shayookoko
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 467
- 276
Mimi ni mnywaji kidogo wa kinyagi, hasa weekend, tatizo ni kufungua kinywaji hiki, mara upige kwa chini, mara uinamishe juu chini, yaani ni shida tu. Sasa uwe umekosea kidogo, ni lazima utafute kisu ukate sill.