Konjo? Yamoto Band sijui wamekula maharage ya wapi hawaaa!

Konjo? Yamoto Band sijui wamekula maharage ya wapi hawaaa!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,814
Ananiita Dere, namdundisha, anapiga kelele, namvuta nywele namchumisha mpaka tembele!
Duh, sasa haya mashairi ya wapi? Hawa watoto sijui wamekula maharage ya wapi hawa...

🙁🙁🙁🙁🙁🙁

 
Kila nyimbo zina sehemu zake na walengwa wake. Mfano nyimbo kama singeli hata huwa sizielewi, na mashairi yake mengi hayana upako ila ndio ukienda uswahilini na wenzetu wazaramo unakuta baba, mama hadi watoto wapo busy wanacheza.
 
Back
Top Bottom