Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 5,732
- 15,191
Hiyo mimba aliyokudunga utakufa nayo mbwa weweIla asiwe anajifichia kwenye Kiswahili kama yule Kilaza mbobezi.
Yule aliyempoteza Ben Saanane kwa kuhoji phd yake.
Hiyo mimba aliyokudunga utakufa nayo mbwa weweIla asiwe anajifichia kwenye Kiswahili kama yule Kilaza mbobezi.
Yule aliyempoteza Ben Saanane kwa kuhoji phd yake.
Na utakufa na mimba yake mbwa weViongozi wanatakiwa wawe na GSH sio kama Mwendazake yeye ni Mahasira hasira Mpaka akawa na ugonjwa wa Moyo
Nileteeni Gwajimaaa!! akawa anafokea Wananchi kumbe anawaambia Wakurugenzi wa Manispaa.
Mbona unanitukana Elitwege WHY? kwanini tusijadili kiustaarabuHiyo mimba aliyokudunga utakufa nayo mbwa wewe
Yule ibilisi bila shaka mimba aliyokuachia ndio inakutesa!
Mbona kila mada lazima umtaje huyo ibilisi?
Pia ni sahihi...Mfano mzuri wa kuiga ktk masuala ya lugha ni Benjamin Mkapa.
..Mzee yule alikuwa anazitendea haki lugha za Kiswahili na Kiingereza.
..Anayepiga vita Kiingereza anawapotosha Watz. Huenda yeye ameshafikia malengo yake yote ya kikazi na kimaisha.
ungekuwa mzungu sasaKwa hiyo angeongea kiingereza usinge elewa? mnang'ang'ania kiswahili kama vile kiswahili kina leta maendeleo kumbe ni tabu tupu, Pwani ni maskini pamoja na kiswahili chao.
Yani tulikua tunafokewa jamani hadi unajihisi kupata changamoto ya upumuajiViongozi wanatakiwa wawe na GSH sio kama Mwendazake yeye ni Mahasira hasira Mpaka akawa na ugonjwa wa Moyo
Nileteeni Gwajimaaa!! akawa anafokea Wananchi kumbe anawaambia Wakurugenzi wa Manispaa.
..Mfano mzuri wa kuiga ktk masuala ya lugha ni Benjamin Mkapa.
..Mzee yule alikuwa anazitendea haki lugha za Kiswahili na Kiingereza.
..Anayepiga vita Kiingereza anawapotosha Watz. Huenda yeye ameshafikia malengo yake yote ya kikazi na kimaisha.
Kwahiyo?Alipokuwa na wafanyabishara, alisoma kiingereza, na kuongea kiswahili kidogo.
Ila wa ni wanafiki wallah tena walioshindikana,
Kipindi cha mwendazake alikua anakipigania sana kiswahili, mara nyingi alikua anakitumia, akawa anaambiwa hajui kingereza sijui blah blah lol.
Ni sawa...Good points.
..Kwanini robo tatu ya wananchi wa Tz hawajui Kiingereza?
..Kwanini tusiazimie kwamba kila Mtz anayemaliza form 4 awe na uwezo wa kuzungumza Kiingereza?
..Jaji Mkuu analalamika kwamba mawakili wetu hawajui Kiingereza. Sasa hawa wataweza kweli ku-negotiate na mabeberu na kulinda rasilimali zetu?
..Lengo ni kumfanya KIJANA wa Kitanzania amudu ushindani ndani na nje ya mipaka ya Tz.
Makamanda uchwara kwisha kazi yo.
Mimi sasa hivi hata Vidonge vyangu vya ARV situmii sana huwa nasikiliza hotuba za Mama tu hadi nanenepa na Ukimwi wanguYani tulikua tunafokewa jamani hadi unajihisi kupata changamoto ya upumuaji
Ili zitufikishe mbali kwenye maendeleo, lugha inayovuka mipaka na kukufanya uweze kuwasiliana ukitoka nje ya mipaka ya nchi yako usije ukafa hata kushindwa kuagiza chakula, imagine ukija mjini unajitahidi ujue kiswahili Ili uwasiliane na watu wengi na ndiyo kiingereza kilivyo.Unataka tung'ang'anie lugha za mabeberu ili iweje?
Lichaga hilo lakini cha ajabu linahusudu lugha za mabeberu.ungekuwa mzungu sasa
why mama yako kakufundisha kiswahili?
Hivi huwa mnajua kusoma na kuelewa?Ili zitufikishe mbali kwenye maendeleo, lugha inayovuka mipaka na kukufanya uweze kuwasiliana ukitoka nje ya mipaka ya nchi yako usije ukafa hata kushindwa kuagiza chakula, imagine ukija mjini unajitahidi ujue kiswahili Ili uwasiliane na watu wengi na ndiyo kiingereza kilivyo.
Hahahahha jamani wewe....Mimi sasa hivi hata Vidonge vyangu vya ARV situmii sana huwa nasikiliza hotuba za Mama tu hadi nanenepa na Ukimwi wangu
alikuwa jizi la kura.
kafurahi tu kuonyesha chuki zake kwa JPMKwahiyo?