kongosho......

kuna kipindi nilisikia figanigga kahamia bondeni,ndo mme mtarajiwa nini?
Hapana, mume mtarajiwa ni muuza mitumba mashuhuri maeneo ya durban anakwenda kwa jina la francisco radebe. usimshtue Asprin lakini manake mpaka sasa hajui kinaendelea nini
 
Last edited by a moderator:
Hapana, mume mtarajiwa ni muuza mitumba mashuhuri maeneo ya durban anakwenda kwa jina la francisco radebe. usimshtue Asprin lakini manake mpaka sasa hajui kinaendelea nini
maskini Asprin asali ya moyo wake inatokomea hiyoooooo anaangalia,ka vipi tumsogezee kikopo cha sayanaidi.
 
Last edited by a moderator:
He he he, Bishanga, nikiwa hapa kutwa kunisimanga
Nikiondoka unaanza kulia lia, kumbe mie sumaku yako?

Afu, imekuja na mkungu wa ndizi bk.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…