Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Tokea nijiunge na jf sijawahi kukanyaga jukwaa hili kwi! Kwi! Kwi! Hapa ni cassino nini? Maneno ya malovee tuu teh! Teh! Teh! Kwaherini nirudi kwa wakina Mwigulu
Duh inamaana Kongosho c riziki
...uni PM na unipe jina lako halisi na namba yako ya simu tafadhali!
Kabla wambeya hamjaanza umbeya wenu kunitaka nitoe jina langu halisi: mie nawapa majina yangu kamili, naitwa Ini Mtoboasiri!
Kongosho msaidie huyu kijana asije akafa.
Mkuu ujue kuna watu huwa wanaona mola kawapa maisha marefu wanatafuta short cut ya kuyamaliza.Mtoboasiri yaani hata mwezi haujauona unataka kutongoza hadharani tehe tehe.
Nakujuza hizo ni mali za watu humu JF kama una ubavu wa kupambana na akina Asprin, Bishanga, erick52 shauri yako, ukitolewa manundu.
unamtongoza wazi wazi ki hivi? kwani kongosho ni kicheche?
Umeamua kumkuwadia mtoa mada sio?
Kijana shika adabu yako,ukiona ngedere mjini ujue kaletwa,hivi wewe kumwona kongosho kwenye harria,miwani ray ban orijino,wanja la ukweli,mi gold kifuani na masikio,ukaona umepata eh?
Ukiona vyaelea.........
wee mtoboasiri, unanitakia nini mie mke wa mtu?
Majina yangu matatu ni Kongosho Lutanigwa Lutasagwa.
Mtoboasiri yaani hata mwezi haujauona unataka kutongoza hadharani tehe tehe.
Nakujuza hizo ni mali za watu humu JF kama una ubavu wa kupambana na akina Asprin, Bishanga, erick52 shauri yako, ukitolewa manundu.
Sasa wewe umwanzishie thread, yeye akuPM, uwiano wapi!.
wee mtoboasiri, unanitakia nini mie mke wa mtu?
Majina yangu matatu ni Kongosho Lutanigwa Lutasagwa.
hana ncha ya kutoboa huyo, naskia ni butu.
Nilikuwa marekani kwenye mkutano wa G8.he he he, wee jemedari la kihaya upo???
Umepotea sana, hadi nkaogopa.
Bora umenitetea.
Hata mie ni mume wa mtu, kwa mantiki hiyo tukiwa pamoja tunakuwa mume na mke wa watu! Kuna ubaya gani hapo?
Matumbo mwambie huyo haijui cc atarud tuu coz hilo cheko laonesha waaaz he sijui she will b back we subiriuku kuna sumaku ukishagusa lazima urudi tena na tena na tena na tena.
Nilikuwa marekani kwenye mkutano wa G8.
Niaje lakini ?
Kulikoni siku hizi unasarandiwa na masakapoko,umeshuka gredi nini?
Wakujua pemba wewe kwa sh abubakar shaweji? Subiri ukishushwa mfupa ndo utajua nini tofauti ya togwa na maziwamgando.
Mshipa? Mshipa upi wa ateri au veinKwani umeambiwa Kongosho hapendi mshipa?