Kongole Rais Samia kwa kutumia Kiswahili ziarani nchini Kenya

..Mfano mzuri wa kuiga ktk masuala ya lugha ni Benjamin Mkapa.

..Mzee yule alikuwa anazitendea haki lugha za Kiswahili na Kiingereza.

..Anayepiga vita Kiingereza anawapotosha Watz. Huenda yeye ameshafikia malengo yake yote ya kikazi na kimaisha.
Sidhani kama kuna mtu anayekipiga vita Kiingereza.

Kila lugha ina umuhimu wake lakini pia ina pahala pake.

Kwenye hadhira ya waswahili zungumza Kiswahili. Na kwenye hadhira inayohitaji kizungu basi tema mayai.

Huwezi tu kufika mahali unazungumza lugha zisizoeleweka kwa lengo tu la kujibebea ujiko na mikogo.
 
Mkapa kiingereza alikuwa bora zaidi kuliko kiswahili

..katika Uraisi wa Mzee Mkapa nilijifunza msamiati mpya wa Ujasiriamali.

..nilichompenda ni kwamba alikuwa kiongozi ambaye anajiandaa kabla ya kupanda jukwaani na kuzungumza.

..unaweza usivutiwe na sera zake, au staili yake ya uongozi, lakini Mkapa always took his job seriously.
 
Back
Top Bottom