Wanajeshi waliojikojolea ndio kawaida?Hilo ndio swali uliloulizwa.Ukakimbilia ku comment kuhusu JKT!ULEVI GANI??
NILIKUULIZA UMEENDA JKT?
HAIWEZEKANI USHANGAE WANAJESHI WAKIWA WAMELALA CHINI KIMTAMBAO VITANI.
UNGEENDA JKT USINGESHANGAA
Wanajeshi waliojikojolea ndio kawaida?Hilo ndio swali uliloulizwa.Ukakimbilia ku comment kuhusu JKT!ULEVI GANI??
NILIKUULIZA UMEENDA JKT?
HAIWEZEKANI USHANGAE WANAJESHI WAKIWA WAMELALA CHINI KIMTAMBAO VITANI.
UNGEENDA JKT USINGESHANGAA
Baba mkwe tangu lini gaza kuna ukuta,,,yaani mpaka sasa hv bado unajifariji 😂🤣🤣.Hio Picha ya vifaru ya Chini Ukiangalia kwa mbele unaona ukuta wa Gaza hao wapo nje ya Gaza.
Pia Sijasema Israel hawapo Gaza ila kama unafuatilia Israel walifanya Attempt kadhaa kuvamia Gaza, mfano attempt ya tarehe 27/28 October ambayo Hio APC ililipuliwa, walikua wame wa Under estimate wakaingia wa kapigwa wakatoka. Baada ya hapo kuna Attempts kadhaa ikiwemo ambayo ilikua Successfully ya Salahudin Road nayo pia walirudishwa nyuma.
So kuna Multiple Attempts ambazo zimeshambuliwa kwa kushtukiza na wakarudi nyuma.
So kwako ina make sense msafara mzima unarudi ulipotoka bila Casualties?
Pole sanaEe Mungu ibariki Israel,
Pole sanaHamas wanajuta na wanalia na kuomba dunia iingilie kati mana si kwa kipigo wanachopewa na jeshi la Israel.
God is for everyone not Only USAGod bless USA
Sheikh waambie hao ndugu zako katika imaani magaidi wa hamas wawaachie hao watanzania walio washikilia.Pole sana
Neutral commentUsiwapangie namna ya kupigana,wao ndo wanajua mikakati yao jinsi walivyo ipanga mm na ww tutakuwa watazamaji tu.
Hamas haina silaha wala wapiganaji wa kutosha wa kupigana uso kwa uso na Mashine kubwa na wanajeshi wengi kiasi hicho wa Israel wangethubutu kutumia njia hiyo walikuwa wanashindwa mapema sana, bali hamas kwa sasa ana jidiffense tu na namna nzuri ya kujidifense dhidi ya mwenye nguvu kukuzidi huna budi bali ni kukaribisha vita mjini.
Hii mbinu ilitumiwa na Ukraine kwenye battel ya Kiev na wakafanikiwa maana licha ya kuwa walikuwa na silaha chache walifanikiwa kuvizuia vikosi vya Urusi mpaka pale silaha zaidi kutoka kwa wafadhili wake Nato walipo leta silaha ndani ya siku mbili, labda kitakacho wagharimu hamasi ni je wana usambazaji wa uhakika wa silaha kama ilivyo kwa Ukraine tatizo linaanzia hapo.
Alafu sio kweli kuwa hakuna kifaru kilicho haribiwa tangu vita ianze,ni jana tu Israel ilipoteza zaidi ya wanajeshi 15 kwa mpigo baada ya msafara wa vifaru kupigwa ambush na vifaru vilivyo haribiwa si chini ya vifaru vinne.
Wakati ule Israel isingeweza fanya hivi, ila kwa sasa wanaweza fanya hata zaidiKuna makamanda waandamizi wengi wa Hamas wameuwawa. Akiwemo kamanda aliyeendesha mashambulizi ya tarehe 7 na kamanda wa kikosi cha anti tank missiles.
Gaza city imezingirwa leo. Sikutarajia upinzani mwepesi hivi hadi sasa Israel haijapoteza hata wanajeshi 30 kwenye hii ground offensive. Wamepoteza Namer heavy IFV moja ila sijaona wanapoteza kifaru chochote pamoja na anti tank missiles zote walizonazo Hamas.
Huu ni upinzani mdogo sana wale wapiganaji 25,000 tulioambiwa wa Hamas mbona hatuwaoni. Na maelfu ya maroketi wanayorusha yanapenya machache sana. Hamas walijichanganya ngoja tusubiri Hezbollah na makundi mengine
Ant tank zinarushwa Ila zinadakwa na Trophy defense system.Kuna makamanda waandamizi wengi wa Hamas wameuwawa. Akiwemo kamanda aliyeendesha mashambulizi ya tarehe 7 na kamanda wa kikosi cha anti tank missiles.
Gaza city imezingirwa leo. Sikutarajia upinzani mwepesi hivi hadi sasa Israel haijapoteza hata wanajeshi 30 kwenye hii ground offensive. Wamepoteza Namer heavy IFV moja ila sijaona wanapoteza kifaru chochote pamoja na anti tank missiles zote walizonazo Hamas.
Huu ni upinzani mdogo sana wale wapiganaji 25,000 tulioambiwa wa Hamas mbona hatuwaoni. Na maelfu ya maroketi wanayorusha yanapenya machache sana. Hamas walijichanganya ngoja tusubiri Hezbollah na makundi mengine
Hiyo Trophy APS Marekani na Uingereza wanaitaka wakiuziwa ndio pale utasikia magaidi yanalalamika eti Israel ni ombaomba. Na ule mfumo wa V shaped hulls Israel inauuza.Ant tank zinarushwa Ila zinadakwa na Trophy defense system.
Hivi umeona juzi F-35 imetungua cruise missile iliyorushwa na Houthi?
Arrow imetungua ballistic missile kwenye space wakati huohuo base ya Urusi yenye S-400 na Pantsir Jana imepigwa na subsonic SCALP cruise missile 😅Hiyo Trophy APS Marekani na Uingereza wanaitaka wakiuziwa ndio pale utasikia magaidi yanalalamika eti Israel ni ombaomba. Na ule mfumo wa V shaped hulls Israel inauuza.
Ile cruise missile ya Houthi ilikuwa na speed ndogo ni subsonic. Sio tishio kwa F-35I yenye sensors za kuaminika
Na Ujerumani wameshasaini deal la kununua Arrow-3 kutoka Israel. Magaidi yakija yanadai Israel ni ombaomba😂Arrow imetungua ballistic missile kwenye space wakati huohuo base ya Urusi yenye S-400 na Pantsir Jana imepigwa na subsonic SCALP cruise missile 😅
"Israel is the first in the world to shoot down a ballistic missile in space", - The Telegraph
The missile was launched from Yemen by the Houthis and flew almost 1,600 km. The Israeli Air Force was able to successfully shoot down the missile using the "Arrow" defense system.
Game ya Zeke na Putin bado inaendelea? Hatuoni ikitrend