Kopo la chumvi limejaa sisimizi

whitehorse

JF-Expert Member
Aug 29, 2009
2,565
4,426
Tangu Jana asubuhi nikutane na maajabu haya hadi sasa nashindwa kupata jibu nimeona niweke hapa ili tushangae wote haijawahi kutokea sisimizi wajazane kwenye chumvi na kuacha huru sukari iliyopo kwenye chombo karibu kabisa tena sukari ipo wazi inawezekana ule upotevu wa sukari umeathiri akili za viumbe hawa au ni uchuro
 
Si

Sisimizi wa mwendo kasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom