Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
- Thread starter
-
- #41
Mshipa? Mshipa upi wa ateri au vein
Au upiii? Mmmh hapahaya kongosho ndo uje useme kama wapenda mshipa
Sasa nani anaesema ukweli kati yako na Kongosho (kuhusu majina halisi ya Kongosho)?
Acha basi kuaribu kijiwe uongo huach mtu mzima wewe
Kwani umeambiwa Kongosho hapendi mshipa?
Mtoboasiri yaani hata mwezi haujauona unataka kutongoza hadharani tehe tehe.
Nakujuza hizo ni mali za watu humu JF kama una ubavu wa kupambana na akina Asprin, Bishanga, erick52 shauri yako, ukitolewa manundu.
Kuna mshipa na mshipa, sasa alionitishia nao Bishanga (eti mkubwa mzima natishiwa nyau!) ndio huo ninaouongelea!
size ngapi kiatu unavaa weye?
Mtoboasiri yaani hata mwezi haujauona unataka kutongoza hadharani tehe tehe.
Nakujuza hizo ni mali za watu humu JF kama una ubavu wa kupambana na akina Asprin, Bishanga, erick52 shauri yako, ukitolewa manundu.
View attachment 59537poa nitampigia arudi fasta uku uwanja wa mtakuja..Matumbo mwambie huyo haijui cc atarud tuu coz hilo cheko laonesha waaaz he sijui she will b back we subiri