Korea Kaskazini kuipatia silaha Iran na Hamas

Kuna makamanda waandamizi wengi wa Hamas wameuwawa. Akiwemo kamanda aliyeendesha mashambulizi ya tarehe 7 na kamanda wa kikosi cha anti tank missiles.

Gaza city imezingirwa leo. Sikutarajia upinzani mwepesi hivi hadi sasa Israel haijapoteza hata wanajeshi 30 kwenye hii ground offensive. Wamepoteza Namer heavy IFV moja ila sijaona wanapoteza kifaru chochote pamoja na anti tank missiles zote walizonazo Hamas.

Huu ni upinzani mdogo sana wale wapiganaji 25,000 tulioambiwa wa Hamas mbona hatuwaoni. Na maelfu ya maroketi wanayorusha yanapenya machache sana. Hamas walijichanganya ngoja tusubiri Hezbollah na makundi mengine
Kwa akili zako,mgambo wanaweza pigana JWTZ, ACHA ushabiki wa kipuuzi, harafu Kwa miaka 16 wamezingirwa Leo ,upigane na mrekani na ulaya magharibi utaweza. Wanachofanya nikuonesha dunia kuwa Kuna mgogoro na unevu unaofanywa na wazungu wakuitwa wayahudi.
 
Nishaiona hii. Hii ndio report ya IDF inayosema wamepoteza wanajeshi 333 kama ulivyodai?
Report ya wanajeshi 333 ni jumla ya wote waliopoteza Toka Conflict ianze.

Pia ukisoma statement ya IDF hao inayosema wamekufa walikua kwenye Gari na Ajali nyengine hakuna list ya waliopigwa Na drone,

Anyway tuendelee na Video zetu.
Hapo Askari anatoka kwenye shimo anakimbilia kifaru, anaplant Bomu anarudi kwenye shimo, wanachukua kombora wana detonate Bomu. Hawana kifaa chochote cha kisasa vidude tu vidogo vidogo wanalipua vifaru
 
Kwa akili zako,mgambo wanaweza pigana JWTZ, ACHA ushabiki wa kipuuzi, harafu Kwa miaka 16 wamezingirwa Leo ,upigane na mrekani na ulaya magharibi utaweza. Wanachofanya nikuonesha dunia kuwa Kuna mgogoro na unevu unaofanywa na wazungu wakuitwa wayahudi.
Sasa hasira za nini juu yangu. Hayo si waliyajua walivyofyatua makombora?
Kwa miaka 16 hawajazingirwa sababu hawakurusha makombora wala kuvamia music festival kuua raia.

Na kama unahoji kwanini Israel haikuwapiga kwa miaka 16. Then ndio mwaka huu wameamua kuwapiga sasa makasiriko hayatakusaidia.
 
Report ya wanajeshi 333 ni jumla ya wote waliopoteza Toka Conflict ianze.

Pia ukisoma statement ya IDF hao inayosema wamekufa walikua kwenye Gari na Ajali nyengine hakuna list ya waliopigwa Na drone,

Anyway tuendelee na Video zetu.
Hapo Askari anatoka kwenye shimo anakimbilia kifaru, anaplant Bomu anarudi kwenye shimo, wanachukua kombora wana detonate Bomu. Hawana kifaa chochote cha kisasa vidude tu vidogo vidogo wanalipua vifaru
View attachment 2802432
Anti tank shaped charge rocket unaita vidude vidogovidogo? Wewe ulitaka iwe kama nyumba? Kwani size ya RPG 7 huwa ikoje kama sio kama hizo.

Bado mnajiuliza Israel huwa inajiongezeaje maeneo si ni nyakati kama hizi. Gaza city imezingirwa
 
“The fighting in the coming days is expected to be much more difficult … The officers describe how it is evident that Hamas prepared itself to fight against IDF forces,” Maariv reports.

At the current stage, Hamas “is very far from a breaking point or crisis,” it says, adding that it has managed to maintain an organized method of fighting that relies mainly on tunnel warfare,” in which the fighters regularly ascend from out of tunnels and ambush Israeli soldiers with anti-tank weaponry.

The Panther APC armored vehicle, which Hamas ambushed on 28 October, proved to be the “most difficult event for the IDF so far,” Maariv wrote
Si maneno yangu ni gazeti la Israel Maariv wakati linahojiana na IDF.
1. Wao wanasema vita Vigumu
2. Wamekiri kwamba kulipuliwa kwa ile APC ni wakati mgumu sana kwao kupitia.
Wewe sasa
1. Unaclaim ile APC ni kawaida na inaweza kuwa ilibeba supplies ila IDF wanasema ni wakati mgumu kwao.
2. Unasema Gaza imezungukwa ila wao wanasema vita ni Vigumu
3. Unaikataa Hawajaretreat hio Article pia inakubali walirudishwa nyuma na Hamas baada ya kuwa Ambushed.
Source hapa tumia translator
 
Kamba naweza weka video za live zaidi ya 30 walikufa, yani Magari na ma vifaru yanavyolipuliwa kila masaa kadhaa eti 30 hawajafa, kweli we Mahaba Niue.

IDF wenyewe wanasema 333 wameshakufa so Far ila wewe Chawa unahisi hata 30 hawajafika, Endelea kudanganya.
Ulipaswa kumwelewa amesema si chini ya 30 kwa hii operation ya ground,wewe unaleta number ya skari wote tangu Oct 7.Mbona hili lipo wazi mkuu,ungetulia kidogo na kumsoma vizuri ungemuelewa
 
“The fighting in the coming days is expected to be much more difficult … The officers describe how it is evident that Hamas prepared itself to fight against IDF forces,” Maariv reports.

At the current stage, Hamas “is very far from a breaking point or crisis,” it says, adding that it has managed to maintain an organized method of fighting that relies mainly on tunnel warfare,” in which the fighters regularly ascend from out of tunnels and ambush Israeli soldiers with anti-tank weaponry.

The Panther APC armored vehicle, which Hamas ambushed on 28 October, proved to be the “most difficult event for the IDF so far,” Maariv wrote
Si maneno yangu ni gazeti la Israel Maariv wakati linahojiana na IDF.
1. Wao wanasema vita Vigumu
Ndio ni vigumu
2. Wamekiri kwamba kulipuliwa kwa ile APC ni wakati mgumu sana kwao kupitia.
Ndio ni wakati mgumu. Wameclaim Namer APC, sio Panther APC. Hiyo ya Panther hawajasema wamekufa wangapi, na Hamas hawajahesabu wako mafichoni
Wewe sasa
1. Unaclaim ile APC ni kawaida na inaweza kuwa ilibeba supplies ila IDF wanasema ni wakati mgumu kwao.
Vita kuwa ngumu sio hoja ya kurudia. Hakunaga vita nyepesi, hata 6 days war Israel walisema ni ngumu wakati hawakutumia hata wiki kumaliza Waarabu.
2. Unasema Gaza imezungukwa ila wao wanasema vita ni Vigumu
Swali linalotaka jibu: Gaza city haijazungukwa?

Alafu kama hujui tofauti ya Gaza na Gaza city umevamia fani.

Wapi uliwahi ona vita rahisi mpaka utake Israel waseme vita ni rahisi.
3. Unaikataa Hawajaretreat hio Article pia inakubali walirudishwa nyuma na Hamas baada ya kuwa Ambushed.
Source hapa tumia translator
Swali: Israel hawajazunguka Gaza city? Wameretreat na wakati huohuo wamezunguka jiji. Tuambie wameretreat kutoka wapi kwenda wapi.
 
Ndio ni vigumu

Ndio ni wakati mgumu. Wameclaim Namer APC, sio Panther APC. Hiyo ya Panther hawajasema wamekufa wangapi, na Hamas hawajahesabu wako mafichoni

Vita kuwa ngumu sio hoja ya kurudia. Hakunaga vita nyepesi, hata 6 days war Israel walisema ni ngumu wakati hawakutumia hata wiki kumaliza Waarabu.

Swali linalotaka jibu: Gaza city haijazungukwa?

Alafu kama hujui tofauti ya Gaza na Gaza city umevamia fani.

Wapi uliwahi ona vita rahisi mpaka utake Israel waseme vita ni rahisi.

Swali: Israel hawajazunguka Gaza city? Wameretreat na wakati huohuo wamezunguka jiji. Tuambie wameretreat kutoka wapi kwenda wapi.
Gaza imezungukwa pengine toka hujazaliwa, lini Gaza ipo independent?

And the point stand, APC ya kwanza, idadi ya video za Vifaru, drones na vitu kibao havipo reported ila video zipo na zinasambaa, no way Casualties zote hizo kuwe na vifo 30 tu, watu hadi wana retreat wanaingia wanakua forced watoke.
 
Kwahiyo wameretreat kutoka wapi kwenda wapi?
Na unaposema Gaza iko umezungukwa tangu sijazaliwa na sasa Israel wameretreat. Unamaanisha kwa sasa Gaza hakuna majeshi ya Israel?
20231103_153653.jpg
20231103_153427.jpg
20231103_153418.jpg
 
Kwa sasa ni vigumu kuleta silaha Hamas. Kama hizo walizonazo matumizi yenyewe ndio ya hivi basi tusahau kuhusu resistance yao, haina ukubwa kivile.
Wakusubiriwa ni Hezbollah ambao vita hawajatangaza rasmi ila Israel imeua wapiganaji wake 53 mpaka leo hii. Na wengine kina Islamic Jihad na makundi mengine, pale Syria kuna maelfu ya wapiganaji wanajikusanya.

Gaza city pekee ndio imezingirwa na ndio ina miundombinu nyingi za Hamas. Bado vipande vingine vinne hivi vya Gaza strip. Kwenye operation hii Israel imepoteza wanajeshi 23 mpaka leo
Mkuu kuna baadhi ya threads ulisifiaga sana ubora wa israel (merkava tanks) vs russian tanks, ikumbukwe kwenye vita vya urusi na ukraine tumeona madhaifu makubwa ya vifaru vya urusi mbele ya western ATGM ,na pia western tanks zimeonyesha udhaifu mkubwa sana ,, baada ya mzozo wa hamas na IDF tumeona pia merkava tanks zikilipuliwa kizembe sana tofauti na maneno yako ..hatuoni tena ukizungumzia merkava tanks au kuna nini kimetokea mkuu?
 
Kuna makamanda waandamizi wengi wa Hamas wameuwawa. Akiwemo kamanda aliyeendesha mashambulizi ya tarehe 7 na kamanda wa kikosi cha anti tank missiles.

Gaza city imezingirwa leo. Sikutarajia upinzani mwepesi hivi hadi sasa Israel haijapoteza hata wanajeshi 30 kwenye hii ground offensive. Wamepoteza Namer heavy IFV moja ila sijaona wanapoteza kifaru chochote pamoja na anti tank missiles zote walizonazo Hamas.

Huu ni upinzani mdogo sana wale wapiganaji 25,000 tulioambiwa wa Hamas mbona hatuwaoni. Na maelfu ya maroketi wanayorusha yanapenya machache sana. Hamas walijichanganya ngoja tusubiri Hezbollah na makundi mengine
Wapo Gaza we unaota wacha kusikiliza news za America na Muingerza mbona hutujaona hayo Aljazeera 😄
 
Mkuu kuna baadhi ya threads ulisifiaga sana ubora wa israel (merkava tanks) vs russian tanks,
Sio baadhi ya threads usinisingizie. Sema threads zote.
ikumbukwe kwenye vita vya urusi na ukraine tumeona madhaifu makubwa ya vifaru vya urusi mbele ya western ATGM ,
Ni sahihi. NATO supplied ATGM ziko very effective dhidi ya Russian armour.
na pia western tanks zimeonyesha udhaifu mkubwa sana ,,
Umepimaje udhaifu wa Western tanks.
Kama ni 'dhaifu sana' kama unavyodai taja ni vifaru vingapi vya Western vimeharibika hapo Ukraine.
baada ya mzozo wa hamas na IDF tumeona pia merkava tanks zikilipuliwa kizembe sana tofauti na maneno yako
Ati Merkava zimelipuka kizembe sana. Ni Merkava ngapi zimelipuka? Unajua idadi au hata estimates tukianzia since October 7th.?
..hatuoni tena ukizungumzia merkava tanks au kuna nini kimetokea mkuu?
Ndio hapa tunazizungumzia nasubiri useme Merkava ngapi zimepigwa.
 
Kwahiyo wameretreat kutoka wapi kwenda wapi?
Na unaposema Gaza iko umezungukwa tangu sijazaliwa na sasa Israel wameretreat. Unamaanisha kwa sasa Gaza hakuna majeshi ya Israel? View attachment 2802514View attachment 2802515View attachment 2802516
Hio Picha ya vifaru ya Chini Ukiangalia kwa mbele unaona ukuta wa Gaza hao wapo nje ya Gaza.

Pia Sijasema Israel hawapo Gaza ila kama unafuatilia Israel walifanya Attempt kadhaa kuvamia Gaza, mfano attempt ya tarehe 27/28 October ambayo Hio APC ililipuliwa, walikua wame wa Under estimate wakaingia wa kapigwa wakatoka. Baada ya hapo kuna Attempts kadhaa ikiwemo ambayo ilikua Successfully ya Salahudin Road nayo pia walirudishwa nyuma.

So kuna Multiple Attempts ambazo zimeshambuliwa kwa kushtukiza na wakarudi nyuma.

So kwako ina make sense msafara mzima unarudi ulipotoka bila Casualties?
 
Wewe ndio ulizungumzia JKT.Au ulikuwa umelewa?Rudia kusoma ulevi ukikutoka.
ULEVI GANI??
NILIKUULIZA UMEENDA JKT?
HAIWEZEKANI USHANGAE WANAJESHI WAKIWA WAMELALA CHINI KIMTAMBAO VITANI.
UNGEENDA JKT USINGESHANGAA
 
Back
Top Bottom