Konyagi badilikeni kidogo

Konyagi badilikeni kidogo

shayookoko

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
467
Reaction score
277
Mimi ni mnywaji kidogo wa kinyagi, hasa weekend, tatizo ni kufungua kinywaji hiki, mara upige kwa chini, mara uinamishe juu chini, yaani ni shida tu. Sasa uwe umekosea kidogo, ni lazima utafute kisu ukate sill.
 
Karibu kitaani kwetu huku Mkuu kitu cha " Gongo " kinaokwa katika mvuke wa Shimo la " N'nya " halafu kinatolewa hapo hapo na unajimiminia tu mwenyewe wala huangaiki kama huko kwenye Konyagi kwenu.
 
Konyagi siku hizi zinachakachuliwa!...matatizo
Ya ini n'a figo yameongezeka!
 
Mi si mnywaji wa hii kitu lakin ni simple sana kufungua hii kitu. Chukua chupa yako kisha iweke upside down kwa takriban sekunde 40,Hapo itafunguka kiulaini kama chupa ya maji hakuna haja ya kuigonga gonga......fanya hivyo kisha leta mrejesho.
 
Mimi ni mnywaji kidogo wa kinyagi, hasa weekend, tatizo ni kufungua kinywaji hiki, mara upige kwa chini, mara uinamishe juu chini, yaani ni shida tu. Sasa uwe umekosea kidogo, ni lazima utafute kisu ukate sill.
Kimiminika chochote chenye mfuniko wa bati na seal kwenye chupa ya kioo inamisha kichwa chini kisha irudishe juu halafu fungua taratibu, kamwe Usijaribu kuipiga kwenye kitako ni hatari
 
Mimi ni mnywaji kidogo wa kinyagi, hasa weekend, tatizo ni kufungua kinywaji hiki, mara upige kwa chini, mara uinamishe juu chini, yaani ni shida tu. Sasa uwe umekosea kidogo, ni lazima utafute kisu ukate sill.

Hamia kwenye kiroba mkuu
ImageUploadedByJamiiForums1467408864.138111.jpg
 
Back
Top Bottom