chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,979
kwa kuwa ni kubwa sana?Vipi Kitakwimu na kiuchumi hizi bei haziwezi kuaffect biashara distillers?
kwa kuwa ni kubwa sana?Vipi Kitakwimu na kiuchumi hizi bei haziwezi kuaffect biashara distillers?
Mzunguko wa pesa umeenda 'kwao' na bei ya bidhaa inapaa.kwa kuwa ni kubwa sana?
Sio mchezoBasi sawa
viroba si vipo mbioni kupigwa marufuku ili visichafue mazingira?Mzunguko wa pesa umeenda 'kwao' na bei ya bidhaa inapaa.
Viroba vitashika kasi.
Unachoma maini yako tumboni, kaa chini tafakari jihurumie!!Nyagiiiiii ! Ndio ugonjwa wangu huo ! Just kamzinga kadogo kamoja nakuwa hoi... ! Sinywagi bia mie
Matamko as usual.viroba si vipo mbioni kupigwa marufuku ili visichafue mazingira?
Mkuu wengine wana 'konyagiproof' kwenye maini...😀Unachoma maini yako tumboni, kaa chini tafakari jihurumie!!
Mimi ni mnywaji kidogo wa kinyagi, hasa weekend, tatizo ni kufungua kinywaji hiki, mara upige kwa chini, mara uinamishe juu chini, yaani ni shida tu. Sasa uwe umekosea kidogo, ni lazima utafute kisu ukate sill.
Well said nimejaribu nimefungua kiulaini Kama kumsukuma mnywa virobaMi si mnywaji wa hii kitu lakin ni simple sana kufungua hii kitu. Chukua chupa yako kisha iweke upside down kwa takriban sekunde 40,Hapo itafunguka kiulaini kama chupa ya maji hakuna haja ya kuigonga gonga......fanya hivyo kisha leta mrejesho.
Inaonesha kijana hunywi kabisa.. ?!Unachoma maini yako tumboni, kaa chini tafakari jihurumie!!

Ni kweli kabisa mkuu.Inaonesha kijana hunywi kabisa.. ?!![]()