza city imezingirwa jana huo msaada wa silaha unaosubiriwa unaweza kosa pa kupita. Na Hamas silaha wakikuwa nazo nyingi sana haiwezekani wameanza vita mwezi haujaisha tiyari wanasubiri msaada na wakati maroketi yenyewe waliyofyatua ni around 8,000.
Subiri uone kama hawafii kwenye hayo maandaki.
Mpaka jana Hezbollah imetangaza kupoteza wapiganaji 50. Tusubiri Nasrallah anasemaje leo
God bless USAHuyu marekani atachanganyikiwa sasa maana kashamkacha Ukraine zelensky anamwagiwa moto balaa na putin. Mamaaa mmarekani kapatikana.
VITANI WANAJESHI KUFA KAWAIDA MKUU.[emoji599][emoji1134] Israel just lost its HIGHEST RANKING SOLDIER so far, a battalion commander from the 188th Brigade.View attachment 2801789
Mkuu unadhani?Ndio maana nime sema usambazaji wa silaha wa uhakika unaweza kuiangusha Hamas.
Nadhani Israel amezingira mji wa gaza city ambao uko kaskazini mwa ukanda wa gaza, na sio ukanda wa gaza mzima kama sikosei maana Israel haijaanzisha uvamizi upande wa kusini.
Kama ni silaha hata hizi walizo nazo hamas zimeingizwa ndani ya gaza kimagendo na sio kwa ruhusa ya serikali ya Misri.
WANAJESHI KUFA VITANI NI KAWAIDA.Nasikia makamanda wenu wapo wanauawa kifala huko gaza.
Unawaombea watu ambao hawataki hata kuuona ukristo na wameumaliza hadi sasa imebaki 1% tuEe Mungu ibariki Israel,
Mkuu dua la kuku halimpati mwewe.
USA ndio top wa wote
Au kichapo cha gaza kinakuchanganya mkuu🤣🤣😂😉View attachment 2801738View attachment 2801738
Kwa sasa ni vigumu kuleta silaha Hamas. Kama hizo walizonazo matumizi yenyewe ndio ya hivi basi tusahau kuhusu resistance yao, haina ukubwa kivile.Ndio maana nime sema usambazaji wa silaha wa uhakika unaweza kuiangusha Hamas.
Nadhani Israel amezingira mji wa gaza city ambao uko kaskazini mwa ukanda wa gaza, na sio ukanda wa gaza mzima kama sikosei maana Israel haijaanzisha uvamizi upande wa kusini.
Kama ni silaha hata hizi walizo nazo hamas zimeingizwa ndani ya gaza kimagendo na sio kwa ruhusa ya serikali ya Misri.
Lebanon iliwahi tandikwa na Israel wanavyotaka,na ikajiridhisha kila kitu kimeisha.Huu ni upinzani mdogo sana wale wapiganaji 25,000 tulioambiwa wa Hamas mbona hatuwaoni. Na maelfu ya maroketi wanayorusha yanapenya machache sana. Hamas walijichanganya ngoja tusubiri Hezbollah na makundi mengine
Another zionist baby killer down
Lt. Col. Salman Habaka, the commander of the 188th Armored Brigade's 53rd Battalion was killed during clashes with the resistance.View attachment 2801857
Sasa mkuu au wewe hujapitia JKTView attachment 2802256
Yaani mnapgana na hamas mpk usa,uk wanawasaidia hapo mkirushiwa vikombora kidogo mnajinyea
[emoji1134]Jeshi la mashoga Wakisikia mlipuko wanajinyea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2802256
Yaani mnapgana na hamas mpk usa,uk wanawasaidia hapo mkirushiwa vikombora kidogo mnajinyea
Kamba naweza weka video za live zaidi ya 30 walikufa, yani Magari na ma vifaru yanavyolipuliwa kila masaa kadhaa eti 30 hawajafa, kweli we Mahaba Niue.Kuna makamanda waandamizi wengi wa Hamas wameuwawa. Akiwemo kamanda aliyeendesha mashambulizi ya tarehe 7 na kamanda wa kikosi cha anti tank missiles.
Gaza city imezingirwa leo. Sikutarajia upinzani mwepesi hivi hadi sasa Israel haijapoteza hata wanajeshi 30 kwenye hii ground offensive. Wamepoteza Namer heavy IFV moja ila sijaona wanapoteza kifaru chochote pamoja na anti tank missiles zote walizonazo Hamas.
Huu ni upinzani mdogo sana wale wapiganaji 25,000 tulioambiwa wa Hamas mbona hatuwaoni. Na maelfu ya maroketi wanayorusha yanapenya machache sana. Hamas walijichanganya ngoja tusubiri Hezbollah na makundi mengine
Kwahiyo hapo ndio palikuwa na kambi za wanamganbo wa Hamas?Mkuu dua la kuku halimpati mwewe.
USA ndio top wa wote
Au kichapo cha gaza kinakuchanganya mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji6]View attachment 2801738View attachment 2801738