Konyagi badilikeni kidogo

Konyagi badilikeni kidogo

Mi naipenda konyagi haina hangover. Ila ukinywa Unatakiwa unywe maji mengi sana
 
Kimiminika chochote chenye mfuniko wa bati na seal kwenye chupa ya kioo inamisha kichwa chini kisha irudishe juu halafu fungua taratibu, kamwe Usijaribu kuipiga kwenye kitako ni hatari
Ukipiga takoni inakuaje mkuu
 
Bidhaa zetu ni lazima ziboreshwe, ziwekwe kwenye chupa zenye mvuto, kuna ile ya 75cl, imewekwa kwenye chupa ya hovyo sana, hata value brand wamewazidi.
 
Inakuhusu
 

Attachments

  • opener.jpg
    opener.jpg
    5.2 KB · Views: 39
Kuna staili moja ya zaman ya kutoboa kizibo kwa msumari kama vp unaweza kutumia hiyo
 
Njia nyingine rahisi ya kufungua konyagi ni kubonyeza kizibo kwa dole gumba(bonyezaa then fungua),inafunguka kama unafungua maji ya chupa.
 
Ikitokea ukatumia nguvu chupa ikakupasukia kiganjani ni shida...nilishawahi kushuhudia barmaid mmoja akichimbika mkono
Ule ni ushabik tu na makeke ya walevi,chupa inafunguka tu kama chuoa ya orange squash
 
Back
Top Bottom